Nafikiria kuhama Catholic

Nafikiria kuhama Catholic

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
36,007
Reaction score
108,554
Hi,
Happy New Year.

Binafsi nimekua mzito kushiriki ibada ya jumuiya, Misa za kanisani au mambo yoyote yahusuyo kanisa katoliki. Sijawahi kuwaza hivi toka nikiwa najielewa but now things are dreadful to me, nilikua naioenda sana hii imani and proud ila kwa sasa naona napoteza muda wangu.

Mkesha xmass nilienda kanisani ila ikabidi nikae nje tu mpaka ibada ilipoisha...never happened before. But niliona naenda poteza muda tu.

Why???
👉 Katoliki halimthamini mtu mwenye roho wa Mungu na mwenye Upako ndani yake, Ila yule anayetoa michango

👉Halithamini sadaka zako unazoto kwa yatima,wagonjwa,wazee, na wenye njaa..ila tu ILE MICHANGO UNAYOCHANGIA KANISANI
👉 Halithamini kujitoa kwako juu ya kanisa ila tu kwa PESA UNAZOTOA KANISANI.

👉Pesa tunazochanga zinaenda kuhusumia wanawake zao na watoto wao waliowapata nje ya utaratibu wao.

HIVYO.....
Yule anayetoa pesa kanisani na kua na ukaribu na viongoz wa kanisa, Mapadri nk ndio mwenye thamani zaidi.

Naomba mnipe mawazo chanya niweze kurudi relini aisee.... Mawazo ya kuhama yamenijaa ila sijui niende wapi ambapo THEY DON'T CARE ABOUT MATERIAL BUT SPIRITUAL AWAKENING

NB. Catholic sio mbaya ila wanao liongoza ndio shida.

Kweli there's a price to pay when you know a lot of things you weren't supposed to know
✖️
 
Mi nakushauri tu kama issue ni kanisa ulilopo jaribu kanisa jingine kwa imani yako hiyohiyo kuliko kutangatanga, huenda viongozi wanatofautiana! Kumbuka utaratibu wa makanisa mengi ni misingi ya kanisa inayoletwa na binadamu kama sisi, ni vile wao tu wamechaguliwa kutuongoza kwahiyo sio kila kinachofanyika kanisani ni mpango wa Mungu!
 
Mi wanapo nikwaza Wakatoriki ni Ibada ya
Kuisujudia Sanamu ya Kike tu:
Kwakweli wananikwaza sana hata Sina hamu:
Hii na Karne ya Kizazi kipya:
Siwezi kuisujudia Sanamu ya Kike ya SIMENTI kamwe

Kutoka 20:4 SRUVDC​

Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
 
Hi,
Happy New Year.

Binafsi nimekua mzito kushiriki ibada ya jumuiya, Misa za kanisani au mambo yoyote yahusuyo kanisa katoliki. Sijawahi kuwaza hivi toka nikiwa najielewa but now things are dreadful to me, nilikua naioenda sana hii imani and proud ila kwa sasa naona napoteza muda wangu.

Mkesha xmass nilienda kanisani ila ikabidi nikae nje tu mpaka ibada ilipoisha...never happened before. But niliona naenda poteza muda tu.

Why???
👉 Katoliki halimthamini mtu mwenye roho wa Mungu na mwenye Upako ndani yake, Ila yule anayetoa michango

👉Halithamini sadaka zako unazoto kwa yatima,wagonjwa,wazee, na wenye njaa..ila tu ILE MICHANGO UNAYOCHANGIA KANISANI
👉 Halithamini kujitoa kwako juu ya kanisa ila tu kwa PESA UNAZOTOA KANISANI.

👉Pesa tunazochanga zinaenda kuhusumia wanawake zao na watoto wao waliowapata nje ya utaratibu wao.

HIVYO.....
Yule anayetoa pesa kanisani na kua na ukaribu na viongoz wa kanisa, Mapadri nk ndio mwenye thamani zaidi.

Naomba mnipe mawazo chanya niweze kurudi relini aisee.... Mawazo ya kuhama yamenijaa ila sijui niende wapi ambapo THEY DON'T CARE ABOUT MATERIAL BUT SPIRITUAL AWAKENING

NB. Catholic sio mbaya ila wanao liongoza ndio shida.

Kweli there's a price to pay when you know a lot of things you weren't supposed to know
✖️
Nenda sasa unamwambia nani....nenda
 
Back
Top Bottom