Nahitaji ka-demu ka kunichuna...!

Museven

JF-Expert Member
Aug 22, 2011
629
447
Mi ni mvulana, nahitaji ka demu ka kunichuna. Kawe kazuri ka wastani na kawe tayari kudo wakati wowote ninapokahitaji. Nitakagharimia kwa mahitaji yote yatakayokuwa ndani ya uwezo wangu. am serious. Aliyd tayari, please, PM me
 
We Kavulana!!
Angalia Maana Wengine Wanachuna Mpaka Nyama,badala Ya Ngozi!!
 
Mi ni mvulana, nahitaji ka demu ka kunichuna. Kawe kazuri ka wastani na kawe tayari kudo wakati wowote ninapokahitaji. Nitakagharimia kwa mahitaji yote yatakayokuwa ndani ya uwezo wangu. am serious. Aliyd tayari, please, PM me
Museven kwa hiyo hata kama akiwa katika siku zake aje tu ili mradi wewe unahitaji?
 
Kukuchuna pesa virusi?
Hey. .hey. . no hard feeling kavulana all the best. .
 
Mi ni mvulana, nahitaji ka demu ka kunichuna. Kawe kazuri ka wastani na kawe tayari kudo wakati wowote ninapokahitaji. Nitakagharimia kwa mahitaji yote yatakayokuwa ndani ya uwezo wangu. am serious. Aliyd tayari, please, PM me

ndani ya uwezo wako so mpaka hapo mkuu chambichambi hazipo kabisa labda unataka tuchangie..
 
mi ni mvulana, nahitaji ka demu ka kunichuna. Kawe kazuri ka wastani na kawe tayari kudo wakati wowote ninapokahitaji. Nitakagharimia kwa mahitaji yote yatakayokuwa ndani ya uwezo wangu. Am serious. Aliyd tayari, please, pm me

vipi ka mkopo kameingia kwenye a/c? Maanake wengine huwa mnasimamisha mkiwa na vijisenti tu vya mikopo.
 
Taja status yako ya fedha! Isije ukawa na uwezo wa chipsi kuku tu tena weekend hadi weekend, vocha unaishia $ 1 kwa kila baada ya siku tatu.

Ili upate PM kwa wadada lazima uonyeshe kwamba una uwezo wa:-
1. Kumpangishia chumba Sinza au K'Nyama, full furnished, ata kama ni chumba kimoja na sebule ila iwe self contained maana mambo ya umepiga mzigo afu kujisafi nje kila mtu anakuchora.
2. Hela ya usafiri ipo? Hata kama si kwa kununua gari lakini mambo ya kulipia taxi sio shida
3. Hela ya kununua smartphone ipo? Ili wakati mwingine muwe mnatumiana picha kupitia whatsup, muwe mnachat bila shida na asionekane mshamba mbele ya watu
4. Shopping za Mr Price, Splash, Woolworth na yale maduka ya nguo ya kule Quality Centre unaweza kugharamia
5. Movie kila weekend pale Mlimani City sio issue
6. Burger za Marrybrown, Steers, Best Bites, sio issue
7. Gharama za kurekebisha mwili na nywele kila week atleast sio issue
8. Bili ya vinywaji na chakula ikiletwa mezani sion unaanza kuguna au kukunja uso, na mtoko ni kila week

Hapo utajihakikishia unapata zigo kila dakika unayoulizia.
 
Aku! Kama anavuja asije kwanza. Nitamvumilia mpaka amalize
Yupo mmoja namfahamu anakaa Mwambepande,hana sehemu maalumu ya kulala,kula yake ni shida ingawa inapatikana kila siku na vaa yake haina mashaka kiasi utaogopa kutoka nae,kutokana na kuwa unataka kuchunwa nadhani huyu anakufaa,nitampa habari hii ataingia humu na kukupm mchonge mipango ya sukari ya Mungu kwa pesa.
 
Taja status yako ya fedha! Isije ukawa na uwezo wa chipsi kuku tu tena weekend hadi weekend, vocha unaishia $ 1 kwa kila baada ya siku tatu.

Ili upate PM kwa wadada lazima uonyeshe kwamba una uwezo wa:-
1. Kumpangishia chumba Sinza au K'Nyama, full furnished, ata kama ni chumba kimoja na sebule ila iwe self contained maana mambo ya umepiga mzigo afu kujisafi nje kila mtu anakuchora.
2. Hela ya usafiri ipo? Hata kama si kwa kununua gari lakini mambo ya kulipia taxi sio shida
3. Hela ya kununua smartphone ipo? Ili wakati mwingine muwe mnatumiana picha kupitia whatsup, muwe mnachat bila shida na asionekane mshamba mbele ya watu
4. Shopping za Mr Price, Splash, Woolworth na yale maduka ya nguo ya kule Quality Centre unaweza kugharamia
5. Movie kila weekend pale Mlimani City sio issue
6. Burger za Marrybrown, Steers, Best Bites, sio issue
7. Gharama za kurekebisha mwili na nywele kila week atleast sio issue
8. Bili ya vinywaji na chakula ikiletwa mezani sion unaanza kuguna au kukunja uso, na mtoko ni kila week

Hapo utajihakikishia unapata zigo kila dakika unayoulizia.

sasa huko si kuchuna, ni kuchinja kbs
 
:A S soccer::A S soccer::A S soccer: BILA baba...wa hivyo hatufiki huku!!!!
 
Back
Top Bottom