Habari wanajamvi.
Kama kichwa Cha habari kinavyotanabaisha. Nikiwa Kama mtanzania mpenda haki na ambaye nachukia ubaguzi wa rangi na mauaji ya watu wengine Tena wasiokuwa na hatia, ninafikiria kufungua kesi mahakama ya kimataifa dhidi ya Serikali ya Afrika Kusini kwa kuwa ama makusudi/ kushindwa kuchukua hatua kudhibiti ubaguzi wa rangi na mauaji ambayo yamekuwa yakifanywa na raia wa nchi hiyo kwa wageni, huku wakisingizia kwamba wageni hao wanachukua fursa zao.
Lengo langu ni kuiomba mahakama itoe adhabu kali dhidi ya Serikali hiyo kwani mauaji haya yamekuwa yakifanyika miaka nena rudu bila hatua stahiki kuchukuliwa kukomsha kabisa janga Hilo la ubaguzi.