Aisee kamwambie alikate haraka sana na alizike mbali wewe uko wapi tafiti zimeonyesha kuwa mkono wa sweta ni chanzo kikubwa cha magojwa ya zinaa ukiwemo ugonjwa hata wa UKIMWI pamoja na kaswende pia ni chanzo kikubwa kueneza kansa ya mlango wa uzazi Cervical Cancer tena kapime uhakikishe hajakuachia magonjwa huyo especially human papiloma virus
Hao wanaokupa ushauri mwngine usio wa kitaalam achana nao
Kinacho nishangaza hao wanaofanya hizo tafiti (wazungu) hawatailiAisee kamwambie alikate haraka sana na alizike mbali wewe uko wapi tafiti zimeonyesha kuwa mkono wa sweta ni chanzo kikubwa cha magojwa ya zinaa ukiwemo ugonjwa hata wa UKIMWI pamoja na kaswende pia ni chanzo kikubwa kueneza kansa ya mlango wa uzazi Cervical Cancer tena kapime uhakikishe hajakuachia magonjwa huyo especially human papiloma virus
Hao wanaokupa ushauri mwngine usio wa kitaalam achana nao
Najutia kukata govi...ningekuwa nalo leo ningekuwa habari ya mujini...kitu nachuro. huhitaji kuvaa ndomu..unafunga mbele na rubber band unamkamua mtu ukikojoa unaenda toi kufungua rubber unamwaga mzigo...
kwani atatambulisha na govi lake?
Wee mtoto ! kwa hiyo hata kuishika hujawahi miaka yote hiyo!!!! nyie ni wenyeji wa mikoa ipi?
ishhh! sasa hayo mambo gani jamani?Duuuh huwa husemi na mike
we endelea kurubudika tu..govinda ni salama kwa matumizi ya faragha