Nahitaji binti aliyemaliza chuo au kidato cha Sita ili anisaidie kumfundisha kijana wangu hapa nyumbani

Amin unavyoamin acha na me niamin ninavyoamin
Mkuu achana nao hao,hao ndio wakina "Baba Junior ". Nakupongeza sana kwa kushtuka mapema,hii changamoto ilishawahi kunikuta watoto walikuwa wakirudi shule wakishabadili nguo tuu moja kwa moja kwenye cartoon na games mpaka muda wa kula na kufanya homework hakuna,weekend ndio wakiamka saa 12 asubuhi kama wazazi hampo hapo wataangalia TV mpaka mrudi. Nilichofanya ni kutafuta ndugu aliemaliza Chuo hana mishe tukakubaliana terms and conditions za kudili nao pamoja na improvements za masomo yao. Nikawa namlipa,baadae matokeo yakawa mazuri sana.
 
Mkuu achana nao hao,hao ndio wakina "Baba Junior ". Nakupongeza sana kwa kishtuka mapema,hii changamoto ilishawahi kunikuta watoto walikuwa wakirudi shule wakishabadili nguo tuu moja kwa moja kwenye cartoon na games mpaka muda wa kula na kufanya homework hakuna,weekend ndio wakiamka saa 12 asubuhi kama wazazi hampo hapo wataangalia TV mpaka mrudi. Nilichofanya ni kutafuta ndugu aliemaliza Chuo hana mishe tukakubaliana terms and conditions za kudili na pamoja na improvements za masomo yao. Nikawa namlipa,baadae matokeo yakawa mazuri sana.

Shukran ndg kwa kuelewa hope na wangu atarudisha perfomance yake kama zaman
 
Iv umeelewa kweli? Wa kiume atalala wap? Atapaswa alale na watoto wangu wa kiume iv unajua hawamashoga wa ukubwan wamtoka wap?

Huyo wa kike si atalala na dada wa kazi atawaharibuje?

Soma kwanza uelewe kabla ya kukurupuka kucoment
Unajua wasagwaji huwa wanaanzaje?
Sali asije kuwakuwadia watoto wako,watagongeka hatari.
 
Mkuu achana nao hao,hao ndio wakina "Baba Junior ". Nakupongeza sana kwa kushtuka mapema,hii changamoto ilishawahi kunikuta watoto walikuwa wakirudi shule wakishabadili nguo tuu moja kwa moja kwenye cartoon na games mpaka muda wa kula na kufanya homework hakuna,weekend ndio wakiamka saa 12 asubuhi kama wazazi hampo hapo wataangalia TV mpaka mrudi. Nilichofanya ni kutafuta ndugu aliemaliza Chuo hana mishe tukakubaliana terms and conditions za kudili nao pamoja na improvements za masomo yao. Nikawa namlipa,baadae matokeo yakawa mazuri sana.
Watoto hawapati muda wa kucheza shuleni na nyumbani hapati muda wa kucheza hao watoto ni robots ?
 
Mkuu achana nao hao,hao ndio wakina "Baba Junior ". Nakupongeza sana kwa kushtuka mapema,hii changamoto ilishawahi kunikuta watoto walikuwa wakirudi shule wakishabadili nguo tuu moja kwa moja kwenye cartoon na games mpaka muda wa kula na kufanya homework hakuna,weekend ndio wakiamka saa 12 asubuhi kama wazazi hampo hapo wataangalia TV mpaka mrudi. Nilichofanya ni kutafuta ndugu aliemaliza Chuo hana mishe tukakubaliana terms and conditions za kudili nao pamoja na improvements za masomo yao. Nikawa namlipa,baadae matokeo yakawa mazuri sana.
Kucheza huwa kunawapa watoto life skills nyingi ambazo hatazipata huko shuleni na ni za muhimu kuliko hata ya Mangungo aliingia mkataba na wajerumani.
 
Watoto wanarud shule saa 11 akirud kamechoka kanakula na kulala huo muda wa tv anaupataje?huyo mdada atafundisha saa ngap?kua mkweli tukutafutie mke mzuri

Huna watoto wewe
Nani kakwambia watoto wanachoka kuangalia Tv

Hilo ni tatizo la nyumba nyingi mno
Mimi Nikiwa mmoja wao.
Kuna muda inabidi hata remote ifichwe
 
Mkuu achana nao hao,hao ndio wakina "Baba Junior ". Nakupongeza sana kwa kushtuka mapema,hii changamoto ilishawahi kunikuta watoto walikuwa wakirudi shule wakishabadili nguo tuu moja kwa moja kwenye cartoon na games mpaka muda wa kula na kufanya homework hakuna,weekend ndio wakiamka saa 12 asubuhi kama wazazi hampo hapo wataangalia TV mpaka mrudi. Nilichofanya ni kutafuta ndugu aliemaliza Chuo hana mishe tukakubaliana terms and conditions za kudili nao pamoja na improvements za masomo yao. Nikawa namlipa,baadae matokeo yakawa mazuri sana.

Hii ni changamoto inayokabili wazazi wengi wafanya kazi

Mimi nilichelewa kushtuka ila nimechange ratiba zao za maisha muda wa kuangalia tv wanapata Kwa kiasi
 
Wapendwa nahitaji binti aliyemaliza chuo au kidato cha Sita ili anisaidie kumfundisha kijana wangu hapa nyumbani.

Kijana wangu mtihani wa karibuni kafail sana kiasi cha kunishtua tofauti na kawaida yake na kwa bahati mbaya mimi na mke wangu wote tunatoka mapema na kurudi usiku sana hivyo nafasi ya kumsimamia inakosa.

Nahitaji binti kwa sababu nahitaji aishi hapa kwangu ili iwe rahisi kummonitor kijana mienendo yake(yuko adicted na tv na ukifunga tv anaalika watoto majirani ni kucheza tu) dada wa kazi hajasoma kabisa so hawezi saidia.

Sihitaji kijana wa kiume kwa sababu nyumba yangu ina vyumba vitatu tu(kimoja cha watoto wakike/ kingine cha watoto wangu wa kiume huyu wa class 4 na mwingine yuko daycare sihitaji washare chumba na mwanaume yoyote dunia imeharibika hii siwezi amini mtu pls)

So wakike atafaa maana chumba cha mabinti kina nafasi ya kutosha kwa malazi(analaa hg pekee)

Ningepata hata aliyeko mkoani amemaliza chuo amekosa kazi ingefaa akae anisaidie wakati huo nae anahangaika kutafuta mchongo wa kufanya hapa town.

Salary 200k

Kama una mtu nichek pm pls(asisahau hesabu awe anajua hata kdg pls )

Mimi nimemaliza kidato cha sita na chuo pia; na mimi ni binti na mama pia.

Je nakufaa?
 
Back
Top Bottom