Nahitaji connection ya kupata chumba kwenye nyumba za NHC Dar

Herry jr

Member
Oct 16, 2020
74
131
Hi,

Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata connection ya nyumba NHC mkoa wa Dsm, nahitaji kupanga katika hizi nyumba mda wowote kuanzia sasa. Naombeni msaada wenu please, naamini wapo wapangaji ambao wana plan ya kutoka katika hizi nyumba kwa sababu mbali mbali.

Eneo langu la kazi ni Posta karibu na makahama ya Kisutu, nahitaji uraisi wa kwenda kazini na kurudi home.

Ahsanteni sana.

Mawasiliano yangu ni: 0766 449 621
 
Wahindi wanapataje maana wamezikalia kooni hawaziachii na wamekua wakorofi hata kwa wazawa wapangaji wenzao
 
Hi,

Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata connection ya nyumba NHC mkoa wa Dsm, nahitaji kupanga katika hizi nyumba mda wowote kuanzia sasa. Naombeni msaada wenu please, naamini wapo wapangaji ambao wana plan ya kutoka katika hizi nyumba kwa sababu mbali mbali.

Eneo langu la kazi ni Posta karibu na makahama ya Kisutu, nahitaji uraisi wa kwenda kazini na kurudi home.

Ahsanteni sana.

Mawasiliano yangu ni: 0766 449 621
NHC wako maeneo mengi hapo dar..
 
We nenda ofsini kwao ukawaone, watakuelekeza unaandika barua ya kuomba mchawi ubani tu yaani usiwe na mkono birika ukifika nyosha mkono! Humu utakutana na vishoka utapangishwa na wapangaji bei mara mbili ya bei elekezi!
 
Back
Top Bottom