Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,389
Alhamdulillah: yako pouwaaahMambo yako?
Alhamdulillah: yako pouwaaahMambo yako?
Wanajukwaa habarini, natumaini hamjambo na mko poa.
Nimeleta swala hapa naomba mnishauri au mm ndio namtazamo mbaya kabla sijachukua action yoyote Kuna binti mmoja nipo kwenye uhusiano na yeye kwa muda kama wa miaka 3. Mwaka jana niliamua niende juzi nilienda kwao kujitambulisha na nikatoa kishika uchumba
Baada ya kurudi maisha yaliendelea kila mmoja akiwa anaishi kwake.
Kwa kuwa tulikuwa tunaishi mbalimbali nikaona nimuwezeshe mwenzangu nikamfungulia biashara ya jumla kama milion 4 .2. Lengo lilikuwa tuwe tunasaidiana katika maisha na yeye nimpe kazi apate kazi rasmi. Baada ya mwezi mmoja nilianza kuona kama utofauti nilienda na kaxi pale ofcn kwa mchumba wangu nikamwambia nifanyie kuprint page zilikuwa kama kumi jibu nililopewa nikaambiwa no money no service
Niliingiwa na hasira nikamjibu pale pale hivi vitu vyoye nani alinunua?
Nikaamua kuondoka nikarudi ofcn nikafungua nikaprint ile kazi ofcn japo ilikuwa jion sana. Baada kama ya wiki akaniambia naomba nihamie kwako !! Ili tuanze kuishi pamoja umeshajitambulisha tayari kwetu. Nikamjibu nipe muda nitakujibu, kila tulipokuwa tunakutana alisisitiza jambo lile lile
Nikamwambia ongea na ndugu zako sio waje wasikie upo kwangu halafu waanze kunisumbua ,akanijibu tayari nimeongea. Siku moja nilisafiri kikazi niliporudi tayari nilimkuta kahamishia vitu vyake vyote vipo kwangu. ..nikapigwa nabutwaa tu kwa kuwa ufunguo wa nyumba huwa tumegawana
Tatizo lilipoanzia
Majuzi mama yake kampigia cm walikuwa wanaongea kwa kiruga ila kwa kuwa kilikuwa ni kibantu kuna maneno niambulia kuyasikia baadae akamwambia mpe simu mumeo, akanipa. Tuliongea vizuri salamu na baadae akaanza sasa wewe umekuja kujitambulisha ,halafu umeenda jumla ...haujarudi tukupangie mahali
Nikamwambia mama swala la mahali bado najipanga nitakapokuwa tayari nitakuja ..akajibu yaani wewe mpaka sasa hivi haujajipanga tu. Ikabidi nimtolee uvivu nikamwambia wewe unajua uchumi wangu ? Unajua mipango yangu nikamwambia kwani mahali ni lazima au ni zawadi akanijibu mm naitaka mahali si unajua uko na binti yangu huyo ni binadamu, Mara nataka nile mahali kabla sijafa
Nikamjibu nimekuelewa ila sifikirii leo au kesho kuleta mahali kama kuna mwanaume mwingine anataka kuleta mahali pokeeni binti yenu aolewe. Baada ya kukata cm mchumba wangu aakaanza yaani unamjibu mama yangu hivyo kweli nikamwambia ulitaka nimjibu vipi?
Nilikulazimisha uhamie kwangu ? Mbn ndugu zako sio wastarabu hivi hawaoni juhudi nilizozifanya kwako kukukwamua na kukufungulia ofisi kwa sasa sina hela
Nikamwambia na wewe kama unaona mm sina dira ya maisha yako chapa mwendo ..hiyo ofisi chukua vitu vyot
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Alhamdulillah: yako pouwaaah
Huyo mama amemfanya mwanae kitega uchumiKwa
Tamaduni zetu sisis wasukuma...ni mwiko mama mkwe kuongea na mkwilima...yaani njia aliyoitumia nilihic kama kanidharau vile ...na mm nikaona nimuoneshe kiburi
Kiongozi una moyo sana katika vitu ambavyo sipendi ni kupigiwa simu ama kuongea na mama mkwe. Ila huyo mama wa mchumba wako kina nati imelegea kichwani. Naomba kujua kwani hauna mshenga maana hayo mambo yatakiwa hakueleze mshenga sio mama mkwe. Upumbafu wa kuongea kilugha kati ya mke na mama yake kuna ujinga mwingi unaendelea. Dalili ya mvua ni mawingu hapo umeyakanyaga subiri mziki yaani kishika uchumba tu mana mkwe anaongea na wewe hivyo. Au alikuwa anakutania. Ongea na mchumba wako. Halafu kama ni biashara iwe biashara. Unaenda kutoa copy bureWanajukwaa habarini, natumaini hamjambo na mko poa.
Nimeleta swala hapa naomba mnishauri au mm ndio namtazamo mbaya kabla sijachukua action yoyote Kuna binti mmoja nipo kwenye uhusiano na yeye kwa muda kama wa miaka 3. Mwaka jana niliamua niende juzi nilienda kwao kujitambulisha na nikatoa kishika uchumba
Baada ya kurudi maisha yaliendelea kila mmoja akiwa anaishi kwake.
Kwa kuwa tulikuwa tunaishi mbalimbali nikaona nimuwezeshe mwenzangu nikamfungulia biashara ya jumla kama milion 4 .2. Lengo lilikuwa tuwe tunasaidiana katika maisha na yeye nimpe kazi apate kazi rasmi. Baada ya mwezi mmoja nilianza kuona kama utofauti nilienda na kaxi pale ofcn kwa mchumba wangu nikamwambia nifanyie kuprint page zilikuwa kama kumi jibu nililopewa nikaambiwa no money no service
Niliingiwa na hasira nikamjibu pale pale hivi vitu vyoye nani alinunua?
Nikaamua kuondoka nikarudi ofcn nikafungua nikaprint ile kazi ofcn japo ilikuwa jion sana. Baada kama ya wiki akaniambia naomba nihamie kwako !! Ili tuanze kuishi pamoja umeshajitambulisha tayari kwetu. Nikamjibu nipe muda nitakujibu, kila tulipokuwa tunakutana alisisitiza jambo lile lile
Nikamwambia ongea na ndugu zako sio waje wasikie upo kwangu halafu waanze kunisumbua ,akanijibu tayari nimeongea. Siku moja nilisafiri kikazi niliporudi tayari nilimkuta kahamishia vitu vyake vyote vipo kwangu. ..nikapigwa nabutwaa tu kwa kuwa ufunguo wa nyumba huwa tumegawana
Tatizo lilipoanzia
Majuzi mama yake kampigia cm walikuwa wanaongea kwa kiruga ila kwa kuwa kilikuwa ni kibantu kuna maneno niambulia kuyasikia baadae akamwambia mpe simu mumeo, akanipa. Tuliongea vizuri salamu na baadae akaanza sasa wewe umekuja kujitambulisha ,halafu umeenda jumla ...haujarudi tukupangie mahali
Nikamwambia mama swala la mahali bado najipanga nitakapokuwa tayari nitakuja ..akajibu yaani wewe mpaka sasa hivi haujajipanga tu. Ikabidi nimtolee uvivu nikamwambia wewe unajua uchumi wangu ? Unajua mipango yangu nikamwambia kwani mahali ni lazima au ni zawadi akanijibu mm naitaka mahali si unajua uko na binti yangu huyo ni binadamu, Mara nataka nile mahali kabla sijafa
Nikamjibu nimekuelewa ila sifikirii leo au kesho kuleta mahali kama kuna mwanaume mwingine anataka kuleta mahali pokeeni binti yenu aolewe. Baada ya kukata cm mchumba wangu aakaanza yaani unamjibu mama yangu hivyo kweli nikamwambia ulitaka nimjibu vipi?
Nilikulazimisha uhamie kwangu ? Mbn ndugu zako sio wastarabu hivi hawaoni juhudi nilizozifanya kwako kukukwamua na kukufungulia ofisi kwa sasa sina hela
Nikamwambia na wewe kama unaona mm sina dira ya maisha yako chapa mwendo ..hiyo ofisi chukua vitu vyot
Inaelekea kama humhitaji hivi? Ni nini unachojaribu kuthibitisha kutoka kwake/kwao?Mi namuangalia tu kwa sasa kama wamedanganyana na binti yake .....itakula kwake yaani hata kama nilikuwa nataka kutoa sitoi mwaka huu wala mwakani ...mpk halimashauri ya kichwa changu itakaporidhia wakiona nazingua wamwambie binti yao aondoke kwangu
Alitegemea ubembeleze, si wapenzi nyie? Hamna hata kutaniana kidogo?Mi nilienda nikamwambia tarehe sio nzuri niandike deni unifanyie kazi yangu mshahara ukitoka nakulipa hela yako ...nikaambulia majibu hayo
Jamaa ana jazba sana unaongea vipi na mama wa mwenzio hivyo hata km hakuwa mstaarabu mama yako angejibiwa hivyo na huyo demu ungekubali?????Wanajukwaa habarini, natumaini hamjambo na mko poa.
Nimeleta swala hapa naomba mnishauri au mm ndio namtazamo mbaya kabla sijachukua action yoyote Kuna binti mmoja nipo kwenye uhusiano na yeye kwa muda kama wa miaka 3. Mwaka jana niliamua niende juzi nilienda kwao kujitambulisha na nikatoa kishika uchumba
Baada ya kurudi maisha yaliendelea kila mmoja akiwa anaishi kwake.
Kwa kuwa tulikuwa tunaishi mbalimbali nikaona nimuwezeshe mwenzangu nikamfungulia biashara ya jumla kama milion 4 .2. Lengo lilikuwa tuwe tunasaidiana katika maisha na yeye nimpe kazi apate kazi rasmi. Baada ya mwezi mmoja nilianza kuona kama utofauti nilienda na kaxi pale ofcn kwa mchumba wangu nikamwambia nifanyie kuprint page zilikuwa kama kumi jibu nililopewa nikaambiwa no money no service
Niliingiwa na hasira nikamjibu pale pale hivi vitu vyoye nani alinunua?
Nikaamua kuondoka nikarudi ofcn nikafungua nikaprint ile kazi ofcn japo ilikuwa jion sana. Baada kama ya wiki akaniambia naomba nihamie kwako !! Ili tuanze kuishi pamoja umeshajitambulisha tayari kwetu. Nikamjibu nipe muda nitakujibu, kila tulipokuwa tunakutana alisisitiza jambo lile lile
Nikamwambia ongea na ndugu zako sio waje wasikie upo kwangu halafu waanze kunisumbua ,akanijibu tayari nimeongea. Siku moja nilisafiri kikazi niliporudi tayari nilimkuta kahamishia vitu vyake vyote vipo kwangu. ..nikapigwa nabutwaa tu kwa kuwa ufunguo wa nyumba huwa tumegawana
Tatizo lilipoanzia
Majuzi mama yake kampigia cm walikuwa wanaongea kwa kiruga ila kwa kuwa kilikuwa ni kibantu kuna maneno niambulia kuyasikia baadae akamwambia mpe simu mumeo, akanipa. Tuliongea vizuri salamu na baadae akaanza sasa wewe umekuja kujitambulisha ,halafu umeenda jumla ...haujarudi tukupangie mahali
Nikamwambia mama swala la mahali bado najipanga nitakapokuwa tayari nitakuja ..akajibu yaani wewe mpaka sasa hivi haujajipanga tu. Ikabidi nimtolee uvivu nikamwambia wewe unajua uchumi wangu ? Unajua mipango yangu nikamwambia kwani mahali ni lazima au ni zawadi akanijibu mm naitaka mahali si unajua uko na binti yangu huyo ni binadamu, Mara nataka nile mahali kabla sijafa
Nikamjibu nimekuelewa ila sifikirii leo au kesho kuleta mahali kama kuna mwanaume mwingine anataka kuleta mahali pokeeni binti yenu aolewe. Baada ya kukata cm mchumba wangu aakaanza yaani unamjibu mama yangu hivyo kweli nikamwambia ulitaka nimjibu vipi?
Nilikulazimisha uhamie kwangu ? Mbn ndugu zako sio wastarabu hivi hawaoni juhudi nilizozifanya kwako kukukwamua na kukufungulia ofisi kwa sasa sina hela
Nikamwambia na wewe kama unaona mm sina dira ya maisha yako chapa mwendo ..hiyo ofisi chukua vitu vyot
Anza na kichwa cha huu uzi, unajibu kila kitu.Kuna kiburi na msimamo.....
vinatofautiana sana
Wewe mleta mada lazima utakuwa ulivuta bangi enzi za ujana wako .
Una majibu dry sana .
It was simple ungeelewesha Kwanza situation uliyonayo
Sio unakuwa na panic mode Everytime .
Sasa kwakuwa wewe umemwezesha mtaji ndio upate free service hujui kuwa biashara Ina miiko yake ili ikue .
Mama mkwe kauzu nae sana tu kuna vitu hapaswi kuongea directly Kama hivyo labda njaa imezidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mkwe mswahili sana hata baadae inaonyesha atakuingilia kwenye ndoa yako.Wanajukwaa habarini, natumaini hamjambo na mko poa.
Nimeleta swala hapa naomba mnishauri au mm ndio namtazamo mbaya kabla sijachukua action yoyote Kuna binti mmoja nipo kwenye uhusiano na yeye kwa muda kama wa miaka 3. Mwaka jana niliamua niende juzi nilienda kwao kujitambulisha na nikatoa kishika uchumba
Baada ya kurudi maisha yaliendelea kila mmoja akiwa anaishi kwake.
Kwa kuwa tulikuwa tunaishi mbalimbali nikaona nimuwezeshe mwenzangu nikamfungulia biashara ya jumla kama milion 4 .2. Lengo lilikuwa tuwe tunasaidiana katika maisha na yeye nimpe kazi apate kazi rasmi. Baada ya mwezi mmoja nilianza kuona kama utofauti nilienda na kaxi pale ofcn kwa mchumba wangu nikamwambia nifanyie kuprint page zilikuwa kama kumi jibu nililopewa nikaambiwa no money no service
Niliingiwa na hasira nikamjibu pale pale hivi vitu vyoye nani alinunua?
Nikaamua kuondoka nikarudi ofcn nikafungua nikaprint ile kazi ofcn japo ilikuwa jion sana. Baada kama ya wiki akaniambia naomba nihamie kwako !! Ili tuanze kuishi pamoja umeshajitambulisha tayari kwetu. Nikamjibu nipe muda nitakujibu, kila tulipokuwa tunakutana alisisitiza jambo lile lile
Nikamwambia ongea na ndugu zako sio waje wasikie upo kwangu halafu waanze kunisumbua ,akanijibu tayari nimeongea. Siku moja nilisafiri kikazi niliporudi tayari nilimkuta kahamishia vitu vyake vyote vipo kwangu. ..nikapigwa nabutwaa tu kwa kuwa ufunguo wa nyumba huwa tumegawana
Tatizo lilipoanzia
Majuzi mama yake kampigia cm walikuwa wanaongea kwa kiruga ila kwa kuwa kilikuwa ni kibantu kuna maneno niambulia kuyasikia baadae akamwambia mpe simu mumeo, akanipa. Tuliongea vizuri salamu na baadae akaanza sasa wewe umekuja kujitambulisha ,halafu umeenda jumla ...haujarudi tukupangie mahali
Nikamwambia mama swala la mahali bado najipanga nitakapokuwa tayari nitakuja ..akajibu yaani wewe mpaka sasa hivi haujajipanga tu. Ikabidi nimtolee uvivu nikamwambia wewe unajua uchumi wangu ? Unajua mipango yangu nikamwambia kwani mahali ni lazima au ni zawadi akanijibu mm naitaka mahali si unajua uko na binti yangu huyo ni binadamu, Mara nataka nile mahali kabla sijafa
Nikamjibu nimekuelewa ila sifikirii leo au kesho kuleta mahali kama kuna mwanaume mwingine anataka kuleta mahali pokeeni binti yenu aolewe. Baada ya kukata cm mchumba wangu aakaanza yaani unamjibu mama yangu hivyo kweli nikamwambia ulitaka nimjibu vipi?
Nilikulazimisha uhamie kwangu ? Mbn ndugu zako sio wastarabu hivi hawaoni juhudi nilizozifanya kwako kukukwamua na kukufungulia ofisi kwa sasa sina hela
Nikamwambia na wewe kama unaona mm sina dira ya maisha yako chapa mwendo ..hiyo ofisi chukua vitu vyot
Hahaha...Wanajukwaa habarini, natumaini hamjambo na mko poa.