James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,571
- 2,651
- Thread starter
- #41
Bado mdogo sana.....juzi nimekutana na wazee wanakuja kuomba ajira za post code...

We dogo tema mate chini. Nyie watoto wa juzi mmeharibiwa na hizi social networks. Haya makitu ilibidi kwa sisi weusi yasifike maana yameleta athari hasi kuliko chanya.
Umri wako huo sio wa kuongea hayo, watu mpaka 29 ilikua bado ni ungaunga. Tena una nafuu una back up ya kaka wa damu.
Maisha yanapangwa na mwenyezi Mungu.Mpaka sasa nina miaka 25 ndio kwanza nipo Diploma mwaka wa kwanza Semester ya 2 inaanza tarehe 4 Aprili 2022. Bado nakaa na kaka yangu japo naye ana familia yake.
Najihisi kama nimechelewa kuanza maisha vile, nimesoma kwa kuungaunga tu, washkaji na rafiki zangu niliomaliza nao sekondari mwaka 2014 wengi wao wameoa, wengine washaolewa.
Yaani nikionana nao au kupishana nao njiani ni aibu tu, bora tuishie kuchati tu kupitia aidha sms, WhatsApp, Facebook. Nipo tu kama digidigi vile sina hili wala lile.
Hata akiba sina, siugui ovyoovyo. Siku nikitimuliwa home sijui itakuwaje. Japo Sir God analinda ile mbaya.
Usikate tamaa. Mimi nilianza form 1 nina miaka 20Mpaka sasa nina miaka 25 ndio kwanza nipo Diploma mwaka wa kwanza Semester ya 2 inaanza tarehe 4 Aprili 2022. Bado nakaa na kaka yangu japo naye ana familia yake.
Najihisi kama nimechelewa kuanza maisha vile, nimesoma kwa kuungaunga tu, washkaji na rafiki zangu niliomaliza nao sekondari mwaka 2014 wengi wao wameoa, wengine washaolewa.
Yaani nikionana nao au kupishana nao njiani ni aibu tu, bora tuishie kuchati tu kupitia aidha sms, WhatsApp, Facebook. Nipo tu kama digidigi vile sina hili wala lile.
Hata akiba sina, siugui ovyoovyo. Siku nikitimuliwa home sijui itakuwaje. Japo Sir God analinda ile mbaya.
Tatizo unaendekeza JF! Hujui watu kama Erythrocyte wanalipwa kwa kusifia Chadema hapa JFMpaka sasa nina miaka 25 ndio kwanza nipo Diploma mwaka wa kwanza Semester ya 2 inaanza tarehe 4 Aprili 2022. Bado nakaa na kaka yangu japo naye ana familia yake.
Najihisi kama nimechelewa kuanza maisha vile, nimesoma kwa kuungaunga tu, washkaji na rafiki zangu niliomaliza nao sekondari mwaka 2014 wengi wao wameoa, wengine washaolewa.
Yaani nikionana nao au kupishana nao njiani ni aibu tu, bora tuishie kuchati tu kupitia aidha sms, WhatsApp, Facebook. Nipo tu kama digidigi vile sina hili wala lile.
Hata akiba sina, siugui ovyoovyo. Siku nikitimuliwa home sijui itakuwaje. Japo Sir God analinda ile mbaya.
ushauri gani huu mkuu? Mwenzako anahitaji faraja.Mi namshauri Auze hilo jicho Maana Mtaji wake unaweza uza zaidi ya Mara moja tofauti na figo
Poaushauri gani huu mkuu? Mwenzako anahitaji faraja.
Badili
Jamani khaaaTatizo linaanzia kwenye jina ulilojipachika.Mungu alishampa huyo pesa ndefu kupitia novel zake za upelelezi kwa hiyo wewe ukaonekana ulishashiba.Alile kaakoooo.
BravoKwenye Maisha Hilo ni jambo la kawaida sana, muhimu kuwa na subra tu, utakuja kusahau yote hayo.
Mimi nimeanza maisha late sana (35yrs) ndio niliajiriwa. Japo Nilikuwa hvyo hvyo kusoma kwa kuunga Unga. Lakini Sasa hivi (38yrs) Nina watoto wawili Ke/Me nafurahia maisha kama hakijatokea kitu.
Mke wangu Ana (31yrs) ni Graduate since (2015) BA Ed, no ajira no Biashara, yuko home analea kwa Aman. Alhamdulillah
Mpaka sasa nina miaka 25 ndio kwanza nipo Diploma mwaka wa kwanza Semester ya 2 inaanza tarehe 4 Aprili 2022. Bado nakaa na kaka yangu japo naye ana familia yake.