Nahisi nina mkosi au nina tatizo la ziada kwenye mapenzi hata sijielewi nimechanganyikiwa

Kuna wanawake wengine hawapendi kua na mwanaume mwenye elimu kubwa kwa kuhofia kunyanyaswa kwa kutokua na elimu kubwa, na hasa kama unamwonyesha na kujivunia elimu yako hua wengi hawapendi,
Yupo rafki angu ana elimu km yako alkua anamnyanyasa na kumdharau mkewe kisa ana elimu ya darasa la saba
 
Mademu wa magazine cover wanaliwa na mbavu wauza sura na matajiri. Wewe huna six pack na pesa yenyewe ya kawaida bora wanavyo kukataa maana watakuja kukuumiza roho bure watu wakikupora mke au mchumba wakaenda kuwaoa. Pia wanawake wengi hawapendi wanaume wastaarabu sana au wapole kupitiliza. Kama vipi unajiweka mawenge kidogo kama kijana wa high school. No offence bro ila kaza kidogo ki-gangstar.
 
Hapa nilipo nimekosa usingizi kwa mawazo... Why mimi sina bahati kwenye mapenzi wala sina furaha kwenye mapenzi.. Sijawai kufurahia mapenzi wala kumpata niliempenda akanipenda jamani hii kitu imekuwa ikiniumiza kwa muda mrefu na umri unakwenda inazidi kuniumiza.. Sijawai pata dawa ya kumaliza hili tatizo naona aibu ata kushea na rafiki zangu maana mtoto wa kiume ni kama kukili udhaifu.... Hapa tu sasa hivi nimetoka kudondosha chozi...

Imagine nimekuwa namsichana karibia miez 3 sasa nampenda hatari lakini yeye haonyeshi kujali namfanyia kila kitu anachotaka na kilichoniumiza zaidi alipata ugonjwa juzi akazidiwa nusu ya kufa hakuwa na msaada kwao wala marafiki na alitoka kuniignore ila nikamsaidia matibabu yote ametoka hospital anaendelea kunuzingua simu zangu hapokei meseji anajibu akijisikia na mbaya zaidi ananikwepa inapofikia swala la ku-make love. Huyu msichana nimemzidi kila kitu yeye anafanya kazi kwenye duka la nguo elimu form 4 mimi nna kazi nzuri, nna elimu ya masters...

Na huyu sio wa kwanza ni wasichana wengi mno wananizingua wengi wanaonekana wapo interested na pesa na ata nikiwapa bado wanazingua nimejaribu wasomi wa kawaida wanavyuo na krba zote naona wengi wanaishia kunitumia no love kabisa... Sasa wadau sijui nna tatizo gani yani najihisi down mno kama dunia inanikataa kuna mtu ashawai kuniambia napenda masista duu alafu sio mjanja kwa type hixo hizo thus why ila wa nataka nn kwan

au sijui sina mvuto maana kamwili kangu ni kadogo au sijui ni mstaarabu sn au mpole mno maana mie sio mwongeaji alafu nna huruma mno sipendi kumkera mtu,, najitahd kuvaa kisasa vitu vya gharama big labels nanukia vzr ila sistui ... Dah sijui ata naandika nn nahis ninevurugwa sipo sawa kesho sijui ata kama nitaweza kufanya kazi yani hapa nitoke niende ata masai hapo au wapi sijui nitulize kichwa maana nahisi dunia sina zari na mapenzi oh God plz help me
Namshukuru Mungu kwa kuniumba na jeuri ya mapenzi, kujitoa kafara pia ni muhimu. Mtu akifanya distance kat yenu iwe mita 20 ongeza zingine hata mita 1000. Hao viumbe wanapenda mazoba
 
Kama katika dua zako huwa unamuomba Mwenyezi Mungu akuepushe na mabalaa basi ujuwe dua yako inakubaliwa.

Waambie dada zako, mama'ko wakutafutie mke wanaoona wao anakufaa (arranged marriage) muoane na usikirie kabisa huo uzinzi na uasherati unaokunyima raha.
 
Lengo lako ni lipi ? Kuchovya tuu au kuoa?? Maana wanawake wengi hivi sasa wanatafuta ndoa, sasa inawezekana wamegundua unataka kuchovya tuu ndio maana wanakukwepa !! Wanachohitaji ni wewe kwenda kujitambulisha na kuanza harakati za ndoa!
 
Hapa nilipo nimekosa usingizi kwa mawazo... Why mimi sina bahati kwenye mapenzi wala sina furaha kwenye mapenzi.. Sijawai kufurahia mapenzi wala kumpata niliempenda akanipenda jamani hii kitu imekuwa ikiniumiza kwa muda mrefu na umri unakwenda inazidi kuniumiza.. Sijawai pata dawa ya kumaliza hili tatizo naona aibu ata kushea na rafiki zangu maana mtoto wa kiume ni kama kukili udhaifu.... Hapa tu sasa hivi nimetoka kudondosha chozi...

Imagine nimekuwa namsichana karibia miez 3 sasa nampenda hatari lakini yeye haonyeshi kujali namfanyia kila kitu anachotaka na kilichoniumiza zaidi alipata ugonjwa juzi akazidiwa nusu ya kufa hakuwa na msaada kwao wala marafiki na alitoka kuniignore ila nikamsaidia matibabu yote ametoka hospital anaendelea kunuzingua simu zangu hapokei meseji anajibu akijisikia na mbaya zaidi ananikwepa inapofikia swala la ku-make love. Huyu msichana nimemzidi kila kitu yeye anafanya kazi kwenye duka la nguo elimu form 4 mimi nna kazi nzuri, nna elimu ya masters...

Na huyu sio wa kwanza ni wasichana wengi mno wananizingua wengi wanaonekana wapo interested na pesa na ata nikiwapa bado wanazingua nimejaribu wasomi wa kawaida wanavyuo na krba zote naona wengi wanaishia kunitumia no love kabisa... Sasa wadau sijui nna tatizo gani yani najihisi down mno kama dunia inanikataa kuna mtu ashawai kuniambia napenda masista duu alafu sio mjanja kwa type hixo hizo thus why ila wa nataka nn kwan

au sijui sina mvuto maana kamwili kangu ni kadogo au sijui ni mstaarabu sn au mpole mno maana mie sio mwongeaji alafu nna huruma mno sipendi kumkera mtu,, najitahd kuvaa kisasa vitu vya gharama big labels nanukia vzr ila sistui ... Dah sijui ata naandika nn nahis ninevurugwa sipo sawa kesho sijui ata kama nitaweza kufanya kazi yani hapa nitoke niende ata masai hapo au wapi sijui nitulize kichwa maana nahisi dunia sina zari na mapenzi oh God plz help me
dawa okoka utakuwa na furaha ya moyo ...believe me bila ivo lazima uwe mtumwa
 
Thanks nitajitahidi japo kuna time automatically unavutiwa na mtu alafu you end up disappointed dah it real hurts
Try to be economical with your love, when the love is not that deep it doesn't hurt so hard, the time when the other side rejects it.
 
Mungu atakupa wakufanana na wewe sio lazima upate unachotaka Mungu anakupa unachostahili.Acha kulazimisha mapenz kilakitu kinakuja kwa wakati wake.
 
Inabidi tutafutane maana seems like wote tumeumizwa, tupozane, just kidding. Mkuu hebu jiangalie upya tabia zake yaelekea unamapungufu ambayo wewe mwenyewe ni ngumu kuyatambua. Hiyo hali ilishawahi kunikuta ikabidi nitafute one of my x nikamwambia naomba unichane live yani niambie mapungufu yangu ili nipone maana hakuna mtu aliyekuwa ananiambia. Kweli bwana akaniambia live bila chenga ila ilinisaidia maana from there nikaanza kuyafanyia kazi mapungufu yangu na nashukuru sasa hivi naendelea poa. Fanya hivyo mkuu itakusaidia.
 
Pole sana, mapenz yanaumiza lkn jipe moyo wako bado hujampata, ipo cku utasahau hyo yote.
 
Back
Top Bottom