Nafikiria kuelekea nchini Malawi kwa ajili ya kuangalia Fursa mbalimbali za kibiashara

Dec 31, 2018
93
49
Nafikiria kuelekea nchini Malawi kwa ajili ya kuangalia Fursa mbalimbali za kibiashara
Kwa anayeifahamu vizuri nchi hii anisaidie majibu ya maswali haya
1.Gharama za maisha zipoje mfano Hotel,Chakula
2.Lugha gani kuu
3.Miji gani ni mizuri kutembelea
4.Mila na desturi zipoje hawana ubaguzi na mataifa mengine maana msumbiji ni balaa muda wowote wageni mko hatarini
5.Kutoka songea hadi mji wa karibu huko malawi Niandae nauli kiasi gani
NB Kama nitafahamishwa bajeti ya jumla kutoka songea hadi malawi ntashukuru sana
 
Mkuu nilishawahi kuishi Malawi miaka Fulani,Malawi ni mfano wa nchi maskini Duniani,kwanza hapo Lilongwe hakuna tofauti na mkoa wa Lindi kama umeshawahi kufika,hizo road blocks zake ni kila baada ya km 15,wamalawi kila kukicha wanakimbilia South Africa, mkuu bora uishi chato kuliko Malawi
Maana ni jehanam iliyoko Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂
 
Kwa kutokea kyela ni 30,000Tsh au 9000+MwK. Chakula ni bei ya kawaida kutegemeana na hadhi yako. Hotel kwa mji wa Lilongwe ukiingia eneo laitwa devil street (sijui kwann wameita hivi) utapata hotel, kama watokea kyela na bus la Malawi wanaposhusha abiria ndipo hotelini.
Sijajua mzunguko wao wa pesa. Ila mji wao wa kibiashara ni Blantyre nadhani hapo ndo penye mzunguko bora wa pesa.

Kambi popote Mkuu.
 
Sawa mkuu najipanga
 
Huku mkuu hakuna maisha, Mimi nilienda huku 2013 maisha yako chini sana, nilikuwa mapumziko ya likizo. Hapako poa Sana na Wala hawana ubaguzi
 
Ikiwa unapenda totozi uende na maboksi ya kinga. Ukimwi nje nje. Halafu pia uchumi wao upo cntrolled sana. Vipuri vya magari bei kubwa sana si ajabu ukaona wanafuata Dar.
 
Mkuu nilishawahi kuishi Malawi miaka Fulani,Malawi ni mfano wa nchi maskini Duniani,kwanza hapo Lilongwe hakuna tofauti na mkoa wa Lindi kama umeshawahi kufika,hizo road blocks zake ni kila baada ya km 15,wamalawi kila kukicha wanakimbilia South Africa, mkuu bora uishi chato kuliko Malawi
Maana ni jehanam iliyoko Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
Lugha gani inatumika kwa mawasiliano?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom