Kaina
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 380
- 326
Nina mpenzi tunapendana sana. Kwa kweli ni raha tupu. Hivi karibuni nimegundua hajatahiriwa. Imeniumiza maana sikutegemea na wala sikugundua mapema. Nami nampenda sana. Je, kuna madhara yoyote kuwa na mpenzi mwenye govi? Nini nifanye?
Dada umepata bahati alafu unajitia uchizi