Mkuu unafikiri wenyewe hawana Mungu yao jambo muhimu nikutokua na Imani na vyo na kutovifanya kabisa, uchawi hufuata yule anae ufanya na kuamini.Wanawake ni wachawi sana acha kabisa yaan acha kabisa wanawake wanaroga mbaya, ila mimi nina Mungu wamenishindwa kila wakijitahidi kuroga wapi hakuna kitu