...nahisi nina tabia za kike!

Hapo kwenye zawadi ya pipi naomba na mimi nikupatie zawadi ya liperemende bila shaka uta ridhika!
 
Mh!!! kazi kwelikweli, maana sijui tukusaidie vipi. Ila ushauri wangu.....mimi nakushauri umpende sana mkeo ndugu maana naona ndio solution iliyobaki
 
Nahisi na tabia za kike katika mapenz naomba nieleweke wanajamii!!

1.Napenda sana kusifiwa kama umependeza au hakuna mwanaume mzuri kama wewe Duniani.

2.Napenda sana kufarijiwa/kujaliwa mfano kupewa pole hata kama kazi niliyo fanya ni ndogo.

3.Napenda sana kubembelezwa kila wakati kwakifupi napenda kudeka sanaaa..

4.Napenda sana kupewa za wadi hata ya pipi nitalizika.

5.Napenda sana Kukumbatiwa kila niwapo na mpenzi wangu.
punga@work
 
Usiumize kichwa kila mtu awe mwanamke au mwanaume kuna mambo anapendwa afanyiwe na mpenzi wake ajihisi vizuri na kupendwa na mpenzi wake. Hivyo ndo baadhi ya vitu wewe unavyopenda kuvihisi ukiwa na umpendae. Kwani mpenzi wako kakwambia hataki uwe hivyo? Na kama ukijaribu kujibadirisha hautafuhia mapenzi hata siku moja kwa sababu you will not be real u but another person. I think your lady is enjoying sababu unajua vitu unavyotakiwa kumuonyesha umpendae.
 
Kwa hizi sifa ulizojiwekea sioni hata moja yenye identity ya kike,hebu endelea kufunguka tukusaidie.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom