Nahisi gilfriend wangu ana miaka 50

Nahisi gilfriend wangu ana miaka 50

menstruation is the shading of blood from the uterine lining. tissues attached to the uterus are removed and hence bleeding. je wewe ukijikata waweza kulamba hiyo damu? na je hiyo damu ikitoka baada ya kujikata originally inakuwa ni uchafu?
I see mmetuchosha, sio tu kwamba ni uchafu, bali pia ni najisi, astaghafilulah!!
 
Umepoteza muda wako wote kubishana na mimi hadi hapa (tokea ukurasa wa kwanza hadi tano) kisha ushindwe kuniletea hiyo rejea yako? Unanshangaza!!



Wala hawahitaji pole kwani hawana adha zozote zile toka kwangu.



Sema umeshindwa na si kuufunga. Huna jeuri wala uwezo wa kufunga mjadala wewe.

we kaka huna adabu ndo maana hta unavyoambiwa ukwel una deny!ua galfriend or wife kama unaye ana shida!hedhi c uchafu ni wall imevunjika tu...acha kumdhalilisha mama yako eti mauchafu
 
Yeye mwenyewe umri wako ukoje? Why asimuulize kujua ukweli tu kuliko kuhisihisi? Wabongo kwa kupenda ngono ni balaa,unafanya mapenzi from mwanzo wa mwezi mpaka mwisho wa mwezi tena bila kupumzika,yawezekana ni kipaji chake si bure!!!

Si ndio maana yuko na mzoefu..!! Mwanamke amemzidi umri miaka kama 10..!! Anataka mwenye "cv" nzito kwenye hiyo idara..!!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
ushauri ni huu. Muambie akajifunze hesabu za kujumlisha na kutoa. Kaambiwa mdada is 36. Sasa mtu wa 1997 anakuwaje 36 na wewe kama sio uponjoro?

Dont waste our time, u know wello waht am talkin about, kwanza umechakachua maelezo yangu. Nimesema
" Kitu kingine huyu mdada ana mtoto wake wa kike, anasoma kidato cha nne. Huyu mdada anasema, she was born in 1997 but mtoto nikimuuliza anasema she was born in 1994. " Sasa hayo maelezo yako sijui umeyatoa wapi, kama hauna kitu cha kuchangia ni bora uende ukafanye mazoezi upunguze hilo tumbo.
 
Maybe dat woman give birth 2her child when she was around 16 or 17yrs xo ts posible 4her to av a 4m four kid around 19 ts jus a matter of calculation u take (19yrs of dat 4m 4 kid) n plus (17yrs dat we assume ur Girlfriend was get bith),,delivery n finally u get 36yrs of ur Girlfriend,,..19+17=36yrs hope umenipata na kuhus bld it depend mayb anatumia dawa za uzaz wa mpango(family plan),,..hua zinakata period kwa baadh ya wanawake..,,kutoingia kwenye period c logic kua Girfriend wako ni bibi

Kwa jinsi nilivyo elewa mantiki ya kutaja umri wa binti yake hapa ni kuonyesha uwezekano wa mama huyo kuwa amedanganya umri coz alimwambia jamaa dat her daughter is 15 but her daughter said she is 17...So uwezekano wa kuwa amedanganya kuhusu hiyo age ya miaka 36 ni mkubwa kutokana na factor hii
 
FaceBook bullshit stories has finally found its way here!
Ur problem is that, u have a very poor interpretation of what a Great Thinker have to be. U are like those people who think that a gt should argue about each and every thing. Hao nawaita ma gt wa kimapokeo. Stand out from them.Nikiwambia unipe reference ya sehemu uliyo iona stori hii kwenye fb hauwezi , so why speaking about somethin ur not very sure with ? Change brother
 
Age aint nothing but a number. Upo naye muda wote huo na mmezoeana kimaumbile. Kutakuwa na tofauti gani akikuambia she is 25 or 52? Kama mnaridhishana wewe endelea tu. Ng'ombe hazeeki maini
 
kama hauna kitu cha kuongea ni bora ukae kimya
Wewe ulitaka aongee nini wakati alichoongea ndicho alichotaka kuongea? agree to disagree, usidhani kila mtu ni msukule wa kulishwa maneno bila ku-diagest
 
Wewe ulitaka aongee nini wakati alichoongea ndicho alichotaka kuongea? agree to disagree, usidhani kila mtu ni msukule wa kulishwa maneno bila ku-diagest

Umemaliza?
 
huyu rafiki yako mwenye miaka ishirini na saba alafu anatembea na mimama namuhurumia na sijui hatma yake. Kabla sijahitimisha naona kabisa hii ni stori ya Bulicheka maana mtu hawezi kugida siku 31.
stori ya kutunga hiiiiiiiiiiiiii nimeshtuka
 
Rafiki yako anataka ushauri wa nini na kuhusu nini hasa? Mbona haeleweki. Kwani yeye anakosa aanachokitaka, kama kugegeda si anagegeda anavyotaka na anafurahia? tatizo liko wapi au anataka kuzaaa na huyo mbibi?
 
Back
Top Bottom