Nahisi gilfriend wangu ana miaka 50

Nahisi gilfriend wangu ana miaka 50

na kwa kuongezea hapo labda alikuwa na matatizo ya uzazi akatoa kizazi
Haya ndio majibu niliyo kuwa nayategemea kutoka hapa JF na sio mipasho ya Jestina
 
Mh... am too young for this! daamn...

Cc: Smile
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, kwa uzee ni kosa tena ? Wewe unadhani huo umri ulionao utabaki vivyo hivyo siku zote, kumbuka siku hazigandi, ipo siku warembo utawakula kwa macho !!!

Muulize Jestina coz hataki kukubali kuwa yeye ni bibi kizee.
 
Kwa hiyo kuuita uchafu ndo nimeonyesha dharau kwa wanawake? You can't be serious!!

am serious here...tafuta definition ya hedhi au menstruation, angalia kama imekuwa defined as something 'dirty' or 'filthy' as u call it.
 
am serious here...tafuta definition ya hedhi au menstruation, angalia kama imekuwa defined as something 'dirty' or 'filthy' as u call it.

Kama siyo uchafu wewe unaweza kuonja hata tone lake moja?
 
Hiki ni kisa nilichosimuliwa na rafiki yangu wa karibu. Umri wake ni miaka 27.. Namnukuu;

" Nilikutana na huyu mdada kwenye mtandao wa kijamii. She is beautiful, descent and independent. Katika mazungumzo yetu ya awali she told me she is 36 and she is cool with our age different. Tangu tumeanza kudate huu ni mwezi wa saba sasa. Kitu kimoja kinacho ni shangaza, hata siku moja hajawahi kuniambia yupo kwenye siku zake, kila mara ninapo muhitaji kwa ajili ya mambo yetu yale anakuwa available. Mwezi uliopita niliamua kufanya uchunguzi wangu ambapo niligegedadana kwa siku zote thelathini na moja a katika siku zote hizo she was okay ( i mean hakuwa kwenye siku zake ).Kitu kingine huyu mdada ana mtoto wake wa kike, anasoma kidato cha nne. Huyu mdada anasema, she was born in 1997 but mtoto nikimuuliza anasema she was born in 1994. Personally ninahisi hata hiyo age ya miaka 36 atakuwa alinidanganya tu ili nisimuone mzee. Kitendo cha yeye kutokuwa kwenye siku zake hata siku moja coz kwa jinsi ninavyo jua mimi, mwanamke anaanza kutokuziona siku zake baada ya kufikisha miaka 45. So nahisi huyu mwanamke atakuwa na miaka zaidi ya 45, nifanye nini? " MWISHO WA KUNUKUU.


WANA JAMVI NAOMBENI MNISAIDIE KUMSHAURI HUYU RAFIKI YANGU.

This is your private business. Hayatuhusu.
 
Mwambie akupe namba ya huyo mbibi uiweke hapa tumgegede na sisi ndio tutajua kuwa ana umri gani.. Asihisi
 
Rafiki yako anataka ampige mimba?
 
Angalia ukiendekeza vijimambo kuna wakwasi "watakusaidia" kwa matendo, nini kumshauri tu.
 
Mshauri ajiunge na JF then ajimwage MMU atupe full story atapata ushauri wa kutosha.
 
Muulize Jestina coz hataki kukubali kuwa yeye ni bibi kizee.

Jestina namwona kwenye keypad, sura na umbo lake sijawahi kumwona, nitajuaje kama umri wake sio miaka 20 ?
 
Back
Top Bottom