Nilitaka ufike hapa 😹😹Bible sio uhalisia wa kile tunachoita Mungu..
Ni stori zenye mafumbo mengi ambayo ni binadamu alijaribu kutafuta maana...
So binafsi nimekuwa mfuasi wa biblia katika kuitumia kama lugha ya picha...
Stori nyingi za kidini huwa ni za kumfanya binadamu ashilkilie imani ya kuwa kuna kitu kikubwa zaidi yake hivyo ajistaarabishe na ampende jirani kama a navyo jipenda yeye..
Lengo la mafundisho sio kumfanya mtu aamini bali ajue namna ya kuwa mnyenyekevu na kuwa na upendo.
Tukisema tufanye kila neno la Bible mbona viongozi wa dini wanakaza kubwa mno!
Hivyo vitu tunavyovitambua na kuvitumia alivitengeneza nani?Yes, tunakuja duniani kivitambua na kivitumia
Hujaelewa shwetani mtoa roho weweNilitaka ufike hapa 😹😹
Kumbe hakuna Mungu ni fix tu?
Sasa mbona umemuelezea Mungu na utatu wake mtakatifu? 😹
Hujakataa wapi? Ukikubali uwepo wa Mungu basi na bible umeikubali na Adamu na Hawa ni chimbuko la uwepo wako ingawa wao ni wazungu wewe ni msukuma..!! 😹😹Sija kataa mbona Daah, alaf mm nilisha rudi kuwa de gunner😁
Mungu ni imani, na wewe umekiri uwepo wake..!!Hujaelewa shwetani mtoa roho wewe
Nimesema kuwa stori kuhusu uwepo wa Mungu nyingi ni fix, ila haimaanishi Mungu hayupo
It's just not Mtu anaye ishi mbinguni.
Ni both, body, mind and soul
Yaani totality ya kila kitu kuhusu wewe na uwepo wako na wakila mtu na kila mnyama na kila ndege na kila kitu
Hujajibu swali, hivyo vitu tunavyovitumia alivitengeneza nani? Na ukisema aliumba dunia je, wakati anaiumba yeye alikaa wapi??Sijui nise meje?
Labda nitumie mfano wa mti na matawi yake...
Mungu ni mti na sisi ni matawi
Energy can neither be created nor destroyedHujajibu swali, hivyo vitu tunavyovitumia alivitengeneza nani? Na ukisema aliumba dunia je, wakati anaiumba yeye alikaa wapi??
Kwa vyakula, tukipunguza au kuacha kuiga uzungu, na kuendeleza taratibu za kiafrika za ukulima, uuaji na tunavyopika vyakula vyetu, inaweza kutuepusha na madawa wanayoweka katika mbegu za vyakula, nyama n.k. tutaonekana tuko nyuma, pengine hatutengezi pesa, kwa kutoharakisha na kukuza uzalishaji, ila tutakuwa salama kiafya ya mwili na akili.Ni hakika wote tunajua kuhusu utatu mtakatifu...
Yaani the father, son and the holy spirit.
View attachment 3655405
Also hii ina direct coleration na Body, mind and soul..
View attachment 3655417
Hizi ni dhana tu za kujaribu kuelezea kitu ambacho kimejulikana for millenials..
Body and mind huwa ni kama kitu kimoja maana zote zina operate kwenye time space.. Akili inafanya kazi kwa kipimo cha muda, mwili nao unakuwa na kufubaa with time.
But the spirit ni kitu ambacho huwa kipo tu either ni mtoto mchanga ama ni mzee wa miaka 100..
So labda tuzigroup mwili na akili(physical)
Alafu uweke soul iwe(spiritual).
Ndo hapa tunakuja kwenye kitu kinaitwa polarities...
(positive and negative)
Jua na mwezi
Mwanga na Giza
Masculine na Feminine
(Shakti and Shiva) in Hinduism.
Ila yote hayo ndo baadae yakazaa other ancient teachings ambazo ndo zilikuwa msingi wa mwanadamu kureplicate nature. What we learn today as subjects zimetoka kwenye ancient teachings ambazo nyingine imeshakuwa extinct..
Uzuri ni kuwa mwanadamu ndani ya DNA yake information zote zimo, it's just that atakuja na namna yake ya kuelezea kitu kile kile..
Kinachotawala kwa Karne za hivi karibuni ni hii material replication body and mind ndo maana tuko tumeng'ang'ania physical objectification ya material world.
Leo kume kuwa na wingi wa watu wasio na intuition because tayari ni baada ya miaka mingi ya kuidumaza spirit aspect.
Ndo maana watu wa siku hizi hawana upendo na uhalisi ndani yao, mwaka 1999 ilitoka movie iitwayo the matrix
View attachment 3655409
Hii haikuwa all about tech alone.. Ilikuwa both tech and spiritual stuff
Infact hawa jamaa waliona ya kuwa kinachokuja kutokea mbele ndo hili unaona leo,
AI which is robotic(body and mind) mechanations without spirit inclusion ndo zinakuja kutawala dunia... Na nini kina angamiza ni the process? The soul.
Kumekuwa na wimbi la watu wanakuja kubishia dini, watu ambao hawajui chochote kuhusu why hata wanaquestion kuhusu why Mungu yupo..!
Unajua kwanini wanaofanikiwa hasa celebrities wanaopenda ile triangle?
View attachment 3655415
Well, nahisi umesha elewa namaanisha nini kuhusu trinity.. It's been here for millenials.. View attachment 3655412
Sasa kinacho tokea ni kuwa celebrities hata wao ukiwa Uliza hawawezi kukuambia.. They just do it kwa maelekezo. I
Kuna kitu kama mfatiliaji wa industry..
Utagundua hakuna miujiza, celebrity huzaliwa akiwa celebrity and thus hata kwenye Bible kuzaliwa kwa messiah tayari kulikuwa kumeshapangwa na hata nyota zika align.
Issue ni kuwa binadamu unaingia katika Era ya AI na haya yote yanakwenda kupoteza... Akili ya binadamu inaenda kuwa programmed na AI hata vizazi viwili baadae vita kuwa havina tofauti na mashine.. Sio literary!
Kuna jamaa alianzisha uzi kuwa vijana gen z hawana uwezo wa kufikiri... Hasa hasa aliona hili. Ila hakujua kuwa tayari imp ndani ya DNA epigenetic ya kuwa tayari umeshaanza kuingia kwenye mfumo. Imagine leo ukienda town, chakula unacho kula wameweka additives, bado GMO kwenye chakula cha kilimo. Nguruwe na kuku wanalishwa na kuchoma GMO, unategemea nini?
Yote kwa yote ni kuwa hili halijaanza leo na ndo kama unaanza vile.. Imagine early 90's ndo wakiona likija kwa kasi leo Nimepita miaka chini ya 30 what about the next 100 years?
Ndo maana uchafu wote wanatupia huku Africa ili tuendelee kuwa mazombie.. They eat clean then sisi tunakula chemikali.
Suluhisho?
Kwa mawazo yangu it's too late now, kila kitu kiko kwenye mfumo...
Ni mtu binafsi, ambae anadhani anaweza kulinda kizazi kijacho kwa kuwapa wanae kilicho bora. Ila tunajua how hard that is, dunia ni kijiji kila kitu kiko mkononi.
Well hata sijui discussion ya huu uzi inaanzia, maana nimegusia mengi.. Dini, AI, spirituality, ancient tech, kuna wasanii, na mengineyoo
Utakapo ona panafaa kuongelea uwanja uko wazi.. But hii yote ni kusahaulika kwa spiritual aspect(kwenye trinity) ambayo ndo mzizi wa haya yote.
Karibuni.
Mshana Jr dosho12 Registered_jf sawima Pascal Mayalla Yoda Tsh Infropreneur Kiranga
Neno Energy kidini ni spirit na sayansi inatambua kuwa kuna NAFSI NA SAYANSI INATAMBUA KUWA NAFSI NI ENERGY PIA sasa utasema vipi hii hoja ndiyo ifanye kuwe na Mungu? Tumia akili ....hoja ya kutambua kuwa yupo Mungu tunaipata kwetu sisi binadamu pia... Sasa tuunganisha hizi logic..Ndio maana nilikwambia Mungu ni neno la kidini na kiimani tu. Kwenye Sayansi halitambuliki.
Ndio maana pia nikakwambia, Sayansi haitambui kwamba Mungu is equal to energy.
Kama wewe unatambua kwamba Mungu= Energy hii inakuwa ni imani yako binafsi. Lakini sio Sayansi.
Energy sio MunguEnergy can neither be created nor destroyed
Physics form 3 hiyoo
Majibu yako wazi
Mchakato wa matter na unadilikaji wake ni natural, maji yana exist katika form 3(solid, liquid and gas) ila it's still water
Vivyo hivyo wewe, mimi, mimea na kila kitu ni kitu kimoja(energy), =Mungu
Hapo hatuta elewanaEnergy sio Mungu
Unachanganya Imani na science.
Science haimjui Mungu na haitambui uwepo wake…!!
Ukija kwenye imani za dini wao wana amini Mungu yupo na katulia zake mbinguni na ndiye aliyeumba kila kitu..!! Hawaamini science wala hivyo vitabu tulivyosoma mashuleni. Wao wanaamini vitabu vyao viwili Bible na Quran ambavyo vinamuelezea Mungu ndio creator wa yote mpaka binadamu..!!
Sasa jibu swali wewe unaamini kipi?
Acha kuwa vuguvugu hueleweki..
Wewe unaamini Mungu yupi? Tuanzie hapo kwanza.Hapo hatuta elewana
Wewe umeshikilia hadithi..
Mimi niko kwenye physical and metaphysical realization of God.. Ukifatiliia ancient teachings hata before ujio wa Christianity ndo utaelewa na maanisha nini.
Religion sio Christianity na Islam pekee... Hizi zimmekaa kimafumbo zaidi.
Umeshawahi kusoma kuhusu Buddhism and Hinduism? Hizi ni ancient religions kutoka Asia... Zinakkaribiana kushibana na science maana zinnaelezea kwa undani kuhusiana na higher powers zinavyolink na mwili wa binadamu.
Kuna energy body(chakra system)
Mungu si kitu au mtu ni kile ki nacho kufanya uwe, kila kiungo kina chembe chembe ya uuungu na energy portal kufikia Enlightenment..
Sasa kama hivi vitu huuvijui bado, tuishie hapa kwanza maana hatutaelewana
Nilicho kuleta hapa ni universality ya hizi dhana zoteWewe unaamini Mungu yupi? Tuanzie hapo kwanza.
Christianity wao wanaamini kwenye Mungu mmoja kupitia utatu mtakatifu, Mungu baba, Mungu mwana (Yesu kristo) na Mungu roho mtakatifu ambao wewe umeuelezea kwenye uzi wako.
Na wanaamini ndio aliyeumba kila kitu..!!
Islam wao wanaamini Mungu mmoja Allah
Muumba wa kila kitu. Hana mshirika, hana mtoto, wala si sehemu ya Utatu. Yesu (Isa) ni nabii, si Mungu kwao…!!
Hinduism wao huabudu miungu kama Vishnu, Shiva na Devi, huku mapokeo mengine yakiona miungu hiyo kama maonyesho.. ni kama vile nyie wasukuma mnavyoabudu mizimu ya kwenu..
Mnavyowaamini machifu waliokufa kwamba mkiomba mvua na kutoa sadaka na kupiga ngoma na kucheza mvua zitanyesha..!!
Hao science yao ya kificho wapo kundi moja na wachawi 😹
Wasukuma si huwa mnatumia fisi kama usafiri? 😹 lakini hauonekani kwa macho ya nyama..!!
Buddha wao waamini uwepo wa viumbe wa kiungu, lakini si Mungu muumba mwenye mamlaka ya mwisho..
Hao ndio wanaofungua jicho la tatu na mbanga za chakra zote zipo humo..!!
Mimi naona uzi wako haueleweki na wewe hujui unachokitaka wala kukisimamia..!! Maybe umewasilisha vitu vingi kwa wakati mmoja ndiomana unapingana na kila member..!!
Issue ni kuwa tunataka tubaki kwenye zone moja ya uelewa, hapo ndo tunapojifunga..Mimi naona uzi wako haueleweki na wewe hujui unachokitaka wala kukisimamia..!! Maybe umewasilisha vitu vingi kwa wakati mmoja ndiomana unapingana na kila member..!!