Nahisi nina mkosi au nina tatizo la ziada kwenye mapenzi hata sijielewi nimechanganyikiwa

E="okoyoko, post: 18874717, member: 231053"]damn, umemshauri vizur, zamani hata mm nlikuwa kama mtoa mada, ila sahiv i dont really give a ****, na washkaj zangu wa karibu they know it, mpaka wananiambia dah ww jamaa kwel u dont give a ****


Uso wa nyoka
[/QUOTE]
Ndiyo hivyo mkuu, why waste your emotions kwa mtu asiekutaka na matendo yake yote yanaashiria hivyo? Ukijichanganya katika mazingira mapya na kukutana na sura mpya, ni lazima utakutana na mtu atakaekuthamini na kukujali, mkaendana mpaka ukashangaa kwanini ulikuwa unapoteza muda wako kukimbizana na watu wasio na mbele wala nyuma.
Ndiyo
 
damn, umemshauri vizur, zamani hata mm nlikuwa kama mtoa mada, ila sahiv i dont really give a ****, na washkaj zangu wa karibu they know it, mpaka wananiambia dah ww jamaa kwel u dont give a **** Uso wa nyoka
I second you haya maisha sio ya kulialia. We only live once, ukinikanyaga bahati mbaya nakukanyaga makusudi. Kuna kamanzi nilikua napumzika ukatokea mgogoro kakaanza kumuweka boya flani kwa profile intention yake niulize, nikaamua kusepa mazima, siku hizi kanantafuta na kulalamika et me ni mwanaume wa ajabu.
 
Hapa nilipo nimekosa usingizi kwa mawazo. Why mimi sina bahati kwenye mapenzi wala sina furaha kwenye mapenzi. Sijawai kufurahia mapenzi wala kumpata niliempenda akanipenda jamani hii kitu imekuwa ikiniumiza kwa muda mrefu na umri unakwenda inazidi kuniumiza.

Sijawai pata dawa ya kumaliza hili tatizo naona aibu hata kushea na rafiki zangu maana mtoto wa kiume ni kama kukiri udhaifu. Hapa tu sasa hivi nimetoka kudondosha chozi.

Imagine nimekuwa na msichana karibia miezi 3 sasa nampenda hatari lakini yeye haonyeshi kujali namfanyia kila kitu anachotaka na kilichoniumiza zaidi alipata ugonjwa juzi akazidiwa nusu ya kufa hakuwa na msaada kwao wala marafiki na alitoka kuniignore ila nikamsaidia matibabu yote

Ametoka hospital anaendelea kunizingua simu zangu hapokei meseji anajibu akijisikia na mbaya zaidi ananikwepa inapofikia swala la ku-make love. Huyu msichana nimemzidi kila kitu yeye anafanya kazi kwenye duka la nguo elimu form 4 mimi nina kazi nzuri, nina elimu ya masters.

Na huyu sio wa kwanza ni wasichana wengi mno wananizingua wengi wanaonekana wapo interested na pesa na hata nikiwapa bado wanazingua nimejaribu wasomi wa kawaida wanavyuo na kariba zote naona wengi wanaishia kunitumia no love kabisa.

Sasa wadau sijui nina tatizo gani yani najihisi down mno kama dunia inanikataa kuna mtu ashawai kuniambia napenda masista duu alafu sio mjanja kwa type hizo hizo thus why ila wa nataka nini kwani.

Au sijui sina mvuto maana kamwili kangu ni kadogo au sijui ni mstaarabu sana au mpole mno maana mie sio mwongeaji alafu nina huruma mno sipendi kumkera mtu, najitahidi kuvaa kisasa vitu vya gharama big labels nanukia vizuri ila sistui.

Dah sijui hata naandika nini nahisi ninevurugwa sipo sawa kesho sijui hata kama nitaweza kufanya kazi yani hapa nitoke niende hata Masai hapo au wapi sijui nitulize kichwa maana nahisi dunia sina zali na mapenzi oh God plz help me.
acha ujing mkuu!
 
Kwani una umri gani mkuu? Na umbo dogo ni kuwa mfupi sana ama ni wembamba? Kama wembamba nenda Gym ukaongeza muscles mbili tatu. Cha pili try to work on your confidence!. Mtu na masters yako unaendeshwaje na binti wa form IV!? Money and gifts means nothing compared to swag kwa warembo hawa wa dot com!!
Mkuu mtu akiwa mwembamba akienda GYM atanenepa???
 
Pole sana mkuu
Ila kumbuka
Joto linapozid kipindi cha masika
Ni ishara ya ujio wa mvua.
 
huenda ukawa umenizidi kila kitu.. ila kwa hili ngoja nikusaidie... Kaka namna ulivyo nishawahi kupitia japo si kwa muda mrefu sana, ila ilinitesa na kuniumiza hali hiyo, kila demu nikawa natemwa nae afu tatizo silijui, nikawa najihisi kama wewe hivyo kwamba labda sina mvuto au pesa au nini lakini mwisho wa siku nikapiga moyo konde nikatulia na kufanya 'meditation' za mara kwa mara..nikapata ufumbuzi... 1. Nikaiset fikra yangu kwamba hakuna msichana mzuri kumzidi mwenzie kwenye upeo wa macho yangu 2. Hakuna vitu 'common' ambavyo navipenda toka kwa binti yeyote 3. Wasichana wanaoonekana kujiremba na kuonekana warembf macho pa wanaume wengi niwaone wa kawaida sana mana kuna waliowarembesha au waliowafanya wajirembe 4. Wasichana nitakaodili nao ni wale ambao wanaonekana ni wa kawaida sana mbele ya vidume wengi (kuepuka sifa zisiyo na tija) 5. Kuwa mcheshi sana kwa mabinti (usiwe mropokaji) ni silaha kubwa inayowavuta ila usijenge mazoea nao sana, ila ni kwa wale ambao nimewabainisha hapo juu... ZINGATIA HAYA
 
Una miaka mingapi kwani??
Nakuhurumia ila naona kama huenda kuna tatizo mahali!
 
Back
Top Bottom