...nahisi nina tabia za kike!

...nahisi nina tabia za kike!

Nahisi na tabia za kike katika mapenz naomba nieleweke wanajamii!!

1.Napenda sana kusifiwa kama umependeza au hakuna mwanaume mzuri kama wewe Duniani.

2.Napenda sana kufarijiwa/kujaliwa mfano kupewa pole hata kama kazi niliyo fanya ni ndogo.

3.Napenda sana kubembelezwa kila wakati kwakifupi napenda kudeka sanaaa..

4.Napenda sana kupewa za wadi hata ya pipi nitalizika.

5.Napenda sana Kukumbatiwa kila niwapo na mpenzi wangu.

Vipi hujawahi tamani kugongwa!?
Maumivu ya kichwa huanza polepole.....
 
badilika haraka ndugu yangu halafu hujaelezea historia ya tabia yako kuwa imetokana na nini?pia kumbuka usije ukadeka mbele ya wanaume watakufanya namna gani vipi?
 
Lazima umekuzwa sana na mama wamarekani wanawaita "mamaz boy",pili we ni yai kwenu tangu ukiwa mtoto yani umekuwa kwenye surrounding ya watu wanaokujali kupitiliza and thats why u cant stand without being spoiled

Dawa: Mara zote jiambie mwanaume wa ukweli lazima awe nguli/jembe na sifa hizo ulizozitaja hawanazo kabsaaaaaa then kila madeko yakikunyemelea kumbuka ww ni jembe
 
Mi nilifikiri unapenda kurembua macho, kujipaka mapowder, unapenda kulegeza sauti, kurusha mikono wakati unatembea..... Hapo ingebidi upate tiba.
 
ulikuwa kwenye mawazo yangu my dear. hilo ndo lilikuwa haswa swali nataka kumuuliza
wewe mama, mwanaume kudeka na kujishaua namna hiyo!! hizo ni sifa za wadada, ukiona mwanaume ana behave hivyo hautapata 'rainbow flags' kichwani kwako?
 
wacha ukike broooooooooooooooooooooooooooooooooooooo:baby::alien::alien:
 
Back
Top Bottom