James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,578
- 2,664
- Thread starter
- #21
Ameen, barikiwa sanaKwenye Maisha Hilo ni jambo la kawaida sana, muhimu kuwa na subra tu, utakuja kusahau yote hayo.
Mimi nimeanza maisha late sana (35yrs) ndio niliajiriwa. Japo Nilikuwa hvyo hvyo kusoma kwa kuunga Unga. Lakini Sasa hivi (38yrs) Nina watoto wawili Ke/Me nafurahia maisha kama hakijatokea kitu.
Mke wangu Ana (31yrs) ni Graduate since (2015) BA Ed, no ajira no Biashara, yuko home analea kwa Aman. Alhamdulillah