Nahisi mpenzi wangu ana govi

Nahisi mpenzi wangu ana govi

Status
Not open for further replies.
Kwani mwenye govi hamwagi? au sio mtamu,acha kumsema kisa gov ishu ya kuchunguliana mnapooga yeye hapendi na hajazoea ndo mana anaifichaficha ila isiwe sababu ya kumshuku eti govi*nda..
 
Hii kali sana aisee.........
Mwaka na nusu hujui "dudu" yake ikoje????

Yaani ndani ya miezi 3 tu unapaswa uwe unaijua ndani nje...

Sorry hujawahi hata kujipimia? Maana ungeijua

Anyway vunja ukimya sema nae....maana kuna dalili za kuuziwa mbuzi kwenye kiroba
 
Nasikia kuna madhara ya govi ndio mana naogopa.
 
Ushauri mzuri huu ikiwa hajatailiwa wewe jifanye kama unataka kuyonya uume wake au unataka kumpa styles ya kukalia uume vile utauchunguza vema tu. Baada ya hapo ikiwa unampenda mwambie akatahiliwe sio vibaya ukimsindikiza ikiwa unaishi mbezi au mwnaanyamala wewe mpeleke kibaha huko yaan mbali na nyumbani. Atakuheshimu sana
 
najutia kukata govi...ningekuwa nalo leo ningekuwa habari ya mujini...kitu nachuro. huhitaji kuvaa ndomu..unafunga mbele na rubber band unamkamua mtu ukikojoa unaenda toi kufungua rubber unamwaga mzigo...

mh aisee kumbe?
 
I presume you are both matured, having govi is not something deplorable, dont be such narcissist girl. If he has sustained for all that age since he was a teen cleaning it no iota of smut or shard, ask him to keep it the same as long as he satisfies your sexual desires no need to whinge over here.

It should not something to irritate your mind, Alas!! Adieu
 
Hii kali sana aisee.........
Mwaka na nusu hujui "dudu" yake ikoje????

Yaani ndani ya miezi 3 tu unapaswa uwe unaijua ndani nje...

Sorry hujawahi hata kujipimia? Maana ungeijua

Anyway vunja ukimya sema nae....maana kuna dalili za kuuziwa mbuzi kwenye kiroba

Ladies

4210704-8070704717-shes-.jpg


Give it up.
 
Govi halisafishiki vizuri. Ukilichungulia kwa makini lazima utaona kitu. Sio vizuri kufuga govi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom