Nahisi mzazi wangu anafanya ushirikina

Nahisi mzazi wangu anafanya ushirikina

Fufua Tumaini Jipya

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
223
Reaction score
469
Wakuu habari.

Nipo mzazi wangu , nahisi anafanya ushirikina .

Maana sifa za MTU mchawi hizi hapa

-hapendi mafanikio yako

-ukimwambia jambo lako
halifanikiwi hata iweje

-Ana chuki , anamchukia kila mtu

-Hana Shukran

Ila kubwa kuliko yote anamchukia Sana mzee wangu baba

Hii hali imedumu muda mrefu

Kuhusu yeye

-sio mtu wa dini
-hasali
-ni mtu wa kuchoma choma dawa

So maamuzi nilioamua kufanya ni kukaa nae mbali Sana na kuzima location (GPS)
 
Maamuzi uliyochukua ni sahihi 💯
 
Nani kama Mama
Hakuna kama Mama
Mama ni Mama hata kama Mchawi,
Mwizi,Malaya ,Kichaa,nk..
Usiingilie wala kutaka kujua kwanin ana chuki na baba yako..wanawake tunaweka sana vitu rohoni..hatvitoki kirahisi..
Mpende.
Msisitize asali kwa faida yake na ustawi wafamilia💕
 
ni mshirikina ndio, hayo maamuzi ni sahihi
 
Acha kumuhukumu mzazi, uchaei ni mzuti tu ila ulipigwa vita kali ma wamagharibi. Dawa ya moto ni moto.
Ukimletea za kuleta anakumaliza jifanye huoni. Mi mwenyewe naelekea kuzeeka hivi ninam0ango wa kujifunza uchawi maana kuonewa ni kwingi sana halafu tusubiri hukumu mamilioni ya miaka yajayo.
 
Nani kama Mama
Hakuna kama Mama
Mama ni Mama hata kama Mchawi,
Mwizi,Malaya ,Kichaa,nk..
Usiingilie wala kutaka kujua kwanin ana chuki na baba yako..wanawake tunaweka sana vitu rohoni..hatvitoki kirahisi..
Mpende.
Msisitize asali kwa faida yake na ustawi wafamilia💕

Hakuna cha Nani kama Mama wala nini.

Huwezi mpenda mchawi kama wewe sio mchawi hata kama ni Mamaako.

Nafikiri hujui Wachawi ni watu wa aina gani.
Wachawi ni version ya shetani.

Kama Kweli ni mchawi kijana akae Mbali na huyo Mama.
 
Wakuu habari.

Nipo mzazi wangu , nahisi anafanya ushirikina .

Maana sifa za MTU mchawi hizi hapa

-hapendi mafanikio yako

-ukimwambia jambo lako
halifanikiwi hata iweje

-Ana chuki , anamchukia kila mtu

-Hana Shukran

Ila kubwa kuliko yote anamchukia Sana mzee wangu baba

Hii hali imedumu muda mrefu

Kuhusu yeye

-sio mtu wa dini
-hasali
-ni mtu wa kuchoma choma dawa

So maamuzi nilioamua kufanya ni kukaa nae mbali Sana na kuzima location (GPS)
Wanaweke zaidi ya 90% wana amini ushirikina na wanaufanya, kuchukia Ex wake au mme wake au watoto wa mme wake hiyo ni sehemu ya maisha ya wanawake karibia wote hata bila sababu za msingi, usimtenge mama ako we kijana hawezi kupata mgine.
 
Nani kama Mama
Hakuna kama Mama
Mama ni Mama hata kama Mchawi,
Mwizi,Malaya ,Kichaa,nk..
Usiingilie wala kutaka kujua kwanin ana chuki na baba yako..wanawake tunaweka sana vitu rohoni..hatvitoki kirahisi..
Mpende.
Msisitize asali kwa faida yake na ustawi wafamilia💕
Ooooya ogopa sana ogopa kabisa yaan ogopa ogopa ogopa omba sana yasikukute, km umepata mama mzuri hakusumbui na hakufanyii figisu za kukutia nuksi na mikosi basi mshukuru sana Mungu

Anaweza akafanya kwenda kanisani, kusali, kufanya yote ya kidini ila tambua hayo yote ni maigizo yeye atabakia na asili yake ile ile yaan huko atafanya tu muone sio mtu wa hivyo ila atarudisha majeshi na kufanya yake.

Hivi unajua wachawi na wanga wengi sana ndio wanaoongoza kwenda kwenye nyumba za ibada au haujui? Sio kwamba wanaenda kwa ajili ya ibada hapana wanaenda ili jamii isiwaone vibaya kwamba huyu mboni hana dini kumbe kuna muda anafanya yake
 
Wanaweke zaidi ya 90% wana amini ushirikina na wanaufanya, kuchukia Ex wake au mme wake au watoto wa mme wake hiyo ni sehemu ya maisha ya wanawake karibia wote hata bila sababu za msingi, usimtenge mama ako we kijana hawezi kupata mgine.
Wanawake ni wachawi sana acha kabisa yaan acha kabisa wanawake wanaroga mbaya, ila mimi nina Mungu wamenishindwa kila wakijitahidi kuroga wapi hakuna kitu
 
Point yangu ilikua hivi ..hakuna mbadala wa Mama
 
Wanawake ni wachawi sana acha kabisa yaan acha kabisa wanawake wanaroga mbaya, ila mimi nina Mungu wamenishindwa kila wakijitahidi kuroga wapi hakuna kitu
Kwamba mama yako anakuroga usfanikiwe😛.okay sikua najua hili..msamiati mpya..semeni wamama wa Kiafrica wanapenda sana kutoa maneno yalaana akiona humjali wala kumheshimu .na maneno HUUMBA
 
Haumkwepi mchawi kwa kukaa naye mbali, popote uendapo anaweza kukupiga juju, unahitaji kinga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom