Nahitaji binti aliyemaliza chuo au kidato cha Sita ili anisaidie kumfundisha kijana wangu hapa nyumbani

Kwani wewe umeelewa nini
Nimekuuliza wewe maana ndie unayejua kinachowafaa wanao

Kwa jibu lako hilo umenifikirisha upya lol

Mimi nahitaji mwl bos na nimeweka hapo tangazo likiwa na mchanganuo wa ninavyohitaji sijataja kigezo cha mtu asiwe na mtoto au awe na mtoto
Hata kama mtu ana miaka 50 ilimrad aweze kumsaidia mwanangu hilo ndo la msingi
 
Kazi iendelee
 
ujanja wa kizamani sana huo unaofanya
peleka MMU kule sema natafuta papuchi
pumbaf

Naomba nikukumbushe tu mwaka jana kuna kijana aliweka uzi hapa ana matatizo alikuwa miongon mwa wale vibaka wa mwanza waliochomwa moto na alikua anahitaji msaada
Nilimchukua na kukaa nae na mpk amepata kaz akiwa kwangu na amekuwa kama mwanafamilia
Nenda mfate pm muulize huyu bwana kweli anahitaj mtoto au papuchi atakujibu
 
ujanja wa kizamani sana huo unaofanya
peleka MMU kule sema natafuta papuchi
pumbaf

Punguza ujinga na kuwa negative kwenye kila jambo hii Jf kuna watu wanaweka nyuzi zao hapa na wanapata msada au shida zao kutatuliwa vzr so usdhan ulivyo na akili ya kitoto na kipuuzi kuwaza uzinzi kipa wakat basi kila mmoja yuko ivyo mpuuzi wewe
 
Mtoto wa darasa la saba au form 4??

Huyo mwalimu anaenda kumtoa katika mentality ya kuangalia TV muda mwingi na kuanza kusoma (ni kanzi ngumu sana)

Hauhitaji ubora wa mwalimu, cha msingi awe mwanamke ( kuwa makini pia hapa)
 
Jumatano na ijumaa watoto wanapata muda wa kutosha kucheza shuleni
Sidhani kama huo muda wa siku mbili tu unatosha watoto wanapaswa wapate muda wa kutosha wa kucheza katika settings tofauti tofauti.
 
Mubby777 Masomo ya darasani na activities wanazopewa watoto ni nyingi na za kutosha
Sio afya kumrudisha tena mtoto wa umri huo kuendelea kuchosha ubongo muda ambao anahitaji kupumzika

Kama performance yake imeshuka wasiliana na mwalimu wake ujue sababu

Kama unahitaji usimamizi wa watoto wako nyumbani wewe mzazi ndio mwenye hiyo mamlaka. Kama shida ni t.v. mbona liko ndani ya uwezo wako? Weka ratiba na vitu unavyotaka mwanao afuatilie

Kumwachia na kumlaumu dada yaani binti wa kazi ni ngumu.....

Mama ya hao watoto wako yuko?
 
Naomba nikukumbushe tu mwaka jana kuna kijana aliweka uzi hapa ana matatizo alikuwa miongon mwa wale vibaka wa mwanza waliochomwa moto na alikua anahitaji msaada
Nilimchukua na kukaa nae na mpk amepata kaz akiwa kwangu na amekuwa kama mwanafamilia
Nenda mfate pm muulize huyu bwana kweli anahitaj mtoto au papuchi atakujibu
MUNGU akutie nguvu ndugu.
dunia ya sasa imekuwa na Mitazamo hasi kwa sana, hata kama una nia njema , waja wanaibadilisha kwa mawazo yao. hilo lisikutie shaka.
Fanya kile unachoamini.
 
Back
Top Bottom