Wapendwa nahitaji binti aliyemaliza chuo au kidato cha Sita ili anisaidie kumfundisha kijana wangu hapa nyumbani.
Kijana wangu mtihani wa karibuni kafail sana kiasi cha kunishtua tofauti na kawaida yake na kwa bahati mbaya mimi na mke wangu wote tunatoka mapema na kurudi usiku sana hivyo nafasi ya kumsimamia inakosa.
Nahitaji binti kwa sababu nahitaji aishi hapa kwangu ili iwe rahisi kummonitor kijana mienendo yake(yuko adicted na tv na ukifunga tv anaalika watoto majirani ni kucheza tu) dada wa kazi hajasoma kabisa so hawezi saidia.
Sihitaji kijana wa kiume kwa sababu nyumba yangu ina vyumba vitatu tu(kimoja cha watoto wakike/ kingine cha watoto wangu wa kiume huyu wa class 4 na mwingine yuko daycare sihitaji washare chumba na mwanaume yoyote dunia imeharibika hii siwezi amini mtu pls)
So wakike atafaa maana chumba cha mabinti kina nafasi ya kutosha kwa malazi(analaa hg pekee)
Ningepata hata aliyeko mkoani amemaliza chuo amekosa kazi ingefaa akae anisaidie wakati huo nae anahangaika kutafuta mchongo wa kufanya hapa town.
Salary 200k
Kama una mtu nichek pm pls(asisahau hesabu awe anajua hata kdg pls )