Nahisi maisha yamenipiga vibaya mno hadi naona aibu

We dogo tema mate chini. Nyie watoto wa juzi mmeharibiwa na hizi social networks. Haya makitu ilibidi kwa sisi weusi yasifike maana yameleta athari hasi kuliko chanya.

Umri wako huo sio wa kuongea hayo, watu mpaka 29 ilikua bado ni ungaunga. Tena una nafuu una back up ya kaka wa damu.
Chief under 30 humu ni wengi sana alafu wanatutusi kabisa huyo chalii ana miaka 25 na wengine wengi waliojitambulisha na cha ajabu mdogo wangu wa mwisho ni wa 94 🙆

Anyway apambane
 
Siku ukijua unakotaka kufika hutapata shida hii ya kupungukiwa mission. Upo upo tu. Umo umo tu
 
Yesu mpaka muda huu anaishi kwa baba yake wewe miaka 25 ndo uanze kulia lia?
Ushangae na wewe mkuu na Yesu sahivi si ana miaka 2022, Et leo hii mimi na tumiaka twangu tuchache nigwaye nini, Ila mi siishi kwa dingi,niko geto alone ugali wa dingi siujui...au ndo kusema dingi hanipendi...
giphy.gif
 
Niko mid 20s, more money than likely 99% ya vijana wa umri wangu na bado najiona sijaanza maisha. Naona kama vile nimesogea kidogo ila siko fulfilled kwa namna yoyote na naona nachelewa kufika napotaka.

Hilo jambo lipo na litaendelea kuwepo kwa yeyote ambae anataka kuboresha maisha yake continuously. Endelea kupambana mkuu
 
Mpaka sasa nina miaka 25 ndio kwanza nipo Diploma mwaka wa kwanza Semester ya 2 inaanza tarehe 4 Aprili 2022. Bado nakaa na kaka yangu japo naye ana familia yake.

Najihisi kama nimechelewa kuanza maisha vile, nimesoma kwa kuungaunga tu, washkaji na rafiki zangu niliomaliza nao sekondari mwaka 2014 wengi wao wameoa, wengine washaolewa.

Yaani nikionana nao au kupishana nao njiani ni aibu tu, bora tuishie kuchati tu kupitia aidha sms, WhatsApp, Facebook. Nipo tu kama digidigi vile sina hili wala lile.

Hata akiba sina, siugui ovyoovyo. Siku nikitimuliwa home sijui itakuwaje. Japo Sir God analinda ile mbaya.
Mwigulu nchemba alianza la kwanza akiwa na miaka zaidi ya 10 na ktk elimu zake yy ndl alionekana mkubwa kuliko wote,wakati wanamaliza chuo wngine walisota miaka kutafuta kazi yy alipata kazi ya maana BOT moja kwa moja akatumikia miaka 5 akaenda kugombea ubunge akashinda akapewa na vyeo vingine vikiwemo uwaziri! Usilalamike muda bado unao
 
Mkuu miaka 25 bado sana,, narudia tena bado saaaaana kufikiria hayo... haya kwa maisha ya Kitanzania.

Kaa chini,, piga kitabu...tafuta ujuzi wowote ambao unahisi utaweza kuufanya kwa urahisi...

Anza kuwa na mentality ya kujitegemea kuanzia sasa,, usiwe Comfortable hapo kwa Bro... Hakikisha unaitumia fursa yoyote ambayo itakuja mbele yako.

JIFUNZE KUJITEGEMEA....na uache kujifananisha na watu... Watu ni watakuzidi siku zote hadi unakufa lazima wawepo waliokuzidi
 
Mkuu miaka 25 bado sana,, narudia tena bado saaaaana kufikiria hayo... haya kwa maisha ya Kitanzania.

Kaa chini,, piga kitabu...tafuta ujuzi wowote ambao unahisi utaweza kuufanya kwa urahisi...

Anza kuwa na mentality ya kujitegemea kuanzia sasa,, usiwe Comfortable hapo kwa Bro... Hakikisha unaitumia fursa yoyote ambayo itakuja mbele yako.

JIFUNZE KUJITEGEMEA....na uache kujifananisha na watu... Watu ni watakuzidi siku zote hadi unakufa lazima wawepo waliokuzidi
 
Back
Top Bottom