Nani anamla nani kwenye sex? 😋

Nani anamla nani kwenye sex? 😋

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
20,704
Reaction score
48,417
Hey guys nimemiss huku! 😋

Mambo ya malovee 😋

Mimi nachojua, issue ya sex inahusisha watu wawili, yaani mwanaume na mwanamke

Mnapoanza mahusiano mna-date mpaka mnafikia hatua ya kukulana

Nadhani huwa sio bahati mbaya, ni mmepanga na mmekubaliana, si ndio?

Inafika siku yenyewe, mnagusanisha vikojoleo kwa raha zenu😋

Sex inahusisha watu wawili
Muda wa sex kila mtu anakuwa anashughulika kwa namna yake sio?

Aliye juu anapump kimtindo, wa chini anachora sifuri na michezo mingine
Au kwa style nyinginezo maamzi ni yenu ni ipi inawabariki mnatembea nayo
Hapa tunaona wote mpo kwenye mission ya kukojozana 💦💦

Mnafanya yenu kwa raha zenu mpaka kijasho kinawatoka
Hapo kila mtu anaugulia utamu mpaka mnafika mwisho, wote mnakojoaaaaaa! 💦💦

Sasa swali langu lipo hapa

Nini sababu inayofanya mwanaume aseme eti Nimemla fulani? 😅

Hivi anakua amemla au wamekulana?

I mean, kwenye sex kuna kukula mtu au kuna kukulana?

Unadhani kwanini wanaume hupenda kusema Fulani nimemla?

Ni kwamba siku anapewa na huyo mwanamke, alikuwa ametengewa kama bakuli la kunawia? 😆😂

Chombezo: Wanaume, kwanini mna kaushamba ka kusema Fulani nimemla halafu saa nyingine ukute hata hukumla?
Hua mnataka sifa ?😂

Halafu wanaumeeee!
Hivi ukikaliwa juu na mwanamke mwanzo mpaka mwisho, na yeye amekukula yaani umeliwa 🤪😂

NB: Kulombana sio anasa

ShesRise_1 — Weekend loaded! 🔥
 
Hapo anaeleweka anayeliwa, mwenye kilio ndo anamla mwenye kiliwa so msijisikie vibaya tunaposema fulani nimemla labda kama mtu anakusingizia ila kama amekukula kweli anakuwa yuko sahihi.

Haya mambo hayakuja kibahati mbaya ni nature ndo iliamua nani amle mwenzake na nani aliwe. Ndo maana kuna wakati huwa mnalalamika kwa kusema umenimbato muda wote huo halafu unaniacha ina maana me ndo mlaji na ke ni mliwaji. Lakini pia huwa tunaanza kuwatongoza ili tuwale siyo ili mtule
 
Back
Top Bottom