...nahisi nina tabia za kike!

Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,958
6,075
Nahisi na tabia za kike katika mapenz naomba nieleweke wanajamii!!

1.Napenda sana kusifiwa kama umependeza au hakuna mwanaume mzuri kama wewe Duniani.

2.Napenda sana kufarijiwa/kujaliwa mfano kupewa pole hata kama kazi niliyo fanya ni ndogo.

3.Napenda sana kubembelezwa kila wakati kwakifupi napenda kudeka sanaaa..

4.Napenda sana kupewa za wadi hata ya pipi nitalizika.

5.Napenda sana Kukumbatiwa kila niwapo na mpenzi wangu.
 
nataka kubadilka bt naona kama nashindwa nipe njia za kubadilika..
 
As long as na wewe uko tayari kumfanyia hay mwenzi wako, it's ok. Ila taratibu tu usage ukaanza kudeka kwa wanaume wenzio, hapo itakuwa namnaganivipi flani hivi
 
Sioni kama kuna ubaya wowote kwani kuna baadhi ya wanawake pia wana tabia za Kiume...
 
As long as na wewe uko tayari kumfanyia hay mwenzi wako, it's ok. Ila taratibu tu usage ukaanza kudeka kwa wanaume wenzio, hapo itakuwa namnaganivipi flani hivi

Nachukia sana hiyo tabia kiukweli,ndiomaana naomba ushauri au hakunashida ukifanya kwa Mpenz.
 
ha ha ha ha, angalau umejitambua.

Vipi, hata ukiwa na wanamme unataka kudeka, kupewa zawadi na kusifiwa?

Afu ntaendelea . . .
 
Liwa mara tatu kwa siku kwa wiki mbili...utapona. Ugua pole..dr.kirode mabwe pande hospital.wote mnakaribiswa.
 
Elezea kidogo historia ya makuzi yako msaada unaweza kuwa mkubwa zaidi,kama hutojari zungumzia mko wangapi kwenu, wewe ni mtoto wangapi kuzaliwa,je umeishi sana na mzazi yupi au mlezi yupi (wa kike au wa kiume) na mengine utakayopenda kushare nasi ili tujue tunasaidia mtu wa aina gani mkuu....vinginevyo ni hali ya kawaida kabisa ambayo unaweza kuicontrol good enough unajitambua kiongozi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom