Samaki Nchanga
Member
- Dec 31, 2018
- 95
- 53
Nafikiria kuelekea nchini Malawi kwa ajili ya kuangalia Fursa mbalimbali za kibiashara
Kwa anayeifahamu vizuri nchi hii anisaidie majibu ya maswali haya
1.Gharama za maisha zipoje mfano Hotel,Chakula
2.Lugha gani kuu
3.Miji gani ni mizuri kutembelea
4.Mila na desturi zipoje hawana ubaguzi na mataifa mengine maana msumbiji ni balaa muda wowote wageni mko hatarini
5.Kutoka songea hadi mji wa karibu huko malawi Niandae nauli kiasi gani
NB Kama nitafahamishwa bajeti ya jumla kutoka songea hadi malawi ntashukuru sana