- Thread starter
- #81
hatari lakini salama
Salama ukitumia.
hatari lakini salama
Biashara ni matangazo na siyo mpaka muuzaji aje mlangoni kwako, anaweza kukutangazia hata dirishani....
Tukusaidieje ssa kama tatzo lako unalijua.tukukumbtie na sisi ama?
Naomba ushauri wako jins ya kuacha..Utaanza na kudekadeka mwisho wa siku utatamani yote wanayoyafanya wanawake na wewe ufanyiwe
Wala huna tabia za kike wanaume wote kwa wapenzi wao wanadeka na kutaka kufanyiwa kila kitu kama watoto.
Niwekee maji ya kuogabafuni, hata kwenye nyumba zenye mabafu na maji huko huko bado janaume linataka mkewe akafungulie maji na kujaza kwenyeTub lenyewe likija lijiloweke kaa Tod.
Wanapikiwa chakula kisha kutoa comentsz a kuudhi wakati wa kula,
"hiki chakula leo tunakula chumvi umeweka kil nzima?"
" Hivi chumvi mnaagiza toka Ziwa Turkana chakula hakina chumvi kabisa?"
" Nyama haijaiva, hivi gesi imekwisha?"
Sasa janaume hili likiambiwa lijichemshie hata chai kikombe kimoja utashangaa hata kuwasha jiko la gesi halijui Hiii! Hiiii Hiii!!!
afuliwe nguo mpaka za ndani
atandikiwe kitanda
Halfu likipata homa kidogo tu " Mama Ufa piga simu kwamba huendi kazini leo sijisikii vizuri"
Wala usiwe na hofu wengi tuko hivyo.
Ukifikia kiwango cha juu kabisa cha Uelewa utaacha.
acha kumuongopea mwenzio! shemeji habari za uzima wako? lolest!
Nahisi na tabia za kike katika mapenz naomba nieleweke wanajamii!!
1.Napenda sana kusifiwa kama umependeza au hakuna mwanaume mzuri kama wewe Duniani.
2.Napenda sana kufarijiwa/kujaliwa mfano kupewa pole hata kama kazi niliyo fanya ni ndogo.
3.Napenda sana kubembelezwa kila wakati kwakifupi napenda kudeka sanaaa..
4.Napenda sana kupewa za wadi hata ya pipi nitalizika.
5.Napenda sana Kukumbatiwa kila niwapo na mpenzi wangu.
Ile kitu je! inafunction!!.
Nahisi na tabia za kike katika mapenz naomba nieleweke wanajamii!!
1.Napenda sana kusifiwa kama umependeza au hakuna mwanaume mzuri kama wewe Duniani.
2.Napenda sana kufarijiwa/kujaliwa mfano kupewa pole hata kama kazi niliyo fanya ni ndogo.
3.Napenda sana kubembelezwa kila wakati kwakifupi napenda kudeka sanaaa..
4.Napenda sana kupewa za wadi hata ya pipi nitalizika.
5.Napenda sana Kukumbatiwa kila niwapo na mpenzi wangu.
Ntafute nkutoe bikraa
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Alafu utafaidika na nini? na nanikakuambia sahivi watu wanashindana kutoa bikraa watu wanashindana kupishana kwenye milango ya benki,mimi nipo serious.
1) Wewe ni mwanamke au mwanamme?
5) Mpenzi wako ni wa kike au wa kiume?
Nilikuuliza haya maswali huko juu, naona umeyasusia:
Huyu jamaa ni punga,bado kusema tu una hamu ya kuzibuliwa mtaro,eti unasema'bado sheria haijapitishwa!' looh! Nahisi ulegevu wa sauti na vidole juu,mkuu nenda jukwaa la matangazo
Subiri kuolewa basi.
Khaaa! Kwahiyo sheria ikipitishwa??Bado Sheria haija pitishwa..
ha ha ha..,"nahisi natabia zakike!"kichwa cha habari kinajitosheleza kujua mimi ni wakike au wakiume.