Nahitaji ka-demu ka kunichuna...!

Nahitaji ka-demu ka kunichuna...!

sijaona condition, naona feni tu.

Siwazi watoto kushika mashavu ya wazee, itakuwa sana na cheichei kukesha.

tena ningekupata ww, ningekugharimia kila unachotaka, condition 1 tu. Uilete kila nikiitaka
 
kweli JF The Home of Great Thinkers, hapa kwenye msafara wa MAMBA wengine ni KENGE.
 
mi ni mvulana, nahitaji ka demu ka kunichuna. Kawe kazuri ka wastani na kawe tayari kudo wakati wowote ninapokahitaji. Nitakagharimia kwa mahitaji yote yatakayokuwa ndani ya uwezo wangu. Am serious. Aliyd tayari, please, pm me


ahaaa hilo mbona jambo lahisi tuuu.......karibu sinza mugabe hapa fanaleki lodge.....kuna totoz nzuliii
 
Sasa wewe mvulana hata mnofu huna, sema unatafuta katoto ka kukuchuna. Wenzio tunachuna na sime, tutaparua mifupa in a minute ur mamma wont recognise u. Boys!
 
Hivi karne hii bado kuna wanaume kama ww? Are you out of your mind? Kwann usiende pale buguruni au sinza mori ukachukue huko?
 
hahahah! kweli DILDO zidumu milele manake duh! hadi vivulana?????
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahaha, nahisi alimaanisha sime. Lol, chuna ya kimasai hatar tupu!

namwona na yeye hajiamin kwa swali lake. mie nimeona kivulana kinatafuta kischana cha kukichuna????? hivi mvulana anachunika ngozi ama nyama??
 
Hahaha, Kongosho anamchanganya huyo achana nae.

Mvulana hata ngozi haijaanza kuota yuko kama snail. Mweeh, kutatokea maafa sasa hivi!
namwona na yeye hajiamin kwa swali lake. mie nimeona kivulana kinatafuta kischana cha kukichuna????? hivi mvulana anachunika ngozi ama nyama??
 
Last edited by a moderator:
si useme tu unataka kununua k.kwa maelezo yako,ni kuwa unipe k nikupe hela.
 
katafute ka Erotica ... kalikuwemo humu.. lakini kamepotea gafla.. katakufaa ku kachuna
 
Last edited by a moderator:
Halafu ukishachunwa urudi hapa na kuanza kulialia....Naombeni ushauri wanaJF yule demu kanichuna kila kitu....Furniture zangu zote kabeba, jiko na kafriji kangu ndio kwanza nimetumia kwa miezi sita tu ...Bank accounts mbili kakwangua kila kitu yaani kaniacha uchi...Chezeya wachunaji weye!!!

 
Last edited by a moderator:
sasa huko si kuchuna, ni kuchinja kbs

kha!sa we ukisikia watu wanabarlowiwa unafikiri waliowaibia wanakuwa wamechunwa tuuu!ahahahhahahhahhahah KUCHINJWA NDO MPANGO MZIMA!
Unataka full time halafu hela unahesabia mfukoni!
JIKAAAAAAAZE BABA!mjini hapa watu hawaji na majembe ,waje nayo ili walime lami!mifuko ya watu ndo mashamba ala!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom