Nahitaji binti aliyemaliza chuo au kidato cha Sita ili anisaidie kumfundisha kijana wangu hapa nyumbani

Mubby777

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
358
1,000
Wapendwa nahitaji binti aliyemaliza chuo au kidato cha Sita ili anisaidie kumfundisha kijana wangu hapa nyumbani.

Kijana wangu mtihani wa karibuni kafail sana kiasi cha kunishtua tofauti na kawaida yake na kwa bahati mbaya mimi na mke wangu wote tunatoka mapema na kurudi usiku sana hivyo nafasi ya kumsimamia inakosa.

Nahitaji binti kwa sababu nahitaji aishi hapa kwangu ili iwe rahisi kummonitor kijana mienendo yake(yuko adicted na tv na ukifunga tv anaalika watoto majirani ni kucheza tu) dada wa kazi hajasoma kabisa so hawezi saidia.

Sihitaji kijana wa kiume kwa sababu nyumba yangu ina vyumba vitatu tu(kimoja cha watoto wakike/ kingine cha watoto wangu wa kiume huyu wa class 4 na mwingine yuko daycare sihitaji washare chumba na mwanaume yoyote dunia imeharibika hii siwezi amini mtu pls)

So wakike atafaa maana chumba cha mabinti kina nafasi ya kutosha kwa malazi(analaa hg pekee)

Ningepata hata aliyeko mkoani amemaliza chuo amekosa kazi ingefaa akae anisaidie wakati huo nae anahangaika kutafuta mchongo wa kufanya hapa town.

Salary 200k

Kama una mtu nichek pm pls(asisahau hesabu awe anajua hata kdg pls )
 

Aladeen04

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
2,856
2,000
Duh shavuuu hili, vipi kuhusu kula na mahitaji mengine atapata hapohapo anapoishi au itakatwa kwenye hiyo 200k?
 

Mubby777

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
358
1,000
Unatafuta bint ukae nae utakua unampa mmeo mtihani na badaye yatakua mengine tu.....kuka na bint mzima ni mtihani bora ungetafuta wakuja na kuondoka
Najitambua sana ndg sijawa na sitowah kutoka na mfanyakaz wangu au mtu wa mazingira ya karibu na ninapokaa ilishawah niletea mabalaa sana bora nikatafute huko mbali.
 

SMART GHOST

JF-Expert Member
Feb 3, 2020
331
1,000
Iv umeelewa kweli? Wa kiume atalala wap? Atapaswa alale na watoto wangu wa kiume iv unajua hawamashoga wa ukubwan wamtoka wap?
Huyo wa kike si atalala na dada wa kazi atawaharibuje? Soma kwanza uelewe kabla ya kukurupuka kucoment
Kwahiyo unaamini uharibifu pekee wanaoweza kuupata wanao ni kuingiliwa na wanaume na kugeuzwa mashoga? Hujasikia kuhusu wadada wa kazi kuwatumikisha watoto wa kiume kingono? Anyway, kila la heri mkuu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom