Nahisi gilfriend wangu ana miaka 50

Nahisi gilfriend wangu ana miaka 50

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,899
Reaction score
37,699
Hiki ni kisa nilichosimuliwa na rafiki yangu wa karibu. Umri wake ni miaka 27.. Namnukuu;

" Nilikutana na huyu mdada kwenye mtandao wa kijamii. She is beautiful, descent and independent. Katika mazungumzo yetu ya awali she told me she is 36 and she is cool with our age different.

Tangu tumeanza kudate huu ni mwezi wa saba sasa. Kitu kimoja kinacho ni shangaza, hata siku moja hajawahi kuniambia yupo kwenye siku zake, kila mara ninapo muhitaji kwa ajili ya mambo yetu yale anakuwa available. Mwezi uliopita niliamua kufanya uchunguzi wangu ambapo niligegedadana kwa siku zote thelathini na moja a katika siku zote hizo she was okay ( i mean hakuwa kwenye siku zake ).

Kitu kingine huyu mdada ana mtoto wake wa kike, anasoma kidato cha nne. Huyu mdada anasema, she was born in 1997 but mtoto nikimuuliza anasema she was born in 1994.

Personally ninahisi hata hiyo age ya miaka 36 atakuwa alinidanganya tu ili nisimuone mzee. Kitendo cha yeye kutokuwa kwenye siku zake hata siku moja coz kwa jinsi ninavyo jua mimi, mwanamke anaanza kutokuziona siku zake baada ya kufikisha miaka 45.

So nahisi huyu mwanamke atakuwa na miaka zaidi ya 45, nifanye nini?" MWISHO WA KUNUKUU.


WANA JAMVI NAOMBENI MNISAIDIE KUMSHAURI HUYU RAFIKI YANGU.
 
acha kutuchanganya na vitopic ambavyo havina mashiko, mlize huyo rafiki yako negetive effects alizopata baada ya kugundua demu(bibi) yake huyo anamzidi miaka? then cku ya kwanza alishindwa kutambua kama ni binti, mdada, mama au bibi? na anataka tumshauri kuhusu nini? je anataka sisi tupunguze miaka ya huyo mama(bibi)?
 
wewe shida yako nini ..... umri au utamu?? nyie watu bhana mnazingua sana jamani!!!!
mwambie huyo.nimecheka kweli.wanawake wengi huwa hawapendi kuulizwa umri,na hayo mambo ya kurudisha umri nyuma yapo sana tu.ila kama mnapendana,si vibaya mtu kuwa mkweli.ila na wewe si unapata unachokitaka,shida ya nini?
 
je anataka kama huyu? chevu hampati ng'oo! alishazoea 50yrs old.
 
mwambie huyo.nimecheka kweli.wanawake wengi huwa hawapendi kuulizwa umri,na hayo mambo ya kurudisha umri nyuma yapo sana tu.ila kama mnapendana,si vibaya mtu kuwa mkweli.ila na wewe si unapata unachokitaka,shida ya nini?

Wewe una miaka mingapi?
 
Yeye mwenyewe umri wako ukoje? Why asimuulize kujua ukweli tu kuliko kuhisihisi? Wabongo kwa kupenda ngono ni balaa,unafanya mapenzi from mwanzo wa mwezi mpaka mwisho wa mwezi tena bila kupumzika,yawezekana ni kipaji chake si bure!!!
 
mwambie huyo.nimecheka kweli.wanawake wengi huwa hawapendi kuulizwa umri,na hayo mambo ya kurudisha umri nyuma yapo sana tu.ila kama mnapendana,si vibaya mtu kuwa mkweli.ila na wewe si unapata unachokitaka,shida ya nini?

unajua mara nyingi sana, naona km wapenzi walio wengi hawajui wanachokitaka kabisa katika mapenzi yao, na ndio kinachopelekea mtu kuanza kuhoji mambo yasio na tija kwenye mahusiano yao!!!
 
Sasa kama ana miaka 50, raha hupati wakati wa kuduu au unataka nini
 
Back
Top Bottom