Nahitaji eneo la kufanyia biashara ya chipsi jijini Dar

Nahitaji eneo la kufanyia biashara ya chipsi jijini Dar

ndala fupi

Member
Joined
Dec 1, 2018
Posts
5
Reaction score
4
Habari zenu wanaJF

Mimi ni kijana wa miaka 22. Ndoto zangu ni kufungua kibanda cha chipsi na mtaji ninao kama laki 7 hivi.

Naombeni msaada wa eneo la kuanzisha biashara hii hapa Dar. Hata nikipata kakibaraza cha kukodisha sawa tu au nikipata sehemu local local za uswahilini penye uhakika wa wateja wengi sawa tu kama vile Manzese, Tandika hata Kariakoo ikiwezekana na sehem nyingine.

Ofa yangu ya eneo ni kuanzia Elfu 30, 40 au 45 kwa mwezi ikizid sana ili nsile mtaji na manunuzi mengine.

NAOMBEN MNISAIDIE KWA HLO NDUGU ZANGU NIMEKIMBIA SANA NDO MAANA NIKAJA HUKU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom