Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,674
kaka kiufupi tu mpaka hapo ujue kabisa hauna mke
na kwa ufupi tu mke wako anatoka kwenye familia ambayo mama ndiye mwenye sauti,so hata wewe ukimuweka ndani ujue itakuwa ni batte ya kila siku ya kuhakikisha mke anakuwa last say,na hivi umeonesha msimamo ukae ukijua kabisa hata kwa sangoma utaendewa ili ukae sawa kaka,kazi ni kwako ila pole.