Nahisi mpenzi wangu ana govi

Nahisi mpenzi wangu ana govi

Status
Not open for further replies.
Tafuta simu ya torch Akivua boksa muache akilichomeka litoe kwa mkono limulike torch utalijua km govi au sio govi😀😀
 
nina swali zur sana,hv huyu mungu ambae alimuumba mwanadam na kumpa kila kiungo kulingana na matakwa yake alivyohtaji,sasa inakuaje kama huyu mungu alie tuumba na ku2ma viungo vyote kama apendavyo,iweje leo iwe ni sehem mbaya,kwanini asingeumba wanaume wakiwa wametairiwa?

Mbna unanyoa nywele na ndevu? Na y upake mafuta? C angekuumba Ukiwa unashine?
 
Je, katika mambo ya msingi kwa Mume mtarajiwa wako hilo ndo priority #1??? Kama anakidhi vigezo vya msingi, waweza kumshauri na ukampeleka/kumsindikiza kufanya hivyo. Its a matter of information, knowledge and awareness. Kuna jamii ambazo hilo siyo kipaumbele kabisa ktk maisha yao. Na si kwamba sio binadamu halali. Huenda Mungu amekuongoza ili uwe msaada kwake ktk hilo.

So, ukipenda jembe....Upende na mpini wake!!
 
Hivi badogo wapo waaina hiyo sikia mdogo wangu ww mchunguze kama kweli bas mshauli akatahiliwe ili ule kitu roho inpenda
 
Auuuuwi! Twole kindu naku! 21st century?

Au pengine kwao ni taboo kutahiriwa.
Mwulize kama kweli una future na yeye.
 
Kaina, let me tell you for the fact.
Ujana ni moto wa makaratasi, hauwaki for long.

My bro ambaye ni an Andrologist (mtaalamu wa viungo vya siri vya kiume) has told me,
Madhara ya kutotahiriwa yanazidi faida kwa mara 3.

The moment nilisoma points mchango wako,
Nilimpigia simu na akasikitishwa na jinsi unavyosifia your untrimmed 'P.'

Yes, at the moment unaiona ikiwa sawa. How about 10-20yrs to come?
Hata 20 degrees itakuwa haiwezi,
Coz a lot of energy will be required to sustain it!

Do u even know the reason behind circumcision in health matters?
Don't u have a little fear for your Creator?

Yes, unaweza kushughulia dame hadi akajisahau,
BUT NOT FOR LONG AS YOU CLAIM.
Hiyo kitu yako iko so sensitive such that raundi moja tu,
Inakufa ganzi kabisa!
Plus it takes a second for a virus to penetrate through your 'uncut, easily permiable & sensitive P'?

Of all things umesoma umejua kusifia NGONO!?
What a high class stupidity we hav nowdays!
Real men take sex as an obligation not a profession!
I pity you.
 
Last edited by a moderator:
govi lina raha yake na karaha zake bandugu

swali la nyongeza nyie mnaonyonya lakera ama?
 
Jaribu kumwambia unataka kulamba koni uskie reaction yake
 
vya kuambiwa changanya na vyako pia muogope sana mtu anayekwambia faida za jambo fulani tu bila kukwambia hasara zake watu wanabuni mbinu za kupiga hela pengine bila kujali utu.Sijawahi kusikia kampeni za kutangaza hasara za tohara ila nasikia kampeni za faida tu NINA MASHAKA NA HII KAMPENI!
 
Kiluuj,

Mkuu akili za kuambiwa changanya na za kwako. U mean wazungu au jamii ambazo hazitahiriwi wanakosa nguvu za kiume? Uliwahi kuisikia wapi duniani? Research gani? Google kote uone relationship ya kutotahiriwa na nguvubza kiume! Hebu kuwa mtu mzima unayependa kujiongeza! Who is ur bro? Yeye ndo andrologist anayejua sana dunia nzima? We danganyika tu. Kwa taarifa yako hii kitu ni natural na inapiga kazi hadi uzeeni mwendo ule ule acha kumezeshwa wewe. Natamani nimjue mkeo uone kama atarudi kwako!
 
Last edited by a moderator:
DIKE,

wakati mwingine unaweza kuta ni swala la kujiamini tu, unajua hizi Machine zina shepu za tofauti tofauti unakuta anaficha kutokana na umbile lake may be linamnyima uhuru ndio mana unaona anafanya hivyo. govi sio tatizo acha tu akajitambulishe si utaongea nae litakatwa.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom