Kulamba siyo kula. Je, wewe waweza kulamba damu ya hedhi?
Na kwa nini inatoka badala ya kubaki mwilini iendelee tu na mzunguko wa damu nyenzake kama kawaida?
. Mkuu Nyani Ngabu plz fanyia heshima hiyo natural body physiology ndugu, siyo uchafu ndugu!................. hayo mauchafu kutoka kila mzunguko.
menstruation is the shading of blood from the uterine lining. tissues attached to the uterus are removed and hence bleeding. je wewe ukijikata waweza kulamba hiyo damu? na je hiyo damu ikitoka baada ya kujikata originally inakuwa ni uchafu?
. Mkuu Nyani Ngabu plz fanyia heshima hiyo natural body physiology ndugu, siyo uchafu ndugu!
Kwa hiyo inatoka mwilini kwa njia ya asili kwa sababu haihitajiki tena mwilini, siyo? Ni kama tu ambavyo baada ya kula, chakula kinasagwa tumboni, halafu kile ambacho hakihitajiki mwilini kinatoka kwa njia ya mavi, siyo?
Sasa damu inayotokana na kujikata kwa makusudi au kwa bahati mbaya si sawa na damu ya hedhi hivyo hapo mfano wako hauhusiki hata kidogo kwa sababu moja ni njia ya asili ya mwili kujisafisha na hiyo nyingine si ya asili na wala haihusiki hata kidogo na utaratibu wa mwili kujisafisha wenyewe.
Lete mifano ya vitu vinavyofanana.
unamsemea huyu mzabzab
Kulamba siyo kula. Je, wewe waweza kulamba damu ya hedhi?
Na kwa nini inatoka badala ya kubaki mwilini iendelee tu na mzunguko wa damu nyenzake kama kawaida?
haha...jf is never boring...ofcoz ule ni uchafu but unaposema 'mauchafu yao' apo ndo tatizo linakuja....semantically wrong coz inaonesha maana nyingne...as if kama vile wanapenda au ni uzembe flan wanafanya ndo mana inatoka