Nahisi gilfriend wangu ana miaka 50

Nahisi gilfriend wangu ana miaka 50

acha kutuchanganya na vitopic ambavyo havina mashiko, mlize huyo rafiki yako negetive effects alizopata baada ya kugundua demu(bibi) yake huyo anamzidi miaka? then cku ya kwanza alishindwa kutambua kama ni binti, mdada, mama au bibi? na anataka tumshauri kuhusu nini? je anataka sisi tupunguze miaka ya huyo mama(bibi)?

Haujalazimishwa ku comment. Great Thinkers wanajua nazungumzia kitu gani.
 
usilete mashudu kwa wana jf

Pole najua content ya uzi imekuudhi coz inaonekana na wewe ni bibi kizee. Be proud of urself, watu wengi wanatamani sana wafikie at least nusu ya age yako.
 
Ina maana huwezi kutofautisha Mmama mwenye miaka 36 na mwenye miaka 50 ? Tangaza ndoa utaona miaka atakayoandika katika cheti cha ndoa.
 
wewe ndio una laana ya kulala na bibi kizee,umarioo umekuzidi tafuta kazi ya kufanya,this is my last post to you,endelea kuweka mashudu yako kama kawaida mkuu its free world...
 
We Jestina hujambo?
 
Pole najua content ya uzi imekuudhi coz inaonekana na wewe ni bibi kizee. Be proud of urself, watu wengi wanatamani sana wafikie at least nusu ya age yako.

Mkuu, kwa uzee ni kosa tena ? Wewe unadhani huo umri ulionao utabaki vivyo hivyo siku zote, kumbuka siku hazigandi, ipo siku warembo utawakula kwa macho !!!
 
wewe ndio una laana ya kulala na bibi kizee,umarioo umekuzidi tafuta kazi ya kufanya,this is my last post to you,endelea kuweka mashudu yako kama kawaida mkuu its free world...

How have you jump from my thread to laana? Mbona hakuna consensus? Anyways Kweli wewe bibi kizee coz hayo mambo ya laana and all that mara nyingi huzungumzwa na vibibi kizee kama wewe. Pole sana.
 
Nijuavyo kuna sindano za uzazi wa mpango ambazo huzuia hayo mauchafu kutoka kila mzunguko.

Huenda hivyo ndivyo ilivyo kwa huyo manzi wako.
na kwa kuongezea hapo labda alikuwa na matatizo ya uzazi akatoa kizazi
 
Ina maana huwezi kutofautisha Mmama mwenye miaka 36 na mwenye miaka 50 ? Tangaza ndoa utaona miaka atakayoandika katika cheti cha ndoa.

According to him, She is so classy , mtu wa mazoezi, flat belly and all that. Ukimuona she look thirty or somethin
 
Back
Top Bottom