Samaki Nchanga
Member
- Dec 31, 2018
- 95
- 53
- Thread starter
- #21
Ikiwa ni fursa ntaitumiaUnataka ukawe mganga wa kienyeji huko?
Ikiwa ni fursa ntaitumiaUnataka ukawe mganga wa kienyeji huko?
Sawa mkuu nimekuelewa vizuriMalawi ni moja ya nchi maskini, usishangae kuona mtu anaenda BMW X6 halafu anaishi kwenye nyumba ya nyasi.
Mji wa kibiashara ni Blantyre, pesa yako ni kwacha ambayo 6000 ya Malawi ni sawa na buku jero ya Tanzania kama sikosei.
hakikisha unakuwa na pass zote coz kule baada ya Km. chache kuna polisi check.
Totozi za kule ni hovyo ni bora za chato.
Shopping kubwa kama za nguo hasa wakati wa sikukuu wanafanya Kyela.
Usishangae kuona V8, Beenz, BMW, N.K zinamilikiwa na mtu wa kawaida ambae anaishi kwenye kijumba kama cha chato.
MWISHO Ukimwi unaua mkuu
UCHAWI NI NJE NJE hata wa nchini kwetu CHATO hauoni ndani.
wekeza biashara ya nguo inalipa
Malawi ni moja ya nchi maskini, usishangae kuona mtu anaenda BMW X6 halafu anaishi kwenye nyumba ya nyasi.
Mji wa kibiashara ni Blantyre, pesa yako ni kwacha ambayo 6000 ya Malawi ni sawa na buku jero ya Tanzania kama sikosei.
hakikisha unakuwa na pass zote coz kule baada ya Km. chache kuna polisi check.
Totozi za kule ni hovyo ni bora za chato.
Shopping kubwa kama za nguo hasa wakati wa sikukuu wanafanya Kyela.
Usishangae kuona V8, Beenz, BMW, N.K zinamilikiwa na mtu wa kawaida ambae anaishi kwenye kijumba kama cha chato.
MWISHO Ukimwi unaua mkuu
UCHAWI NI NJE NJE hata wa nchini kwetu CHATO hauoni ndani.
wekeza biashara ya nguo inalipa
Sawa mkuu nimekuelewa vizuri
Shukrani kiongozi kwa kunirekebisha.6000 YA MALAWI SAWA NA TSH 20,000
6000 MWK = 20,000TSH
Shukrani kiongozi kwa kunirekebisha.
Upo Malawi mkuu?MKUU NAOMBA MSAADA WA JINSI YA KUFIKA BOTSWANA MAANA HAPA PAMEISHA NI SHINDA. AU KAMA UNA LINK ZA JINSI YA KUFIKA NA KUISHI HUKO
Namna ya kufika Botswana kutokea Dar es salaam - JamiiForums mkuu cheki hapaMKUU NAOMBA MSAADA WA JINSI YA KUFIKA BOTSWANA MAANA HAPA PAMEISHA NI SHINDA. AU KAMA UNA LINK ZA JINSI YA KUFIKA NA KUISHI HUKO
Upo Malawi mkuu?
Hapana, unaenda na passport yako tu
Pande zipi mkuu. Vp elimu yao inafaa kwa sekondari?YAAH
Pande zipi mkuu. Vp elimu yao inafaa kwa sekondari?
Asante shukraniELIMU YA HAPA IPO JUU SANA ESPECIALLY KWENYE FANI YA MEDICINE... SYSTEM YAO NI YA UK MKUU. KARIBU SANA
Nafikiria kuelekea nchini Malawi kwa ajili ya kuangalia Fursa mbalimbali za kibiashara
Kwa anayeifahamu vizuri nchi hii anisaidie majibu ya maswali haya
1.Gharama za maisha zipoje mfano Hotel,Chakula
2.Lugha gani kuu
3.Miji gani ni mizuri kutembelea
4.Mila na desturi zipoje hawana ubaguzi na mataifa mengine maana msumbiji ni balaa muda wowote wageni mko hatarini
5.Kutoka songea hadi mji wa karibu huko malawi Niandae nauli kiasi gani
NB Kama nitafahamishwa bajeti ya jumla kutoka songea hadi malawi ntashukuru sana