ingbeatz
Member
- Mar 27, 2013
- 33
- 4
kama hauna kitu cha kuongea ni bora ukae kimya
katiba inamruhusu au co wana jamvi.
kama hauna kitu cha kuongea ni bora ukae kimya
Hiki ni kisa nilichosimuliwa na rafiki yangu wa karibu. Umri wake ni miaka 27.. Namnukuu;
Katika mazungumzo yetu ya awali she told me she is 36 and she is cool with our age
Huyu mdada anasema, she was born in 1997 but mtoto nikimuuliza anasema she was born in 1994.
Personally ninahisi hata hiyo age ya miaka 36 atakuwa alinidanganya
Kwa taarifa tu mleta mada si wanawake wote wanahitimisha hedhi wafikapa miaka 45. Kuna wanawake wanaendelea hadi miaka 50 to 55. Yote haya yanategemea na factor nyingi ikiwemo za kurithi (genetical) na lishe. Wale wanawake ambao wanalishe nzuri hasa za virutubisho na hawasumbuliwi na magonjwa wanaendelea hedhi hadi hata 55 years. Cha pili wewe ulipomuona huyu kibibi chako hukukiangalia vizuri. Na kama kweli mnapendana una hangaika nini? Unategemea kumuoa huyo mama yako au? Kama unaona ni mkubwa kwako basi acha kufunua mama au dada zako, tafuta wa rika lako. Laiti angejua kuwa ametundikwa humu JF?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hiki ni kisa nilichosimuliwa na rafiki yangu wa karibu. Umri wake ni miaka 27.. Namnukuu;
" Nilikutana na huyu mdada kwenye mtandao wa kijamii. She is beautiful, descent and independent. Katika mazungumzo yetu ya awali she told me she is 36 and she is cool with our age different.
Tangu tumeanza kudate huu ni mwezi wa saba sasa. Kitu kimoja kinacho ni shangaza, hata siku moja hajawahi kuniambia yupo kwenye siku zake, kila mara ninapo muhitaji kwa ajili ya mambo yetu yale anakuwa available. Mwezi uliopita niliamua kufanya uchunguzi wangu ambapo niligegedadana kwa siku zote thelathini na moja a katika siku zote hizo she was okay ( i mean hakuwa kwenye siku zake ).
Kitu kingine huyu mdada ana mtoto wake wa kike, anasoma kidato cha nne. Huyu mdada anasema, she was born in 1997 but mtoto nikimuuliza anasema she was born in 1994.
Personally ninahisi hata hiyo age ya miaka 36 atakuwa alinidanganya tu ili nisimuone mzee. Kitendo cha yeye kutokuwa kwenye siku zake hata siku moja coz kwa jinsi ninavyo jua mimi, mwanamke anaanza kutokuziona siku zake baada ya kufikisha miaka 45.
So nahisi huyu mwanamke atakuwa na miaka zaidi ya 45, nifanye nini?" MWISHO WA KUNUKUU.
WANA JAMVI NAOMBENI MNISAIDIE KUMSHAURI HUYU RAFIKI YANGU.
pNijuavyo kuna sindano za uzazi wa mpango ambazo huzuia hayo mauchafu kutoka kila mzunguko.
Huenda hivyo ndivyo ilivyo kwa huyo manzi wako.
Jestina mimi namfahamu tulikuwa darasa moja ana miaka 22 kama mimi.Jestina namwona kwenye keypad, sura na umbo lake sijawahi kumwona, nitajuaje kama umri wake sio miaka 20 ?
Hiki ni kisa nilichosimuliwa na rafiki yangu wa karibu. Umri wake ni miaka 27.. Namnukuu;
" Nilikutana na huyu mdada kwenye mtandao wa kijamii. She is beautiful, descent and independent. Katika mazungumzo yetu ya awali she told me she is 36 and she is cool with our age different.
Tangu tumeanza kudate huu ni mwezi wa saba sasa. Kitu kimoja kinacho ni shangaza, hata siku moja hajawahi kuniambia yupo kwenye siku zake, kila mara ninapo muhitaji kwa ajili ya mambo yetu yale anakuwa available. Mwezi uliopita niliamua kufanya uchunguzi wangu ambapo niligegedadana kwa siku zote thelathini na moja a katika siku zote hizo she was okay ( i mean hakuwa kwenye siku zake ).
Kitu kingine huyu mdada ana mtoto wake wa kike, anasoma kidato cha nne. Huyu mdada anasema, she was born in 1997 but mtoto nikimuuliza anasema she was born in 1994.
Personally ninahisi hata hiyo age ya miaka 36 atakuwa alinidanganya tu ili nisimuone mzee. Kitendo cha yeye kutokuwa kwenye siku zake hata siku moja coz kwa jinsi ninavyo jua mimi, mwanamke anaanza kutokuziona siku zake baada ya kufikisha miaka 45.
So nahisi huyu mwanamke atakuwa na miaka zaidi ya 45, nifanye nini?" MWISHO WA KUNUKUU.
WANA JAMVI NAOMBENI MNISAIDIE KUMSHAURI HUYU RAFIKI YANGU.
p
wewe ni mtoto ?? Siyo Uchafu huo NDIYO uzazi wenyewe
Kama siyo uchafu kwa nini unatoka?
Kwa sababu kazi yake imeahirishwa. We need that flattering tummy, you know?(unajua we feel kinda stuffed around them days?. Just be easy on us, will ya?)
Hiyo avatar yako mkuu inaweza kuzua taharuki.ha ha ha ha..... kama unapata utamu ambao nadhan ndo lengo la mahusiana yenu, basi unaupata sawa sawa maana da tar1......31 unagegedatu. kama unataka kumuoa kwa ajili ya kutengeneza familia basi muulize kulikoni haoni siku zake mwez mzima!!!
Mmmmh!!kwani wazee tuna shida gani? mi above 50 kuna shida?