Nahisi nina mkosi au nina tatizo la ziada kwenye mapenzi hata sijielewi nimechanganyikiwa

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
325
2,292
Hapa nilipo nimekosa usingizi kwa mawazo. Why mimi sina bahati kwenye mapenzi wala sina furaha kwenye mapenzi. Sijawai kufurahia mapenzi wala kumpata niliempenda akanipenda jamani hii kitu imekuwa ikiniumiza kwa muda mrefu na umri unakwenda inazidi kuniumiza.

Sijawai pata dawa ya kumaliza hili tatizo naona aibu hata kushea na rafiki zangu maana mtoto wa kiume ni kama kukiri udhaifu. Hapa tu sasa hivi nimetoka kudondosha chozi.

Imagine nimekuwa na msichana karibia miezi 3 sasa nampenda hatari lakini yeye haonyeshi kujali namfanyia kila kitu anachotaka na kilichoniumiza zaidi alipata ugonjwa juzi akazidiwa nusu ya kufa hakuwa na msaada kwao wala marafiki na alitoka kuniignore ila nikamsaidia matibabu yote

Ametoka hospital anaendelea kunizingua simu zangu hapokei meseji anajibu akijisikia na mbaya zaidi ananikwepa inapofikia swala la ku-make love. Huyu msichana nimemzidi kila kitu yeye anafanya kazi kwenye duka la nguo elimu form 4 mimi nina kazi nzuri, nina elimu ya masters.

Na huyu sio wa kwanza ni wasichana wengi mno wananizingua wengi wanaonekana wapo interested na pesa na hata nikiwapa bado wanazingua nimejaribu wasomi wa kawaida wanavyuo na kariba zote naona wengi wanaishia kunitumia no love kabisa.

Sasa wadau sijui nina tatizo gani yani najihisi down mno kama dunia inanikataa kuna mtu ashawai kuniambia napenda masista duu alafu sio mjanja kwa type hizo hizo thus why ila wa nataka nini kwani.

Au sijui sina mvuto maana kamwili kangu ni kadogo au sijui ni mstaarabu sana au mpole mno maana mie sio mwongeaji alafu nina huruma mno sipendi kumkera mtu, najitahidi kuvaa kisasa vitu vya gharama big labels nanukia vizuri ila sistui.

Dah sijui hata naandika nini nahisi ninevurugwa sipo sawa kesho sijui hata kama nitaweza kufanya kazi yani hapa nitoke niende hata Masai hapo au wapi sijui nitulize kichwa maana nahisi dunia sina zali na mapenzi oh God plz help me.
 
Hapa nilipo nimekosa usingizi kwa mawazo... Why mimi sina bahati kwenye mapenzi wala sina furaha kwenye mapenzi.. Sijawai kufurahia mapenzi wala kumpata niliempenda akanipenda jamani hii kitu imekuwa ikiniumiza kwa muda mrefu na umri unakwenda inazidi kuniumiza.. Sijawai pata dawa ya kumaliza hili tatizo naona aibu ata kushea na rafiki zangu maana mtoto wa kiume ni kama kukili udhaifu.... Hapa tu sasa hivi nimetoka kudondosha chozi...

Imagine nimekuwa namsichana karibia miez 3 sasa nampenda hatari lakini yeye haonyeshi kujali namfanyia kila kitu anachotaka na kilichoniumiza zaidi alipata ugonjwa juzi akazidiwa nusu ya kufa hakuwa na msaada kwao wala marafiki na alitoka kuniignore ila nikamsaidia matibabu yote ametoka hospital anaendelea kunuzingua simu zangu hapokei meseji anajibu akijisikia na mbaya zaidi ananikwepa inapofikia swala la ku-make love. Huyu msichana nimemzidi kila kitu yeye anafanya kazi kwenye duka la nguo elimu form 4 mimi nna kazi nzuri, nna elimu ya masters...

Na huyu sio wa kwanza ni wasichana wengi mno wananizingua wengi wanaonekana wapo interested na pesa na ata nikiwapa bado wanazingua nimejaribu wasomi wa kawaida wanavyuo na krba zote naona wengi wanaishia kunitumia no love kabisa... Sasa wadau sijui nna tatizo gani yani najihisi down mno kama dunia inanikataa kuna mtu ashawai kuniambia napenda masista duu alafu sio mjanja kwa type hixo hizo thus why ila wa nataka nn kwan

au sijui sina mvuto maana kamwili kangu ni kadogo au sijui ni mstaarabu sn au mpole mno maana mie sio mwongeaji alafu nna huruma mno sipendi kumkera mtu,, najitahd kuvaa kisasa vitu vya gharama big labels nanukia vzr ila sistui ... Dah sijui ata naandika nn nahis ninevurugwa sipo sawa kesho sijui ata kama nitaweza kufanya kazi yani hapa nitoke niende ata masai hapo au wapi sijui nitulize kichwa maana nahisi dunia sina zari na mapenzi oh God plz help me

Love yourself first no body will love you if you don't know your own value.
 
Aseee pesa yaani yeye kukupenda haimaanishi pesa hautotowa lahasha utatoa tu ndio maana hata wife anahitaji tu pesaa yaan hawa watu akupende asikupende wewe mahesabu mezani ni lazima
 
Kwani una umri gani mkuu? Na umbo dogo ni kuwa mfupi sana ama ni wembamba? Kama wembamba nenda Gym ukaongeza muscles mbili tatu. Cha pili try to work on your confidence!. Mtu na masters yako unaendeshwaje na binti wa form IV!? Money and gifts means nothing compared to swag kwa warembo hawa wa dot com!!
 
Kwanza nikiri kuwa nimecheka kwa huruma sana.

Whether it's true or not I just found myself imbued with a deep sense of pity.

If you can please don't allow your life to solely revolve around love relationships. Life is so much more than that.

Just appreciate the fact that you are alive, presumably healthy, educated, and that you are able to put food on the table, clothes on your back, and have a roof over your head.

There are plenty of people out there who wish to be in your position, even sans a romantic relationship.

So just be thankful for all that you have and tune out all negativity.

Sometimes good things come to those who wait. So never give up and I believe one day you'll meet your match.

All the very best my brother.
 
Kwani una umri gani mkuu? Na umbo dogo ni kuwa mfupi sana ama ni wembamba? Kama wembamba nenda Gym ukaongeza muscles mbili tatu. Cha pili try to work on your confidence!. Mtu na masters yako unaendeshwaje na binti wa form IV!? Money and gifts means nothing compared to swag kwa warembo hawa wa dot com!!

Kwenye mapenzi ata mtoto wa darasa la 4 akikupatia atakuendesha yani hapo usiseme kabisa.
 
Kuwa na subira mzee mwanamke wa kueleweka siku hizi kumpata ni kazi wewe jitahidi kumantain standards zako watakufata wenyewe mpaka utashangaa. Kaa mbali na mwanamke asiyeeleweka tena mapema sana wanawake wa siku hizi akili zao wanazijua wenyewe japo ni walalamishi so usikurupuke.
 
Mkuu mimi nakumbuka nilipokuwa teenager nilikuwa nafanya mazoezi ya kutongoza mademu na washkaji zangu. Sasa nikaanza kuwapata kwakweli sikujali sana na mapenzi ya kidosi mimi nilikuwa nagegeda tu. Manake niliambiwa nikigegeda sana mwisho papuchi zitaninukia, na kuwapata wengi zaidi. Wala haikuwa uwongo nimewagegeda masister duu, wauza papuchi, mamantilie, wauza samaki kwaufupi nabeba aliekuwa mbele yangu. Tatizo likaja nikatokezea kumpenda kuna mdada mmoja akani hangaisha sana, mpaka nikamgegeda. Akataka kunipelekesha kama zamani nikamwambia kwa hapa sasa that's no no. Kiufupi mapenzi kwa sasa hakuna, jipende mwenyewe na acha ndoto za mapenzi ya kidosi.

Ndukiiiii
 
Many thanks brother.. Umenipa nguvu sana kwa maneno yako.
You got it brother.

And I commiserate with you big time.

So just hang in there and everything will be alright.

Sometimes life's journey has a lot of challenges.

The road is long with many hills, valleys, curves, and potholes.

You just gotta take every experience, good or bad, in stride and eventually things usually pan out.

I'm rooting for you my man.
 
sasa na wewe, si utumie kiswahil il wote tufaidi unakiandika.

Ivi hujui kiingeleza kinamaliza damu?
You got it brother.

And I commiserate with you big time.

So just hang in there and everything will be alright.

Sometimes life's journey has a lot of challenges.

The road is long with many hills, valleys, curves, and potholes.

You just gotta take every experience, good or bad, in stride and eventually things usually pan out.

I'm rooting for you my man.
 
Hujui kupepeti utajuta wenzako wakati wanajifunza haya wewe ulikuwa unakomaa na mavitabu-elimu haina nafasi katka mapenzi hiyo masters hata usiihusishe na mapenzi.
Utashangaa kuona kanakopendwa ni kauza matunda elimu la saba.
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom