Nahisi mpenzi wangu ana govi

Nahisi mpenzi wangu ana govi

Status
Not open for further replies.
DIKE

pole sn,nakushaur hiv,ongea na dr mwambie wasiwasi wako afu mwambie unaumwa akupeleke hospital,mkifika mwambie dr afanye yake fasta!
 
Last edited by a moderator:
Govi sio ugonjwa mwambie akatahiri,wiki 2 tu anapona
 
Govi halina kabila. Natural is beauty. Wayahudi walianza kutahiri kwa sababu ya kuwakumbusha ahadi aliyoifanya baba yao kwa Mungu, sio kwa sababu ya kulinda ukabila. Watu wanakosea kutahiri bila kujua sababu. Magovi yapo kila mahali dunia nzima kwa weupe na weusi na hata wekundu. Usafi ni hulka ya mtu.
 
Kwahyo utaendelea kukaa nae hivyohivyo? Kwanin leo umekuja kusema wakati umedumu nae mwaka na nusu? Kwanin usimchunguze?

Kama unampenda nenda mshauri akatahiriwe.
 
Ina maana hata hushikagi MIC wakati maandalizi ya kupiga akapela.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom