Nahisi mama mkwe anatikisa kiberiti

Nahisi mama mkwe anatikisa kiberiti

Mkuu mbn mm sina majivu yoyote , nifanue nn sasa ninyenyekee tu kisa nataka mke...
 
I see mpaka nimesisimka mwili. Wewe hujielewi hata kidogo. Tatizo unalo kubwa. Kwanza umempata binti muelewa,ila wewe ndio unawajaribu watu huna nia ya kuoa,ndio maana hata majibu yako ya ovyo. Nafikiri kiburi chako kinatokana na kipato ulichonacho. Kwa hiyo unajimwambafai kwamba hawa masikini nawawezesha mimi watanifanya nini?.

Tukija kwenye swala la kuoa nako umekosea sana. Kwa nini usiwaone kwanza wakushauri ni namna gani inakuwa. Ni yale yale ya kujimwambafai kwamba kwa sbb unazo basi wewe ni kila kitu. Unakosea sana. Kawaida ukishapeleka kujitambulisha,maana yake uko tayari kuoa,maana yake hapo unaomba wakupangie mahali. Na haitakiwi izidi miezi 6.

Nina uhakika hata mkioana huyo mke wako atapata shida sana kwako kwa majibu hayo. Una hatua ndefu za kujirekebisha,hata namna ya kumjibu mtu kwa uvumilivu. Bahati mbaya unaweza kukuta ni tabia yako tu,ukiamua kubadirika,utakuwa unabadirika kwa muda unarudia kule kule,ama unabadirika kwa kiasi. Jipange upya muombe msamaha mkeo na mama mkwe pia kwa kwa majibu yako kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya kuhamia kwa mwanaume kienyeji si mazuri hata kama amejitambulisha kwenu.

Ninakumbuka head mistress wetu nikiwa O-level alisema ukipigwa u tasema umepigwa na nani?

Mabinti wengi wanachukua hatua hii wakiamini kuwa ile sheria ya ndoa ya kukaa miaka miwili au zaidi kama mke na mume itawalinda.

Mwanaume akisita kukuchukua kwa taratibu zote na wewe ringa kidogo. Kama anakupenda hatapotea.
 
Hai
I see mpaka nimesisimka mwili. Wewe hujielewi hata kidogo. Tatizo unalo kubwa. Kwanza umempata binti muelewa,ila wewe ndio unawajaribu watu huna nia ya kuoa,ndio maana hata majibu yako ya ovyo. Nafikiri kiburi chako kinatokana na kipato ulichonacho. Kwa hiyo unajimwambafai kwamba hawa masikini nawawezesha mimi watanifanya nini?. Tukija kwenye swala la kuoa nako umekosea sana. Kwa nini usiwaone kwanza wakushauri ni namna gani inakuwa. Ni yale yale ya kujimwambafai kwamba kwa sbb unazo basi wewe ni kila kitu. Unakosea sana. Kawaida ukishapeleka kujitambulisha,maana yake uko tayari kuoa,maana yake hapo unaomba wakupangie mahali. Na haitakiwi izidi miezi 6. Nina uhakika hata mkioana huyo mke wako atapata shida sana kwako kwa majibu hayo. Una hatua ndefu za kujirekebisha,hata namna ya kumjibu mtu kwa uvumilivu. Bahati mbaya unaweza kukuta ni tabia yako tu,ukiamua kubadirika,utakuwa unabadirika kwa muda unarudia kule kule,ama unabadirika kwa kiasi. Jipange upya muombe msamaha mkeo na mama mkwe pia kwa kwa majibu yako kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haitakuja kutokea mm kumuomba msamaha kama anachapa raba yeye achape tu ....sikumlazimisha kuhamia kwangu na haya niliyaona mapema
 
Wanajukwaa habarini ,natumaini hamjambo na mko poa ...

Nimeleta swala hapa naomba mnishauri au mm ndio namtazamo mbaya kabla sijachukua reaction yoyote

Kuna binti mmoja nipo kwenye uhusiano na yeye kwa muda kama wa miaka 3 ...mwaka jana niliamua niende juzi nilienda kwao kujitambulisha na nikatoa kishika uchumba

Baada ya kurudi maisha yaliendelea kila mmoja akiwa anaishi kwake ...

Kwa kuwa tulikuwa tunaishi mbalimbali nikaona nimuwezeshe mwenzangu nikamfungulia biashara ya jumla kama milion 4 .2

Lengo lilikuwa tuwe tunasaidiana katika maisha na yeye nimpe kazi apate kazi rasmi

Baada ya mwezi mmoja nilianza kuona kama utofauti ...nilienda na kaxi pale ofcn kwa mchumba wangu nikamwambia nifanyie kuprint ....page zilikuwa kama kumi jibu nililopewa nikaambiwa no money no service
Niliingiwa na hasira nikamjibu pale pale hivi vitu vyoye nani alinunua??

Nikaamua kuondoka nikarudi ofcn nikafungua nikaprint ile kazi ofcn japo ilikuwa jion sana

Baada kama ya wiki akaniambia naomba nihamie kwako !! Ili tuanze kuishi pamoja umeshajitambulisha tayari kwetu

Nikamjibu nipe muda nitakujibu....kila tulipokuwa tunakutana alisisitiza jambo lile lile

....Nikamwambia ongea na ndugu zako sio waje wasikie upo kwangu halafu waanze kunisumbua ,akanijibu tayari nimeongea

Siku moja nilisafiri kikazi niliporudi tayari nilimkuta kahamishia vitu vyake vyote vipo kwangu. ..nikapigwa nabutwaa tu kwa kuwa ufunguo wa nyumba huwa tumegawana

Tatizo lilipoanzia
majuzi mama yake kampigia cm walikuwa wanaongea kwa kiruga ila kwa kuwa kilikuwa ni kibantu kuna maneno niambulia kuyasikia baadae akamwambia mpe simu ...mumeo akanipa

Tuliongea vizuri salamu na baadae akaanza sasa wewe umekuja kujitambulisha ,halafu umeenda jumla ...haujarudi tukupangie mahali

Nikamwambia mama swala la mahali bado najipanga nitakapokuwa tayari nitakuja ..akajibu yaani wewe mpaka sasa hivi haujajipanga tu

Ikabidi nimtolee uvivu ...nikamwambia wewe unajua uchumi wangu ? Unajua mipango yangu ...nikamwambia kwani mahali ni lazima au ni zawadi
akanijibu mm naitaka mahali si unajua uko na binti yangu huyo ni binadamu ... Mara nataka nile mahali kabla sijafa

Nikamjibu nimekuelewa ila sifikirii leo au kesho kuleta mahali ...kama kuna mwanaume mwingine anataka kuleta mahali pokeeni binti yenu aolewe

Baada ya kukata cm mchumba wangu aakaanza yaani unamjibu mama yangu hivyo kweli nikamwambia ulitaka nimjibu vipi?

Nilikulazimisha uhamie kwangu ? Mbn ndugu zako sio wastarabu hivi hawaoni juhudi nilizozifanya kwako kukukwamua na kukufungulia ofisi ...kwa sasa sina hela ..

Nikamwambia na wewe kama unaona mm sina dira ya maisha yako chapa mwendo ..hiyo ofisi chukua vitu vyot
Wewe ndiye mtata yani una kujikweza flani na huna adabu kabisa
 
Kuna dada mmoja tulisoma nae alijisogeza kwa mwanaume hivyo hivyo. Baada ya watoto wanne bila mahari alitingisha kibiriti cha kwenda kwao ili mume amfuate na alipe mahari. Matokeo yake jamaa alipeleka watoto wote boarding school hakwenda kwa wakwe wala nini.
 
Kuna dada mmoja tulisoma nae alijisogeza kwa mwanaume hivyo hivyo. Baada ya watoto wanne bila mahari alitingisha kibiriti cha kwenda kwao ili mume amfuate na slope mahari. Matokeo yake jamaa alipeleka watoto wote boarding school hakwenda kwa wakwe wala nini.
Mi namuangalia tu kwa sasa kama wamedanganyana na binti yake .....itakula kwake yaani hata kama nilikuwa nataka kutoa sitoi mwaka huu wala mwakani ...mpk halimashauri ya kichwa changu itakaporidhia wakiona nazingua wamwambie binti yao aondoke kwangu
 
Wanajukwaa habarini ,natumaini hamjambo na mko poa ...

Nimeleta swala hapa naomba mnishauri au mm ndio namtazamo mbaya kabla sijachukua reaction yoyote

Kuna binti mmoja nipo kwenye uhusiano na yeye kwa muda kama wa miaka 3 ...mwaka jana niliamua niende juzi nilienda kwao kujitambulisha na nikatoa kishika uchumba

Baada ya kurudi maisha yaliendelea kila mmoja akiwa anaishi kwake ...

Kwa kuwa tulikuwa tunaishi mbalimbali nikaona nimuwezeshe mwenzangu nikamfungulia biashara ya jumla kama milion 4 .2

Lengo lilikuwa tuwe tunasaidiana katika maisha na yeye nimpe kazi apate kazi rasmi

Baada ya mwezi mmoja nilianza kuona kama utofauti ...nilienda na kaxi pale ofcn kwa mchumba wangu nikamwambia nifanyie kuprint ....page zilikuwa kama kumi jibu nililopewa nikaambiwa no money no service
Niliingiwa na hasira nikamjibu pale pale hivi vitu vyoye nani alinunua??

Nikaamua kuondoka nikarudi ofcn nikafungua nikaprint ile kazi ofcn japo ilikuwa jion sana

Baada kama ya wiki akaniambia naomba nihamie kwako !! Ili tuanze kuishi pamoja umeshajitambulisha tayari kwetu

Nikamjibu nipe muda nitakujibu....kila tulipokuwa tunakutana alisisitiza jambo lile lile

....Nikamwambia ongea na ndugu zako sio waje wasikie upo kwangu halafu waanze kunisumbua ,akanijibu tayari nimeongea

Siku moja nilisafiri kikazi niliporudi tayari nilimkuta kahamishia vitu vyake vyote vipo kwangu. ..nikapigwa nabutwaa tu kwa kuwa ufunguo wa nyumba huwa tumegawana

Tatizo lilipoanzia
majuzi mama yake kampigia cm walikuwa wanaongea kwa kiruga ila kwa kuwa kilikuwa ni kibantu kuna maneno niambulia kuyasikia baadae akamwambia mpe simu ...mumeo akanipa

Tuliongea vizuri salamu na baadae akaanza sasa wewe umekuja kujitambulisha ,halafu umeenda jumla ...haujarudi tukupangie mahali

Nikamwambia mama swala la mahali bado najipanga nitakapokuwa tayari nitakuja ..akajibu yaani wewe mpaka sasa hivi haujajipanga tu

Ikabidi nimtolee uvivu ...nikamwambia wewe unajua uchumi wangu ? Unajua mipango yangu ...nikamwambia kwani mahali ni lazima au ni zawadi
akanijibu mm naitaka mahali si unajua uko na binti yangu huyo ni binadamu ... Mara nataka nile mahali kabla sijafa

Nikamjibu nimekuelewa ila sifikirii leo au kesho kuleta mahali ...kama kuna mwanaume mwingine anataka kuleta mahali pokeeni binti yenu aolewe

Baada ya kukata cm mchumba wangu aakaanza yaani unamjibu mama yangu hivyo kweli nikamwambia ulitaka nimjibu vipi?

Nilikulazimisha uhamie kwangu ? Mbn ndugu zako sio wastarabu hivi hawaoni juhudi nilizozifanya kwako kukukwamua na kukufungulia ofisi ...kwa sasa sina hela ..

Nikamwambia na wewe kama unaona mm sina dira ya maisha yako chapa mwendo ..hiyo ofisi chukua vitu vyot
Mzee, umejibu vema kabisa. Ngoja nikujuze uhalisia hapo.

Mama anampa madini na masomo dogo, aweze kukitawala, na dogo anamuonyesha maza kuwa she is in control, kuwa ana kumudu.

Hapo, wanatumia uanamke, hisia zako, nia yako ya kuoa. Kufaidika, trust me, ukifulia au ungekuwa huna mchongo huyo manzi angekutema longi.

La msingi taratibu chukua umiliki wa Biashara yako. Mind you siku biashara ikanoga, ikampa uhakika wa kuhudumia yeye na kwao, utambulia Jeuri, kibuli, plus manyoya....
 
Utakua umeshamchoka Huyo binti si kwa majibu hayo.
 
Hahaha,,,,daaah jamaa we inaonesha una panic disorder........
Ila mama kakosea tena sana........hilo swala ilibidi amwambie binti yake afu yeye ndo awe anakujimiza wew tena kimahaba juu ya kutoa mahali.........all in all, toa mahali mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee. Navyoona mchizi sio kwamba ana panic, hapo kuna mapicha mengi hajayasema, na mchiz kayachoka
 
Hai
Haitakuja kutokea mm kumuomba msamaha kama anachapa raba yeye achape tu ....sikumlazimisha kuhamia kwangu na haya niliyaona mapema
Kama ni hivyo kwa nini ukamruhusu ahamie kwako?. Kama kuna mapicha picha mengine baada ya kutoa kishika uchumba,ungeamua kuachia hapo. Kwa sbb naiona dhamira wazi ya wewe kutaka sana kumuacha.

Lakini bado unayo nafasi ya kumuacha mapema sasa. Usisubiri mpaka uwafanyie vituko ndio kwa vituko vyako au majibu yako ndio waondoke kwa hayo. Kuna wengine wavumilivu utawafanyia vituko bado wanavumilia. Sasa basi nakushauri fanya mpango huyo mwanamke arudi kwao ila usimsumbue kwenye duka ulilomfungulia ni lake,hilo ni kwa ajili ya huo muda uliompotezea. Mwisho kwa nini ukaja hapa kutaka ushauri wakati hutaki ushauri ila unao uamuzi wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mleta mada lazima utakuwa ulivuta bangi enzi za ujana wako .

Una majibu dry sana .

It was simple ungeelewesha Kwanza situation uliyonayo


Sio unakuwa na panic mode Everytime .

Sasa kwakuwa wewe umemwezesha mtaji ndio upate free service hujui kuwa biashara Ina miiko yake ili ikue .

Mama mkwe kauzu nae sana tu kuna vitu hapaswi kuongea directly Kama hivyo labda njaa imezidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kabisa mkuu hivi unahamiaje kwa mwanaume kirahisi hivyo, anapoelekea hela ya dukani itakua yake ila yako ni ya wote sisi wanawake bado tunashida sana
Nikupongeze saana, wanawake wengi hupenda kushabikia upande wao tena hasa kwenye hilo ulilosema, wanataka chake kiwe chake cha mwanaume kiwe cha wote, washauri wenzako, vinginevyo matatizo kwenye ndoa/mahusiano hayawezi kuisha.
 
Wote wewe msichana na mkweo mna makosa....

Mama mkwe hakutakiwa kuongoea na wewe kuhusu lini unaenda kutoa mahari na kukulazmsha kabisa kwamba uende hlo jambo lilitakiwa libakie kwako na huyo dada.

Ila mkuu na wewe inaonekana una ego, just imagine hayo majibu angekua anapewa mzazi wako naamin huyu dada sasa hivi mngekua tayar mmeshaachana...
Hata kama huyu mama alikulazmsha sana kuzungumzia ndoa ila kama mwanaume ulitakiwa ku hold hasira zako kwa maana yule ni mzaz wa msichana wako so kuna heshima lazma iwepo.

Wa mwisho ni huyu msichana inaonekana yuko sana desparate na ndoa kuliko kitu kingne inawezekana kwasababu zake binafsi au presha ya family members, kitendo cha kulazmisha kuhamia kwako tena kipind umesafir haikua busara kabisa alitakiwa kuendelea kubakia kwao mpka muda rasm ila may b pia aliogopa kupoteza future yake.

NB: Sasa mkuu hata kama biashara ni yako ulitaka uende ukafanye printing bure, alikua sahihi kukwambia no money no service ili ujue kutofautisha biashara na mambo binafsi



Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilienda nikamwambia tarehe sio nzuri niandike deni unifanyie kazi yangu mshahara ukitoka nakulipa hela yako ...nikaambulia majibu hayo
 
Kaka
Wewe mleta mada lazima utakuwa ulivuta bangi enzi za ujana wako .

Una majibu dry sana .

It was simple ungeelewesha Kwanza situation uliyonayo


Sio unakuwa na panic mode Everytime .

Sasa kwakuwa wewe umemwezesha mtaji ndio upate free service hujui kuwa biashara Ina miiko yake ili ikue .

Mama mkwe kauzu nae sana tu kuna vitu hapaswi kuongea directly Kama hivyo labda njaa imezidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bangi nilikuwa natumia nilipokuwa form 2 baada ya hapo niliacha kabisa ....sijawahi kuitumia tena
 
Mi nilienda nikamwambia tarehe sio nzuri niandike deni unifanyie kazi yangu mshahara ukitoka nakulipa hela yako ...nikaambulia majibu hayo
Ulienda kwasababu unamfaham si ndio? unaweza kwenda stationary nyengne ukafanya ulichofanya mkuu?

Siri moja ya biashara kama ww ni mmiliki hata siku moja uspende kuweka deni kwenye biashara yako kwa maana ile nidhamu ya kutokopesha unaivunja mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hivyo kwa nini ukamruhusu ahamie kwako?. Kama kuna mapicha picha mengine baada ya kutoa kishika uchumba,ungeamua kuachia hapo. Kwa sbb naiona dhamira wazi ya wewe kutaka sana kumuacha. Lakini bado unayo nafasi ya kumuacha mapema sasa. Usisubiri mpaka uwafanyie vituko ndio kwa vituko vyako au majibu yako ndio waondoke kwa hayo. Kuna wengine wavumilivu utawafanyia vituko bado wanavumilia. Sasa basi nakushauri fanya mpango huyo mwanamke arudi kwao ila usimsumbue kwenye duka ulilomfungulia ni lake,hilo ni kwa ajili ya huo muda uliompotezea. Mwisho kwa nini ukaja hapa kutaka ushauri wakati hutaki ushauri ila unao uamuzi wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Duka lake kivipi, huyu alimfungulia kwa maana alidhani angekuja kuwa mke mwema mwenye adabu ili waishi wote wasaidiane maisha, wewe sema amsaidie, sio kwamba duka lake, unamtia kiburi na jeuri mwenzenu, jamaa akikasirika ataenda kusambaza vitu vyote vilivyomo ndani ya ofisi ile, umeona hata alipojaribu kwenda kuta huduma kwenye duka lake mwenyewe akaambiwa mpaka atoe hela, nyie wanawake mna nini ??.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom