Kisa nilichokifanya hadi nikikumbuka huwa nacheka mwenyewe. Tiririikaa na story hii

bongo man

JF-Expert Member
Dec 26, 2016
1,053
2,329
Ijumaa karim waungwana

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 38 elimu yangu ni hizi hizi zinazopatikana pale jalalani (UDSM) nimeoa na na watoto 3 na mkee piss kalii (kwa mtazamo wangu lakini) pia nimeajiriwa katika kampuni mbali mbali mashallah maisha sio tight kivilee japa M5 tena imeanza kuleta rabsha kidogo ila tunakomaa ikiwa mmiradi yangu midogo midogo inayoniaangiza pesa ya kula si haba niseme alhamdullilah.

Sasa nisiwachoshe wadau ishu mara nyingi huwa nakumbuka msoto mkali niliokuwa napitia wakati natafuta kazi basi wakati namaliza chuo nikawa napita huku huku nahuku kuomba kazi lakini nikawa nakutana na changamoto kibao lila mungu si athumani nikaja nikapata kazi kwenye sector nyeti ambayo hadi ndo nipo alhmudullilah nina zaidi ya mika 10 nafanya kazi hapo so nipo ile level nzuri kidogo self esteem naamini wale watu wa HRM watakuwa wananielewa.

Basi kwa kawaida nikimaliza huwa nakaiwaida ya kupitia kwenye portal mbali mbali za ajira kama sehemu ya kupoteza muda na kuwaforwadia jamaa zangu ambao wanatafuta ajira basi pita pita yangu nikakutana na kikazi cha career yangu kwa kampuni flani hivi( siitaji) nikaona ngoja nijaribu nikafanya kama natania tu nika upload cv zangu nimatuma nikasau nikawa naendelea na mishe zingine but pale waliweka level ya mshahara japo haufikia hata nusu ya ninaoilipwa aasa ukiachilia mbali marupurupu kibao.

Siku zikasongaa nikaomba likizo nikawa nyumbani tu siku ya tatu hivi kipigiwa simu na ile kampuni niliyoomba nikaambiwa naitwa kwa interview basi nikaona kwakuwa nipo nyumbani basi nimaona ngoja nami nijifurahishe tu basii.

Siku ya interview....

Nikafika kwa viunga vya kampuni nikakaribishwa vizuri nikajikuta pale tuko watu kama 12 hivi siku hiyo sikwenda na ile hard top yangu nilijichanganya kwa daladala kama wengine si unajua tena waajiri wengi huwa wanapenda watu choka mbaya

Mzee ikafika zamu yangu kuingiaa chumbani.

Nikaulizwa maswali yakawaida tu nikawajibu hakika niliwajibu vizuri tu zi unajua nilikuwa mzoefu kazini sasa hakuna jipaya ambalo waliligusia nikakosa kulijua hadi na wao wakawa wanatazamana basi nikaambiwa baada ya siku ya siku tati tutakupigia simu nikasema sawa haina shida.

Nikarudi home ikumbukwe wakati nafanya yote sikuwa kumwambia wife wala mtu yeyote nilikuwa natoka kawaida tu home na vijikaratasi vyangu hadi wife akawa ananiuliza why naacha gari nikawa namjibu short nafanya mazoezi.

Basii siku nne zikapita ya tano ikawa week ghafla nikapigiwa simu siku hiyo ya J3 nikapokea nikaitwa pale nikadamka kesho yake nimafika asubuhi mapema nikaonana na CEO wa ile kampuni ni mhindi akaanza kunipa terms and conditions za mkataba nikawa naitikia sikuuliza hata swala moja japo kulikuwa ku a vipengele vingine kwa Mkataba niliona kabisa ni vya kinyonyaji kwa mfano unaambiwa utakuwa kwenye mazamio kwa muda wa miezi 18 na wakati wote utakuwa unalipwa mshahara tu bila kusaini mkataba wowote nikawa naitikia tu hadi mhindi akawa na daught na mimi ila nikajikausha huku nacheka moyoni.

Kazi nikampangiwa kuwa msaidizi wa manager kanda aise unapewa hela kidogo bila gari wa posho uzunguke kanda zima kubakikia bidha zilizouzwa na kubaki aise ile kazi ningumi hatari

Basi nikaona si nipo likizo powaa tu ngoja nianze nikafamya siku ya kwanza unapanda daladala tu nikaona miyeyusho siku ya tatu nikafika ofisini na ndinga yangu hard top kaliii mhindii akawa anatoa macho tu kwa mshangao wala sinataimu na mtu nikawa napiga kazi zangu wakati mwingine baadhi ya bidha napakia kwa gari langu kurudisha ofisini .

Leo nakuja na gari ya kwangu kesho namuazima wife gari yake mhindi akawa hanielewi ukaguzi wa hesabu ukawa unafanywa kwa umakini sanaa nikawa naanda report kila siku natoka kazi saa kumi kila siku narudi nyumbani basi mhindi akaanza kunipenda ila wale wachini yake wakaanza majungu ila nikawa sinatime nao nikawa naendelea na kazi zikawa zimebaki kama siku tano likizo yangu iishe hivi nikamcheki mhindi kwakuwa alishaanza kunikubali nikampiga mzinga nashida anipe nusu mshahara mambo ni magumu yeye akazama akanipa mshahara Wote wa mwezi bado hapo basi ikawa ij3 nirudi kazi ijumaa nimafunga hesabu zangu vizuri kabisa nikakibidhi kila kiti mtu mzima nikasepa ikawa ndo kwaheri .

Sasa basiii ....j3 mapema tu nikawa napigiwa simu na yule mhindi akawa anafoka akiniulizia niko wapi mbona nimechelewa kufika kazini nikamjibu sijisikii leo kuja kazini labada kesho basii akakata simu nikawa naendeleaa nashughuri zangu pale ofisini
Kesho yake asubuhi akanipigia vipi unakuja kazini nikamwambia sina usafiri gari langu bovu akakata simu akanitumia sms kesho uje uchukue gari uwe unatumia ( magari yapo pale ila mwanzoni hakuona umuhimu wa kunipa gari ).
Kesho yake mapema ofisink naenselea nashuguri zangu akanipigia simu nikamjibu bado gari langu bovu siwezi panda dalaladala akacheka sanaa akakataa simu)

Basi zikapita siku mbili kimyaa siku ya tatu akapiga simu akaomba niende ofisini tuonane nikamwambia sawa ntakuja ila nikija nikute mkataba mezani mambo ya kuwekana benchi miaezi 18 wakati nakuingizia pesa ndefu stakii Mhindi akashanga akakata simu ( amini usimani thamani ya mtu inaonekana tu pale unapokuwa na msimamo lakini shidahh hutufanya tusiwe nathamani )

Mhindi akawa anaelewa nataka nini basi ikapita week kimya week ya pili mhindi akaniita tusaini mkataba nipige kazi nikamwambia atume kwa email ila kuna vipengele inabidi tukubaliene upya ili twende sawa mhindi akatuma nikaona huyu mbishi nikaondoa vile vipengele vya mslahi ya kampuni nikamtumia nikamwambia nataka mkataba uwe hivyo kama uko tayari kesho nije nimwage wino ..sasa kimbembe kilichomstua nafikiri ilikuwa ni salary nilitoka niliweka rate ya mshahara wake basi ..nikawa niachana nao hivyo kimya kimyaaaa.

Note: waajiri acheni kuwanyanyasa waajiriwa wapya sio ustaarabu hata kidogo wapeni haki zao wafanye kazi zao kwa uhuru na kwa amani.

NIKIKUMBUKA KISA HIKI NACHEKA TU PEKEE YANGU.JIONI NJEMA.
 
Ijumaa karim waungwana

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 38 elimu yangu ni hizi hizi zinazopatikana pale jalalani (UDSM) nimeoa na na watoto 3 na mkee piss kalii (kwa mtazamo wangu lakini) pia nimeajiriwa katika kampuni mbali mbali mashallah maisha sio tight kivilee japa M5 tena imeanza kuleta rabsha kidogo ila tunakomaa ikiwa mmiradi yangu midogo midogo i ayoniaangiza pesa ya kula si haba niseme alhamdullilah.

Sasa nisiwachoshe wadau ishu mara nyingi huwa nakumbuka msoto mkali niliokuwa napitia wakati natafuta kazi basi wakati namaliza chuo nikawa napita huku huku nahuku kuomba kazi lakini nikawa nakutana na changamoto kibao lila mungu si athumani nikaja nikapata kazi kwenye sector nyeti ambayo hadi ndo nipo alhmudullilah nina zaidi ya mika 10 nafanya kazi hapo so nipo ile level nzuri kidogo self esteem naamini wale watu wa HRM watakuwa wananielewa .

Basi kwa kawaida nikimaliza huwa nakaiwaida ya kupitia kwenye portal mbali mbali za ajira kama sehemu ya kupoteza muda na kuwaforwadia jamaa zangu ambao wanatafuta ajira basi ...pita pita yangu nikakutana na kikazi cha career yangu kwa kampuni flani hivi( siitaji) nikaona ngoja nijaribu nikafanya kama natania tu nika upload cv zangu nimatuma nikasau nikawa naendelea na mishe zingine but pale waliweka level ya mshahara japo haufikia hata nusu ya ninaoilipwa aasa ukiachilia mbali marupurupu kibao.

Siku zikasongaa nikaomba likizo nikawa nyumbani tu siku ya tatu hivi kipigiwa simu na ile kampuni niliyoomba nikaambiwa naitwa kwa interview basi nikaona kwakuwa nipo nyumbani basi nimaona ngoja nami nijifurahishe tu basii.

Sikuya interview....

Nikafika kwa viunga vya kampuni nikakaribishwa vizuri nikajikuta pale tuko watu kama 12 hivi siku hiyo sikwenda na ile hard top yangu nilijichanganya kwa daladala kama wengine si unajua tena waajiri wengi huwa wanapenda watu choka mbaya .

Mzee ikafika zamu yangu kuingiaa chumbani..

Nikaulizwa maswali yakawaida tu nikawajibu hakika niliwajibu vizuri tu zi unajua nilikuwa mzoefu kazini sasa hakuna jipaya ambalo waliligusia nikakosa kulijua hadi na wao wakawa wanatazamana basi nikaambiwa baada ya siku ya siku tati tutakupigia simu nikasema sawa haina shidahh.

Nikarudi home ikumbukwe wakati nafanya yote sikuwa kumwambia wife wala mtu yeyote nilikuwa natoka kawaida tu home na vijikaratasi vyangu hadi wife Akawa ananiuliza why naacha gari nikawa namjibu short nafanya mazoezi .

Basii siku nne zikapita ya tano ikawa week .ghafla nikapigiwa simu siku hiyo ya j3 nikapokea nikaitwa pale nikadamka kesho yake nimafika asubuhi mapema nikaonana na CEO wa ile kampuni ni mhindi akaanza kunipa terms and conditions za mkataba nikawa naitikia sikuuliza hata swala moja japo kulikuwa ku a vipengele vingine kwa mkataba niliona kabisa ni vya kinyonyaji kwa mfano unaambiwa utakuwa kwenye mazamio kwa muda wa miezi 18 na wakati wote utakuwa unalipwa mshahara tu bila kusaini mkataba wowote nikawa naitikia tu hadi mhindi akawa na daught na mimi ila nikajikausha huku nacheka moyoni.

Kazi nikampangiwa kuwa msaidizi wa manager kanda aise unapewa hela kidogo bila gari wa posho uzunguke kanda zima kubakikia bidha zilizouzwa na kubaki aise ile kazi ningumi hatarii ...

Samahani kwa type error ndugu zangu .
 
Hahahaaaa safi sana Mzee wa Hard Top.
 
Mkuu huu uzi mzuri ila pia mimi yalinipata kama wewe. Nilileta uzi humu 2018 mods akaufuta faster. Ni hivi nilifanya kazi ya' kubeba boks' hapa toka 2012. Sasa kuna supervisor mgeni akaletwa kutoka Pakistan akawa anajaza watu wake kutoka Pakistan ambao ni wageni wanafunzi na kunipinguzia masaa.

Sasa mimi ni mzoefu wa Hizi kazi za kifagio lakini akawa ananifanyia mizengwe hadi super market nilizosafisha zaidi ya miaka tano akanitoa akawapa hawa wapakistani wenzake.

Nilipolalamika kwa bosi ambaye ni mdenmark tumefanya naye tangu 2012 alinijibu sasa hivi amewakabidhi power masurpervisors yeye ahusiki huko.

Nikawashangaa kwasababu sikuwa desperate nina kila kitu hadi permanent residence. Nikasema hamna noma. Nikaacha kazi.

Sasa zile sehemu walizoninyanganya malalamiko yakawa mengi wateja wanalalamika hawa wapakistani hawasafishi vizuri.

Huyu supervisor akanipigia simu akinisihi nirudi kazini nikamuambia sawa nakuja ila sikuenda nikawa nalala.

Akatuma sms where are you am waiting for you? Nikamkaushia.

Akanipigia simu nikawa nampotezea. Akapiga tena nikapokea akawa anaongea kwa ukali where are you? Nikamjibu i was coming but on the way i was attacked by herds of goats and they bite me so violently na nikaanza kulia kama mbuzi meeeh meeeh meeehh na kutoa kicheko cha hatarii na kuudhi.

Nikasikia tu fak u black man na simu kukatwa. Nikajisemea tu tayari nimeshamuwin kisaikolojia
 
Hahahahaha nmecheka@anyway..kwenye story yako kuna vitu vitatu nimejifunz
1.pmoja na kazi tulizonazo tupende kuptia portal mbalimbal za kazi..lengo kuona fursa mpya..na kuwakumbuka washkaji
2. ukiwa na msimamo nobody can bother u.
3.una hardtop. @hongeraa
 
Mkuu huu uzi mzuri ila pia mimi yalinipata kama wewe. Nilileta uzi humu 2018 mods akaufuta faster. Ni hivi nilifanya kazi ya' kubeba boks' hapa toka 2012. Sasa kuna supervisor mgeni akaletwa kutoka Pakistan akawa anajaza watu wake kutoka Pakistan ambao ni wageni wanafunzi na kunipinguzia masaa.

Sasa mimi ni mzoefu wa Hizi kazi za kifagio lakini akawa ananifanyia mizengwe hadi super market nilizosafisha zaidi ya miaka tano akanitoa akawapa hawa wapakistani wenzake.

Nilipolalamika kwa bosi ambaye ni mdenmark tumefanya naye tangu 2012 alinijibu sasa hivi amewakabidhi power masurpervisors yeye ahusiki huko.

Nikawashangaa kwasababu sikuwa desperate nina kila kitu hadi permanent residence. Nikasema hamna noma. Nikaacha kazi.

Sasa zile sehemu walizoninyanganya malalamiko yakawa mengi wateja wanalalamika hawa wapakistani hawasafishi vizuri.

Huyu supervisor akanipigia simu akinisihi nirudi kazini nikamuambia sawa nakuja ila sikuenda nikawa nalala.

Akatuma sms where are you am waiting for you? Nikamkaushia.

Akanipigia simu nikawa nampotezea. Akapiga tena nikapokea akawa anaongea kwa ukali where are you. Nikamjibu i was coming but on the way i was attacked by herds of goats and they bite me so violently na nikaanza kulia meeeh meeeh meeehh na kutoa kicheko cha hatarii na kuudhi.

Nasubiri muendelezo
 
kwahiyo sasa hivi una mchongo sehemu nyingine ..dah nimecheka
 
Hahahahaha nmecheka@anyway..kwenye story yako kuna vitu vitatu nimejifunz
1.pmoja na kazi tulizonazo tupende kuptia portal mbalimbal za kazi..lengo kuona fursa mpya..na kuwakumbuka washkaji
2. ukiwa na msimamo nobody can bother u.
3.una hardtop. @hongeraa
Kama makatibu wa Ccm wilaya wanazo mimi nashindwaje kuimiliki hata ya mtumba.by slow slow in voice
 
Nasubiri muendelezo
Mkuu amini usiamini iyo kampuni ilipoteza contract 18 ya chain za supermarkets December 2018. Imagine 18. Huyu mpakistan supervisor ni mjinga hata kama kusaidia ndugu zako. Wakati huo ilikuwa late August na September kulikuwa na intake za international students sasa hawa international students kutoka Pakistan na Bangladesh jamaa akawa anawaweka.

Mimi sikuwa desperate kivile kwasababu sehemu yoyotw niapply kifagio wananipa nilishajenga reputation. Hii kazi ya fagio naifaham sana na hakuna complains. Walimpoteza worker mzuri sana walinisihi sana nirudi.

Walimfukuza jamaa huyu supervisor mpakistan baada ya kulose hizo contracts
 
Back
Top Bottom