Nahisi mpenzi wangu ana govi

Nahisi mpenzi wangu ana govi

Status
Not open for further replies.
nyie mna masihara sana...mwaka nanusu hamjuani maumbile.....au mmefanya mara moja tu n dani ya mwaka na nusu....your not serious......bora usubiri ndoa ndio uchunguzi maana kila kitu ni batili kwa sasa usitake tu kumjua sana,,...af msikutane tena
 
DIKE,

Hahahaha dah kama namuona vile jamaa yako anavyorudishaga uume kwa nyuma maana ukirudi uume kwa nyuma inatengeneza umbo la papuchi.
 
nishawahi kusikia kua wadada wanapogegedwa na mwenye mkono wa sweta wanaskia raha zaid kuliko ambao wapo normal...
wadada kuna ukweli wowote?
 
Dadeq Zako Kwanza Umevunja Amri Ya 5... Inayokukataza Usizini, Pia mwambie jamaa alikate dubwasha lake maana hata mungu alimwambia musa awatahiri watu wake ndo mana hata yesu alitahiriwa...
ila usizini tena muombe mungu akunyooshee mapito yako ili tamaa ya kuduchuana isikusogelee... sawa??!

Duuh..ya tano 😂😂
 
Duuh Sasa ukikutana na kina lara1 nahicho kinucta si watakujambisha brother!
Hahahaha najua kijutumia kibamia changu kama vile yule kada wa CCM mtaaramu wa kupiga deki(uvinza,chumvini)
 
Last edited by a moderator:
Hata Yesu alitahiriwa baada ya siku 8 tu na hata wayahudi wengi hivi sasa....mshauri akakate hiyo ngozi bana labda tu kama na Mjaluo.
 
You better ask him to suck his dushelele.
Kuliko kuja kutafuta majibu kwa watu wasiomjua JF.
 
nina swali zur sana,hv huyu mungu ambae alimuumba mwanadam na kumpa kila kiungo kulingana na matakwa yake alivyohtaji,sasa inakuaje kama huyu mungu alie tuumba na ku2ma viungo vyote kama apendavyo,iweje leo iwe ni sehem mbaya,kwanini asingeumba wanaume wakiwa wametairiwa?
 
Pia nami nakuambia mjenge kisaikolojia ila mshauri tu akatahiriwe lakini kama huoni shida na mnapendana endeleeni na maisha bana wapo wengi tu sana dunia hii hawajatahiriwa dada
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom