...nahisi nina tabia za kike!

Nahisi na tabia za kike katika mapenz naomba nieleweke wanajamii!!

1.Napenda sana kusifiwa kama umependeza au hakuna mwanaume mzuri kama wewe Duniani.

2.Napenda sana kufarijiwa/kujaliwa mfano kupewa pole hata kama kazi niliyo fanya ni ndogo.

3.Napenda sana kubembelezwa kila wakati kwakifupi napenda kudeka sanaaa..

4.Napenda sana kupewa za wadi hata ya pipi nitalizika.

5.Napenda sana Kukumbatiwa kila niwapo na mpenzi wangu.

Ringopet,
1.kwanza hongera sana una jina zuri....Ringopet....nadhani jina lako ni zuri kuliko wanaume wote humu ndani!
2.nikupe pole sana kwa kuandika thread hii,utakuwa umechoka sana,maana umeweka pointi nyiingi kweli..5!poleeee
3.eti ringopet,utanijibu hii posti yangu...nijibu pleaseeeeeee,nijibu basi mbona unaona aibu unatizama chini...nijibu
4.nina kazawadi kako kukupongeza kwa kuwa na hulka za kike...sio kubwa ni pipi ivori
5.hii namba 5 inamuhusu Boflo....ndio maana amekuwa mwanaume pekee kui-like post yako

all the best huko unakoelekea!nasikia mna vyama vyenu kabisa
 
Elezea kidogo historia ya makuzi yako msaada unaweza kuwa mkubwa zaidi,kama hutojari zungumzia mko wangapi kwenu, wewe ni mtoto wangapi kuzaliwa,je umeishi sana na mzazi yupi au mlezi yupi (wa kike au wa kiume) na mengine utakayopenda kushare nasi ili tujue tunasaidia mtu wa aina gani mkuu....vinginevyo ni hali ya kawaida kabisa ambayo unaweza kuicontrol good enough unajitambua kiongozi.

Nikweli angetoa historia yake ya makuzi kwanza, angepata ushauri mzuri zaidi!
 
Nahisi na tabia za kike katika mapenz naomba nieleweke wanajamii!!

1.Napenda sana kusifiwa kama umependeza au hakuna mwanaume mzuri kama wewe Duniani.

2.Napenda sana kufarijiwa/kujaliwa mfano kupewa pole hata kama kazi niliyo fanya ni ndogo.

3.Napenda sana kubembelezwa kila wakati kwakifupi napenda kudeka sanaaa..

4.Napenda sana kupewa za wadi hata ya pipi nitalizika.

5.Napenda sana Kukumbatiwa kila niwapo na mpenzi wangu.

Pole weeee
 
Angalia isije kuwa 'transgender! Vipi, unapendelea kuvaa nguo za kike?
 
Naishi Tandika Magulewe namba yangu ni 0713800883 njoo na Mafuta mgando nikutengenezee Dawa serious au ni PM nikusaidie as nshawasaidia wengi na wamepata nafuu wakija home huja KUNISALIMIA tu!
 
Nahisi na tabia za kike katika mapenz naomba nieleweke wanajamii!!

1.Napenda sana kusifiwa kama umependeza au hakuna mwanaume mzuri kama wewe Duniani.

2.Napenda sana kufarijiwa/kujaliwa mfano kupewa pole hata kama kazi niliyo fanya ni ndogo.

3.Napenda sana kubembelezwa kila wakati kwakifupi napenda kudeka sanaaa..

4.Napenda sana kupewa za wadi hata ya pipi nitalizika.

5.Napenda sana Kukumbatiwa kila niwapo na mpenzi wangu.

labda umelelewa kwenye familia yenye wanawake tupu so dada zako walikua wakikufanyia hayo yote
 
Hivi ni hayo tuu au unaona aibu kutujuza kwani hicho kichwa cha habari kinanitatiza kidogo. usiogope funguka hatakama una fillings za kike moja kwa moja sema usaidiwe
 
epuka kukaa muda mwingi na wanawake, tumia muda mwingi na wanaume wenzio uta adopt tabia za kiume. Utadhalilika ukileta hizo swaga kwa vidume wenzako
 
Ringopet,
1.kwanza hongera sana una jina zuri....Ringopet....nadhani jina lako ni zuri kuliko wanaume wote humu ndani!
2.nikupe pole sana kwa kuandika thread hii,utakuwa umechoka sana,maana umeweka pointi nyiingi kweli..5!poleeee
3.eti ringopet,utanijibu hii posti yangu...nijibu pleaseeeeeee,nijibu basi mbona unaona aibu unatizama chini...nijibu
4.nina kazawadi kako kukupongeza kwa kuwa na hulka za kike...sio kubwa ni pipi ivori
5.hii namba 5 inamuhusu Boflo....ndio maana amekuwa mwanaume pekee kui-like post yako

all the best huko unakoelekea!nasikia mna vyama vyenu kabisa

Nimeipenda sana hii badilika kijana mjini hapa oooh
 
Naishi Tandika Magulewe namba yangu ni 0713800883 njoo na Mafuta mgando nikutengenezee Dawa serious au ni PM nikusaidie as nshawasaidia wengi na wamepata nafuu wakija home huja KUNISALIMIA tu!

duh!naona hapa ngoma imepata mpigaji!songoro unataka ukam-songoroe mwenzako?
 
Ringopet,
1.kwanza hongera sana una jina zuri....Ringopet....nadhani jina lako ni zuri kuliko wanaume wote humu ndani!
2.nikupe pole sana kwa kuandika thread hii,utakuwa umechoka sana,maana umeweka pointi nyiingi kweli..5!poleeee
3.eti ringopet,utanijibu hii posti yangu...nijibu pleaseeeeeee,nijibu basi mbona unaona aibu unatizama chini...nijibu
4.nina kazawadi kako kukupongeza kwa kuwa na hulka za kike...sio kubwa ni pipi ivori
5.hii namba 5 inamuhusu Boflo....ndio maana amekuwa mwanaume pekee kui-like post yako

all the best huko unakoelekea!nasikia mna vyama vyenu kabisa

Naona umeamua kumdekeza kabisa...manake anadeka huyu!
Huyu anaweza kuwa wale wanaompiga mwizi kwa machicha ya nazi!!
 
nataka kubadilka bt naona kama nashindwa nipe njia za kubadilika..
Ni PM No yako ya simu tupange meeting nikuoneshe Namna gan unatakiwa ku behave.
PS: Hiyo Meeting unaweza hata kuwakilishwa na Demu wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom