- Thread starter
- #121
Aisee kamwambie alikate haraka sana na alizike mbali wewe uko wapi tafiti zimeonyesha kuwa mkono wa sweta ni chanzo kikubwa cha magojwa ya zinaa ukiwemo ugonjwa hata wa UKIMWI pamoja na kaswende pia ni chanzo kikubwa kueneza kansa ya mlango wa uzazi Cervical Cancer tena kapime uhakikishe hajakuachia magonjwa huyo especially human papiloma virus
Hao wanaokupa ushauri mwngine usio wa kitaalam achana nao
Thanks kwa ushauri wako nitaufanyia kazi.