Nahisi nina mkosi au nina tatizo la ziada kwenye mapenzi hata sijielewi nimechanganyikiwa

Bosa hata andika yako inaonesha wewe ni luba.

Hawa wenzetu wanapenda nafasi ya kupumua kidogo wakiwa kwenye mahusiano. Na inaonekana wewe ni suffocator. Over-Protective na usieweza kujizuia.

Usimfuate mwanamke na silaha zako zote na ahadi zako zote leo leo. Vingine tunza moyoni uwe unamtolea mara moja moja kama suprise.

Mwisho kabisa jipende mwenyewe boss, acha wema wa mshumaa unamulika huku unaungua wewe.
 
Mkuu, unapokosea ni kutaka sana kupendwa na kuwa appreciated! Just kuwa normal, be happy with your life, ignore all the negatives halafu jipende mpaka mwenyewe mpaka usahau kuwa kuna binadamu wengine, panga mipango yako bila kuhusisha mtu yeyote, kuza uchumi wako bila kuruhusu mtu kujipendekeza pale unapoanza kuthrive, ignore asiekupenda kwa kufanya mabaya anayokufanyia ten times more; kama asipopokea simu yako, wewe usimpigie wala kupokea simu yake kwa mwezi mzima, ukigundua au akikwambia hakupendi, wewe usihangaike kabisa kumpenda kumfuatilia.
Chukua trips nje ya nchi,mikoani au mbugani ukiwa peke yako, hilo litakupa exposure na wigo mpana wa kukutana na watu sahihi maana inawezekana uko normal ila unaokutana nao, walishakusoma udhaifu wako kuwa unapenda kupita kiasi na wanapenda kucheza na hisia zako kwa makusudi ili wakuumize for pleasure au ili uhisi una weakness fulani na waitumie hiyo kama njia ya kukutumia n.k So kick back and be strong, tafuta wanawake nje ya wigo uliouzoea. Learn new skills like dancing, vipo vyuo vinavyofundisha hayo na huko hutakutana na watu waliojikatia tamaa ambao mitaji yao ni chura na jeans za bei rahisi.
Stop gagging for love, be happy alone and someone will be interested in your happiness!
 
Ngoja nikwambie mtongoze miss natafta ukifanikiwa kumpata yule demu matatizo yako yote kwisha
 
Hujui kupepeti utajuta wenzako wakati wanajifunza haya wewe ulikuwa unakomaa na mavitabu-elimu haina nafasi katka mapenzi hiyo masters hata usiihusishe na mapenzi.
Utashangaa kuona kanakopendwa ni kauza matunda elimu la saba.
Ndipo mnapodanganyaga watu. Asie na ufahamu, atayasikiliza maneno yako na kuanza kutafuta maana ya kupetipeti ili apendwe wakati uhalisia ni kuwa wanawake wengine wanapenda kunyenyekewa na kulambwa miguu tena ataenda kuwasimulia na mashoga zake na kuwaita waje washuhudie mwanaume asivyofurukuta mbele zake!
Kuna mengi zaidi ya kupetipeti.
 
Hamna master wa mapenz kaka...unavyo vifanya usitegemee kufanyiwa vivyo hivyo...fanya uwezavyo hata akiondka kwa badae atakuelewa tu...mwanamke hapendi kwa haraka be patient...mdogo mdogo atajaa tu..kumbuka come easy always go easy.
 
Wanawake wengine wakigundua wanapendwa, huwa hawajui namna ya kulipokea hilo penzi kwa aidha kuwa washamba na kutokujua kupendana au kuzowea kunyanyaswa katika mapenzi kwa hiyo wanapata shida kureact pale wanapoambiwa wanapendwa.
 
Kwanza nikiri kuwa nimecheka kwa huruma sana.

Whether it's true or not I just found myself imbued with a deep sense of pity.

If you can please don't allow your life to solely revolve around love relationships. Life is so much more than that.

Just appreciate the fact that you are alive, presumably healthy, educated, and that you are able to put food on the table, clothes on your back, and have a roof over your head.

There are plenty of people out there who wish to be in your position, even sans a romantic relationship.

So just be thankful for all that you have and tune out all negativity.

Sometimes good things come to those who wait. So never give up and I believe one day you'll meet your match.

All the very best my brother.
Ushauri mzuri
tatizo hyo lugha !! Au kwakuwa kajinasibu ni msomi wa masters?
 
Huyu jamaa ni mwili mdogo lakini atakuwa anapenda mizigo mikubwa wale walioenda hewani, na warembo kwelikweli, sista duu wa ukweli. Sasa nakushauri ule kwa urefu wa kamba yako. Watongoze wote hao wazuri na wa kawaida, atakaye kukubali unakula huyo huyo na ukinogewa unaoa tu. Acha kutafuta mademu kama wa magazine cover utaumia roho yako bure.
 
Kwanza nikiri kuwa nimecheka kwa huruma sana.

Whether it's true or not I just found myself imbued with a deep sense of pity.

If you can please don't allow your life to solely revolve around love relationships. Life is so much more than that.

Just appreciate the fact that you are alive, presumably healthy, educated, and that you are able to put food on the table, clothes on your back, and have a roof over your head.

There are plenty of people out there who wish to be in your position, even sans a romantic relationship.

So just be thankful for all that you have and tune out all negativity.

Sometimes good things come to those who wait. So never give up and I believe one day you'll meet your match.

All the very best my brother.
Ushauri mzuri sana.
 
Back
Top Bottom