Nahisi gilfriend wangu ana miaka 50

Nahisi gilfriend wangu ana miaka 50

Hiki ni kisa nilichosimuliwa na rafiki yangu wa karibu. Umri wake ni miaka 27.. Namnukuu;

" Nilikutana na huyu mdada kwenye mtandao wa kijamii. She is beautiful, descent and independent. Katika mazungumzo yetu ya awali she told me she is 36 and she is cool with our age different. Tangu tumeanza kudate huu ni mwezi wa saba sasa. Kitu kimoja kinacho ni shangaza, hata siku moja hajawahi kuniambia yupo kwenye siku zake, kila mara ninapo muhitaji kwa ajili ya mambo yetu yale anakuwa available. Mwezi uliopita niliamua kufanya uchunguzi wangu ambapo niligegedadana kwa siku zote thelathini na moja a katika siku zote hizo she was okay ( i mean hakuwa kwenye siku zake ).Kitu kingine huyu mdada ana mtoto wake wa kike, anasoma kidato cha nne. Huyu mdada anasema, she was born in 1997 but mtoto nikimuuliza anasema she was born in 1994. Personally ninahisi hata hiyo age ya miaka 36 atakuwa alinidanganya tu ili nisimuone mzee. Kitendo cha yeye kutokuwa kwenye siku zake hata siku moja coz kwa jinsi ninavyo jua mimi, mwanamke anaanza kutokuziona siku zake baada ya kufikisha miaka 45. So nahisi huyu mwanamke atakuwa na miaka zaidi ya 45, nifanye nini? " MWISHO WA KUNUKUU.

WANA JAMVI NAOMBENI MNISAIDIE KUMSHAURI HUYU RAFIKI YANGU.

ana masaburi ya kutosha?...eb nigee no. yake
 
damu ya hedhi na damu ya kujikata zote ni damu hazina tofauti.

Una uhakika damu inayozunguka kwenye mishipa yako ya damu ni sawa na damu ya hedhi?

damu ya hedhi inatokana na kuchanika kwa kuta za mfuko wa uzazi ndo kunasababisha bleeding.

Unajua composition ya damu ya hedhi pamoja na ile ya kawaida inayozunguka kwenye mishipa yako?

tatizo mkishaona damu inatokea sehemu za siri mnaona ni uchafu.

Ishu siyo wapi inatokea. Ishu ni kwa nini inatoka? Inatoka kwa sababu mwili una njia zake za kujisafisha na hiyo hedhi ndo njia mojawapo ya miili ya viumbe vya kike kujisafisha ili kujiandaa upya na uwezekano wa kupokea yai lililopevushwa na mbegu za kume.

Hata gari hubadilishwa oili chafu ili liweze ku function vizuri. Hata binadamu husafisha nyumba zetu kwa kutoa uchafu ndani ya nyumba zetu.

ingekuwa inatokea mguuni ndo unaona ni damu. na ndo maana mwanamke akitoka na hedhi mfululizo anakuwa anaemic kwa sababu damu inayotoka inatoka mwilini sawa na kama angejikata kidole.

Ishu siyo wapi inatokea. Ishu ni kwa nini inatoka.

mavi na mkojo ni uchafu originally lakini damu ya hedhi ni damu original na sio uchafu.

Ingekuwa damu orijino kama unavyoiita wewe basi isingetoka in the first place. Itoke ili iweje ilhali haina kasoro wala ubaya wowote?
 
haha...jf is never boring...ofcoz ule ni uchafu but unaposema 'mauchafu yao' apo ndo tatizo linakuja....semantically wrong coz inaonesha maana nyingne...as if kama vile wanapenda au ni uzembe flan wanafanya ndo mana inatoka

Mimi sijasema 'mauchafu yao'. Nimesema 'hayo mauchafu'. Ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
du,ur friend ni noma from 1st to 31st.kwel 2napga vta umaskn au tunadl na mapenz?
 
Una uhakika damu inayozunguka kwenye mishipa yako ya damu ni sawa na damu ya hedhi?

Unajua composition ya damu ya hedhi pamoja na ile ya kawaida inayozunguka kwenye mishipa yako?

Ishu siyo wapi inatokea. Ishu ni kwa nini inatoka? Inatoka kwa sababu mwili una njia zake za kujisafisha na hiyo hedhi ndo njia mojawapo ya miili ya viumbe vya kike kujisafisha ili kujiandaa upya na uwezekano wa kupokea yai lililopevushwa na mbegu za kume.

Hata gari hubadilishwa oili chafu ili liweze ku function vizuri. Hata binadamu husafisha nyumba zetu kwa kutoa uchafu ndani ya nyumba zetu.

Ishu siyo wapi inatokea. Ishu ni kwa nini inatoka.

Ingekuwa damu orijino kama unavyoiita wewe basi isingetoka in the first place. Itoke ili iweje ilhali haina kasoro wala ubaya wowote?

damu inatoka kwa sababu tissue za kwenye ukuta wa mfuko wa uzazi zinaachia hivyo kusababisha bleeding. zinaachia kwa sababu zinakuwa zimejiandaa kupokea mimba lakini hiyo mimba haitokei hivyo k, t
achia na kusababisha bleeding. kama ni swala la mwili kujisafisha, mbona mimba ikitungwa damu haitoki tena? je uchafu mwilini mwa mwanamke unakuwa haupo? nenda kasome excretion uone njia ambazo mwanadamu anatumia kutoa uchafu mwilini, menstruation sio moja wapo.

kwa hiyo unafikiri damu ya menstruation inatoka wapi?

acha kumdhalilisha mwanamke eti anatoa uchafu.
 
dah. nikusahuhishe kidogo mleta mada. huyo si 'galfriend' bali ni MAMA MLEZI.
Ila usimwache.
 
damu inatoka kwa sababu tissue za kwenye ukuta wa mfuko wa uzazi zinaachia hivyo kusababisha bleeding. zinaachia kwa sababu zinakuwa zimejiandaa kupokea mimba lakini hiyo mimba haitokei hivyo k, t
achia na kusababisha bleeding. kama ni swala la mwili kujisafisha, mbona mimba ikitungwa damu haitoki tena?

Sasa itoke ya nini wakati mimba ishatungwa?

je uchafu mwilini mwa mwanamke unakuwa haupo?

Ndiyo, unakuwa haupo kwa sababu ile sababu inayosababisha huo uchafu uwepo na utoke haipo tena i.e. ukosefu wa mimba.

nenda kasome excretion uone njia ambazo mwanadamu anatumia kutoa uchafu mwilini, menstruation sio moja wapo.

Hizo ni kwa mujibu wa nani? Niletee hapa nizione mwenyewe.

acha kumdhalilisha mwanamke eti anatoa uchafu.

Wewe ama uko hypersensitive au basi tu uko kwenye denial. Kuita damu ya hedhi uchafu si kumdhalilisha mtu yeyote yule. Ila, kama umeamua kuchukia au kuchukizwa juu ya hilo basi ni umeamua kwa hiyari yako tu.

Damu ya hedhi itabakia kuwa ni uchafu leo, kesho, keshokutwa, mtondogoo, na kuendelea.
 
Kwa taarifa tu mleta mada si wanawake wote wanahitimisha hedhi wafikapa miaka 45. Kuna wanawake wanaendelea hadi miaka 50 to 55. Yote haya yanategemea na factor nyingi ikiwemo za kurithi (genetical) na lishe. Wale wanawake ambao wanalishe nzuri hasa za virutubisho na hawasumbuliwi na magonjwa wanaendelea hedhi hadi hata 55 years. Cha pili wewe ulipomuona huyu kibibi chako hukukiangalia vizuri. Na kama kweli mnapendana una hangaika nini? Unategemea kumuoa huyo mama yako au? Kama unaona ni mkubwa kwako basi acha kufunua mama au dada zako, tafuta wa rika lako. Laiti angejua kuwa ametundikwa humu JF?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sasa itoke ya nini wakati mimba ishatungwa?

Ndiyo, unakuwa haupo kwa sababu ile sababu inayosababisha huo uchafu uwepo na utoke haipo tena i.e. ukosefu wa mimba.

Hizo ni kwa mujibu wa nani? Niletee hapa nizione mwenyewe.

Wewe ama uko hypersensitive au basi tu uko kwenye denial. Kuita damu ya hedhi uchafu si kumdhalilisha mtu yeyote yule. Ila, kama umeamua kuchukia au kuchukizwa juu ya hilo basi ni umeamua kwa hiyari yako tu.

Damu ya hedhi itabakia kuwa ni uchafu leo, kesho, keshokutwa, mtondogoo, na kuendelea.

siwezi kupoteza muda wangu kuanza kukuletea reference yoyote hapa. na wewe utabaki kuwa mdharirishaji wa wanawake leo, kesho na daima milele.

wape pole yangu wanawake wote wanaokuzunguka, I can sense what they have to keep up with every single day.

nafunga mjadala.
 
siwezi kupoteza muda wangu kuanza kukuletea reference yoyote hapa. na wewe utabaki kuwa mdharirishaji wa wanawake leo, kesho na daima milele.

Umepoteza muda wako wote kubishana na mimi hadi hapa (tokea ukurasa wa kwanza hadi tano) kisha ushindwe kuniletea hiyo rejea yako? Unanshangaza!!

wape pole yangu wanawake wote wanaokuzunguka, I can sense what they have to keep up with every single day.

Wala hawahitaji pole kwani hawana adha zozote zile toka kwangu.

nafunga mjadala.

Sema umeshindwa na si kuufunga. Huna jeuri wala uwezo wa kufunga mjadala wewe.
 
check cheti chake cha kuzaliwa, utapata jibu sahihi
 
Kwa taarifa tu mleta mada si wanawake wote wanahitimisha hedhi wafikapa miaka 45. Kuna wanawake wanaendelea hadi miaka 50 to 55. Yote haya yanategemea na factor nyingi ikiwemo za kurithi (genetical) na lishe. Wale wanawake ambao wanalishe nzuri hasa za virutubisho na hawasumbuliwi na magonjwa wanaendelea hedhi hadi hata 55 years. Cha pili wewe ulipomuona huyu kibibi chako hukukiangalia vizuri. Na kama kweli mnapendana una hangaika nini? Unategemea kumuoa huyo mama yako au? Kama unaona ni mkubwa kwako basi acha kufunua mama au dada zako, tafuta wa rika lako. Laiti angejua kuwa ametundikwa humu JF?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hivi nyie huwa hamuangalii TV? This is what am talking about
 
Attachments

  • bibimsichana.jpg
    bibimsichana.jpg
    18.9 KB · Views: 65
Atakuwa ana miaka 24, nina hakika wala hamna haja ya kumuuliza.

Yani umemgegeda toka tarehe 1 mpaka 30 alafu unauliza! We huoni hiyo pulling tu inatisha? Kama sura ishakunjamana wala usiwaze sana labda ni shida tu alizopata utotoni ila she is 24yrs old. Unless umekosea hizo tarehe mlizogegedana.
 
Ushafunua mtungi we endelea kula mema ya utu uzima. Kama unataka kuzaa mtumie bintie
 
Hisia ni hukumu batili,enenda kwa uhakika kwa kuuliza muhusika kabla ya kutuhusisha kutoa hukumu b😛ray2:atili batili ya umbea wa hisia(stereo type)
 
Back
Top Bottom