mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,760
- 35,205
Unafaa why not me nataka mwl wa mtoto ndg
Kwani wewe umeelewa nini🙄🙄
Nimekuuliza wewe maana ndie unayejua kinachowafaa wanao
Kwa jibu lako hilo umenifikirisha upya lol
Unafaa why not me nataka mwl wa mtoto ndg
Kwani wewe umeelewa nini
Nimekuuliza wewe maana ndie unayejua kinachowafaa wanao
Kwa jibu lako hilo umenifikirisha upya lol
Mimi nahitaji mwl bos na nimeweka hapo tangazo likiwa na mchanganuo wa ninavyohitaji sijataja kigezo cha mtu asiwe na mtoto au awe na mtoto
Hata kama mtu ana miaka 50 ilimrad aweze kumsaidia mwanangu hilo ndo la msingi
ujanja wa kizamani sana huo unaofanyaJifunze kuwa postive kwenye maisha na usimuingelee mtu usiyemjua!
ujanja wa kizamani sana huo unaofanya
peleka MMU kule sema natafuta papuchi
pumbaf
ujanja wa kizamani sana huo unaofanya
peleka MMU kule sema natafuta papuchi
pumbaf
achana nae huyo, njoo Lukooni huku mama DenzelMama D nishatuma maombi ya kazi, nasubiri majibu tuu hapa😃😃😃
Mubby777 Sijui Unaishi wapi lakini.... nisije omba kazi mwanza nikiwa naishi mbeya
Kuna nini huko engineer dronedrake?achana nae huyo, njoo Lukooni huku mama Denzel
Watoto wanarud shule saa 11 akirud kamechoka kanakula na kulala huo muda wa tv anaupataje?huyo mdada atafundisha saa ngap?kua mkweli tukutafutie mke mzuri
njoo tuyajenge mama Denzel, mi nimekua mwaziKuna nini huko engineer dronedrake?
Tuanze kuyajenga hapahapa kwakwelinjoo tuyajenge mama Denzel, mi nimekua mwazi
Mubby anafichaficha
atanichimba mkwara namrushia ndege wakeTuanze kuyajenga hapahapa kwakweli
Mubby tutamwita kusherekea
Sidhani kama huo muda wa siku mbili tu unatosha watoto wanapaswa wapate muda wa kutosha wa kucheza katika settings tofauti tofauti.Jumatano na ijumaa watoto wanapata muda wa kutosha kucheza shuleni
Mkwara unatoka wapi sasa😃😃atanichimba mkwara namrushia ndege wake
naku PM si mda
huoni post za juu anavyoshambulia , kata application bibie then zifowadi kwanguMkwara unatoka wapi sasa😃😃
Wewe unahitaji binti wa kufundisha wanao?huoni post za juu anavyoshambulia , kata application bibie then zifowadi kwangu
MUNGU akutie nguvu ndugu.Naomba nikukumbushe tu mwaka jana kuna kijana aliweka uzi hapa ana matatizo alikuwa miongon mwa wale vibaka wa mwanza waliochomwa moto na alikua anahitaji msaada
Nilimchukua na kukaa nae na mpk amepata kaz akiwa kwangu na amekuwa kama mwanafamilia
Nenda mfate pm muulize huyu bwana kweli anahitaj mtoto au papuchi atakujibu