Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 34,059
- 79,416
Kwanini umri wake ni muhimu kupewa ushauri??
Nje ya mada, Mtibeli mbona nyumba yako ipo juu juu sana, huko ulipojenga kunajaa maji au ni ghorofa?? Ina malumalu kila pahala, kwanini??
Unajua waumini amna shida. Mmeenda kumtafuta Mungu.Simjui
Hayo sisi waumini hatujui. Sisi tunamwabudu MunguUnajua waumini amna shida. Mmeenda kumtafuta Mungu.
Isipokiwa system ambayo mmeenda kumtafutia.
Io system ni ushetani wa siri.
Io maana yake mbadala wa mwana wamungu duniani.
Ni jina la papa kubwa ambalo hata kofia yake imeandika, na ipo kwenye kipaji cha uso wa kofia hio.
Mbadala wa Mungu duniani.
Ajabu ni nini? Tulioishi nao kama waalimu na walezi wetu kwenye kitaru(Seminary) tunawajua vzuri sana. Mapadre ni binadamu wenye matamanio kama sisi tu. Sasa kama kuna hadithi zinasema malaika waliwatamani wanaadam wakashuka na kuzaa nao uzao wa majitu.Vipi kuhusu binadamu? Swali ambalo linaulizwa sana ni kwanini hawaruhusiwi kuoa? Hili hata sisi tukiwa seminary tuliliuliza sana na majibu waliyatoa. Dunia iko kasi sna.Unachokisema ni sahihi kabisa kwa misingi ya imani, lkn ni vipi ukigundua sadaka unayotoa inatumika vby? Mm kanisani nilipokuwa nasali kuna padri nilikuwa nampenda sana, alikuwa akihubiri pale madhabauni hakuna atayelala, alikuwa na hicho kipawa aisee, kuna siku nilivunjika sana moyo kuhusu yeye, kuna mdada wa mtaani alikuwa ananijua mm ni mtu wa kanisa, yeye ni muslim, alinifuata akaniambia huyo padri wako amenitongoza, mbaya zaidi akanionesha na message zake na namba zake, nilichoka sana aisee.
Mi huwa najiuliza kwanini wanyama wanakipindi chao cha kujamiiana, na kikifika ni kuzaliana tu..hawanaga kujamiiana kwa starehe.Hii ngono iko kuzaliana ndo maana hata sisi binadamu wanawake wanakuwa tayari hasa kipindi cha period kama sijakosea sababu ni tendo la kuzaana si la starehe ila sisi tumeligeuza kuwa tendo la starehe ndo maana wanawake wanameza mpaka dawa ya kuzuia ujauzito.Nyeto itaniweka kuume kwa mungu mwenyezi, kwa maana nyeto tafsiri yake ni kutozini.
Watu wangu wananagamizww kwa kukosa maarifa. Unaabudu usichokijua.Hayo sisi waumini hatujui. Sisi tunamwabudu Mungu
Katika wakat wa mwisho biblia inasema Mungu atakuwa amefukuzwa kanisani.Hayo sisi waumini hatujui. Sisi tunamwabudu Mungu
Wewe una uhakika gani Mungu unayemwabudu ndio wa kweli?Watu wangu wananagamizww kwa kukosa maarifa. Unaabudu usichokijua.
Mungu haabudiwi kwa kila njia.
Ana njia yake aliyoiweka kuabudiwa.
Unachokiabudu kifatilie.
Ila nauhakika sio Mungu unaemfikiria
Kwanza nikutoe hofu kuwa nyeto kiimani inaruhusiwa kabisa japo Kuna baadhi wanasema mungu hapendi ili watu wazini wapate dhambi.Mi huwa najiuliza kwanini wanyama wanakipindi chao cha kujamiiana, na kikifika ni kuzaliana tu..hawanaga kujamiiana kwa starehe.Hii ngono iko kuzaliana ndo maana hata sisi binadamu wanawake wanakuwa tayari hasa kipindi cha period kama sijakosea sababu ni tendo la kuzaana si la starehe ila sisi tumeligeuza kuwa tendo la starehe ndo maana wanawake wanameza mpaka dawa ya kuzuia ujauzito.
Vipi kuhusu nyeto kiimani?
Duh! Anakula starehe tu😀😀😀😀Sema wanaosema kwamba punyeto ni dhambi wanatoa sababu kwamba shahawa zimebeba mbegu hai yaan ni chanzo cha uhai so ni kama unaua. Sijajua hapo watu wa dini watupe elimu.Kwanza nikutoe hofu kuwa nyeto kiimani inaruhusiwa kabisa japo Kuna baadhi wanasema mungu hapendi ili watu wazini wapate dhambi.
Kuhusu wanyama kujaiiana kwenye kipindi fulani, ni kweli wanyama wengi hufajamiiana ili kuzaliana na siyo starehe. Kwa mfano wanyama kama mbwa, ng'ombe hupandiana wanapokuwa kwenye heat period.
Ila nasikia mnyama fulani mdogo anayeitwa nyegere anapenda sana kujamiiana yaani anaweza kujamiiana hata mara 26 kwa siku, sasa sijui nani kamfundisha huyu myama.
Uwongo mtupu!Duh! Anakula starehe tu😀😀😀😀Sema wanaosema kwamba punyeto ni dhambi wanatoa sababu kwamba shahawa zimebeba mbegu hai yaan ni chanzo cha uhai so ni kama unaua. Sijajua hapo watu wa dini watupe elimu.
Kaka ndegeeeUwongo mtupu!
Kwani Kila watu wakijamiiana mimba inaingia? Kama haiingii mbegu si zinakufa? Kama zinakufa Kuna tofauti gani na zile zinazokufa kwa kupiga punyeto? Kama hakuna tofauti kwa nini wanakataza na kuleta hoja zisizo na kichwa wala miguu? Na Kwa nini watu wanazikubali hoja? Je, ni kwamba hawana akili? Kama hawana akili shuleni walienda kukua na kula maharage ya shule?
Wivu tu!
Mbaga Jr HAYA LAND HOV ELI COHEN Dr am 4 real PhD
Naam, kaka.Kaka ndegeee
Oooh sawa mkuu.Mkuu wanakera sana shida sio Catholic ila wanaoongoza Catholic ndio shida. Sijaeleza mengi personal kwenye hii post