...nahisi nina tabia za kike!

Elezea kidogo historia ya makuzi yako msaada unaweza kuwa mkubwa zaidi,kama hutojari zungumzia mko wangapi kwenu, wewe ni mtoto wangapi kuzaliwa,je umeishi sana na mzazi yupi au mlezi yupi (wa kike au wa kiume) na mengine utakayopenda kushare nasi ili tujue tunasaidia mtu wa aina gani mkuu....vinginevyo ni hali ya kawaida kabisa ambayo unaweza kuicontrol good enough unajitambua kiongozi.
Tupo wawili wote wakiuume n nimekuwa na mzazi mmoja wakike..
 
Hebu funguka ni wakike au wakiume?
"Kwahiyo unasubiri sheria kupitishwa sio" ulikuwa namaana gani kuniuliza hivyo? nazani utakuwa ushajua ni wakike au wakiume.
 
Wala huna tabia za kike wanaume wote kwa wapenzi wao wanadeka na kutaka kufanyiwa kila kitu kama watoto.

Niwekee maji ya kuogabafuni, hata kwenye nyumba zenye mabafu na maji huko huko bado janaume linataka mkewe akafungulie maji na kujaza kwenyeTub lenyewe likija lijiloweke kaa Tod.

Wanapikiwa chakula kisha kutoa comentsz a kuudhi wakati wa kula,
"hiki chakula leo tunakula chumvi umeweka kil nzima?"

" Hivi chumvi mnaagiza toka Ziwa Turkana chakula hakina chumvi kabisa?"

" Nyama haijaiva, hivi gesi imekwisha?"

Sasa janaume hili likiambiwa lijichemshie hata chai kikombe kimoja utashangaa hata kuwasha jiko la gesi halijui Hiii! Hiiii Hiii!!!

afuliwe nguo mpaka za ndani
atandikiwe kitanda

Halfu likipata homa kidogo tu " Mama Ufa piga simu kwamba huendi kazini leo sijisikii vizuri"

Wala usiwe na hofu wengi tuko hivyo.

Ukifikia kiwango cha juu kabisa cha Uelewa utaacha.
 
kwani mpenzio anakerwa na tabia zako za kisichana sichana?
sina huakika kama zinamkera hivyo nashindwa kusema maana chanya na chanya zinakimbiana nazani unajua nitakuwa na maanisha nini?
 
nani kakwambia hizo ni tabia za kike??????

Afterall usipotaka mpenzi wako akufanyie hayo unataka nani akufanyie? Small hausi?
Aliye kuambia anayeruhusiwa kutoboa sikio ni jinsia ya kike tu! nani?tukubali ukweli..
 
Nahisi na tabia za kike katika mapenz naomba nieleweke wanajamii!!

1.Napenda sana kusifiwa kama umependeza au hakuna mwanaume mzuri kama wewe Duniani.

2.Napenda sana kufarijiwa/kujaliwa mfano kupewa pole hata kama kazi niliyo fanya ni ndogo.

3.Napenda sana kubembelezwa kila wakati kwakifupi napenda kudeka sanaaa..

4.Napenda sana kupewa za wadi hata ya pipi nitalizika.

5.Napenda sana Kukumbatiwa kila niwapo na mpenzi wangu.

1) Wewe ni mwanamke au mwanamme?

5) Mpenzi wako ni wa kike au wa kiume?
 
anza bange

"bange"ndiyo nini?kama ninayoijua mimi haitanisaidia coz sahv ni kama sigara nyota hataukisikia mtu anatumia huogopi,ingekuwa miaka ile ningetumia coz ilikuwa inatumika kwa kificho na ukijulikana unatumia kila mtu anakuogopa na unakuwa mtemi wa mtaa..
 
Mie nadhani hizo sio tabia za kike...ni tabia za wanadamu (wake kwa waume) walio wengi.Hakuna mtu hata 1 hapa duniaani asiyependa kupendwa....hata jambazi ana udhaifu wake inapofika masula ya malovee.So dont worry,be urself.
ha ha ha ha...
 
kwa comment hii nahisi unajaribu kutuchezea akili sidhani kama upo serious

nipo serious lakini ukija na joking inabidi niendesawa na unavyotaka,chiz mweke na chizi mwezake watapiga story lakini na timamu ngumi utaamulia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom